Yamesemwa na Simon Patrick, Mkurugenzi wa Sheria wa klabu ya Yanga SC.
"Matokeo tunayoyapata si maajabu kwenye mpira wa miguu. Shida ni kwamba tunateswa na mafanikio yetu ya miaka 3 iliyopita.
Nyinyi nyote ni mashuhuda kuwa timu zote kubwa duniani, kama Real Madrid, Man U, Man City etc, zimepitia changamoto hizi. Huo ndio mpira wa miguu.
Katika kipindi hiki, WanaYanga wote naomba tuendelee kushikamana na kuwaunga mkono viongozi wetu ili kuhakikisha timu yetu inasimama tena imara.
Msisikilize maneno ya wapinzani wetu. Wao wana haki kabisa ya kututania — huo ndiyo mpira. Lakini sisi tuendelee kushikamana, kuipambania timu yetu, na kuamini kwamba bado tupo ndani ya malengo ya msimu huu.
Tafadhali msijiingize kwenye mtego wa kukata tamaa au kuanza kuwadhihaki wachezaji wetu. Mwisho wa msimu, hawa wachezaji ndio mtakaowapigia gwaride la heshima.
#FormIsTemporary #ClassIsPermanent"

·71 Views