Diamond Platnumz amefunguka kulipwa Dola milioni moja ($1 million) ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania ili kutumbuiza katika harusi inayofanyika leo hii huko Mjini Mombasa Nchini Kenya .
Aidha, Wahudhuriaji wa harusi hiyo na mashabiki wameonesha furaha yao kukutana uso kwa uso na Msanii huyo namba moja Nchini Tanzania na Afrika Mashariki.
Pamoja na Diamond Platnumz kulipwa fedha hizo, Wasanii wengine wakubwa wenye hadhi ya kidunia akiwemo Beyonce, Rihanna, Justin Bieber, Katty Perry, Pitbull walipotumbuiza katika harusi za Matajiri walitoza pesa kubwa ili kulinda hadhi zao za muziki zisionekane ni za kutumbuiza katika harusi ili hata Waandamanaji wa matamasha makubwa waendelee kuwaweka viwango vya juu watakapowahitaji kwenye "show".
“$1M For Wedding Show In Mombasa ” - Diamond Platnumz via Instagram.
Diamond Platnumz amefunguka kulipwa Dola milioni moja ($1 million) ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania ili kutumbuiza katika harusi inayofanyika leo hii huko Mjini Mombasa Nchini Kenya 🇰🇪.
Aidha, Wahudhuriaji wa harusi hiyo na mashabiki wameonesha furaha yao kukutana uso kwa uso na Msanii huyo namba moja Nchini Tanzania na Afrika Mashariki.
Pamoja na Diamond Platnumz kulipwa fedha hizo, Wasanii wengine wakubwa wenye hadhi ya kidunia akiwemo Beyonce, Rihanna, Justin Bieber, Katty Perry, Pitbull walipotumbuiza katika harusi za Matajiri walitoza pesa kubwa ili kulinda hadhi zao za muziki zisionekane ni za kutumbuiza katika harusi ili hata Waandamanaji wa matamasha makubwa waendelee kuwaweka viwango vya juu watakapowahitaji kwenye "show".
“$1M For Wedding Show In Mombasa 🇰🇪” - Diamond Platnumz via Instagram.