Siku zote tuweke akilini ukweli kwamba hatuwezi kumlazimisha mtu atupende. Hatutakiwi tumuombe mtu abaki wakati anataka kuondoka.
Hivyo ndivyo mapenzi yalivyo..mapenzi ni uhuru. Hata hivyo mwisho wa mapenzi sio mwisho wa maisha. Huo ndio unatakiwa uwe mwanzo wa kufahamu kwamba kuachwa kupo lakini kutakuacha na somo la kujifunza na huenda kukakufanya kuwa bora zaidi kuliko mwanzo.
Kama mtu anakupenda kweli, hatakupa sababu yoyote ya kuwa na wasiwasi na mapenzi yake kwako. Kila mtu anaweza akaja na kukueleza ni namna gani anakupenda, ila huchukua muda kumpata mtu ambae ni special wa kubaki katika maisha yako na ku-prove upendo wake.
Muda mwingine huchukua muda mwingi kumpata mtu sahihi. Tibu moyo wako uliojeruhiwa, samehe nafsi yako, msamehe aliyekuumiza then usiwe na haraka. You’ll find someone who will love you the way you are. "The truth is, unless you let go, unless you forgive yourself, unless you forgive the situation, unless you realize that, the situation is over, you cannot move forward.."
#ForgiveAndmove
#LifeIsAgift

·169 Visualizações