• Huyu mdada kwenye wrong house alicheza kama mrembo babu kishoka movie nzuri sana ile horror movie
    Huyu mdada kwenye wrong house alicheza kama mrembo babu kishoka movie nzuri sana ile horror movie鈽狅笍
    Like
    Love
    2
    0 Commenti 0 condivisioni 153 Views
  • HORROR MOVIE
    HORROR MOVIE 馃槻
    Like
    Love
    34
    7 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • Horror movie Hot #movietime
    Horror movie Hot 馃敟馃敟 #movietime
    Like
    Love
    8
    5 Commenti 1 condivisioni 759 Views
  • UCHAWI DUUH! | Bidada ana anza kuhisi kwamba ndoto zake hazitatimia tena

    Humu tunakutana na msichana mdogo anayeitwa Sonia anayeishi katika mji mdogo wa Marekani. Sonia ana ndoto ya kuwa mpishi maarufu, lakini anakumbana na changamoto nyingi katika njia yake. Mama yake Sonia ni mgonjwa sana, na Sonia analazimika kutunza familia yake huku akifanya kazi katika mgahawa wa kienyeji. Kazi yake ni ngumu, na bosi wake ni mkali sana. Sonia anaanza kuhisi kama ndoto yake haiwezekani... anakubali kuwa mchawi ili kutimiza ndoto zake Bira kujua kuwa, uchawi huwa na gharama zake. mzigo ni Comedy/Horror

    Telegram 馃憞馃徎馃憞馃徎
    https://t.me/HFilam_Official/1304
    馃槵UCHAWI DUUH! | Bidada ana anza kuhisi kwamba ndoto zake hazitatimia tena 馃‍鈾傦笍Humu tunakutana na msichana mdogo anayeitwa Sonia anayeishi katika mji mdogo wa Marekani. Sonia ana ndoto ya kuwa mpishi maarufu, lakini anakumbana na changamoto nyingi katika njia yake. Mama yake Sonia ni mgonjwa sana, na Sonia analazimika kutunza familia yake huku akifanya kazi katika mgahawa wa kienyeji. Kazi yake ni ngumu, na bosi wake ni mkali sana. Sonia anaanza kuhisi kama ndoto yake haiwezekani... anakubali kuwa mchawi ili kutimiza ndoto zake Bira kujua kuwa, uchawi huwa na gharama zake. mzigo ni Comedy/Horror Telegram 馃憞馃徎馃憞馃徎 https://t.me/HFilam_Official/1304
    Like
    Love
    6
    1 Commenti 0 condivisioni 878 Views
  • Clock

    Tsh1500
    Bidada umri unakwenda lakini chaajabu atamani kabisa kuwa mama mpaka anaisi labra atakuwa na matatizo .. sikumoja akiwa mtandaoni anakutana na tangazo la kampuni furani ivi inayo jiusisha na matibabu ya homoni na kumfanya mwanamke kuwa na hamu ya kuzaa so. bibie akaona sio kesi.. ikwa ivyo baada ya matibabu akaanza kutamani vitu ambavyo mwazo alikuwa avipenda ikiwa na kuwa mama, kwake ilikuwa ni furaha ..sasa balaa limeanza ivi Bidada anajikuta ana mimba alafu aelewi mimba mazingira gan? wakati ajafanya ngono ... Tunaopenda Horror movies Hebu Tupoe na Hii





    Bidada umri unakwenda lakini chaajabu atamani kabisa kuwa mama mpaka anaisi labra atakuwa na matatizo .. sikumoja akiwa mtandaoni anakutana na tangazo la kampuni furani ivi inayo jiusisha na matibabu ya homoni na kumfanya mwanamke kuwa na hamu ya kuzaa so. bibie akaona sio kesi.. ikwa ivyo baada ya matibabu akaanza kutamani vitu ambavyo mwazo alikuwa avipenda ikiwa na kuwa mama, kwake ilikuwa ni furaha ..sasa balaa limeanza ivi Bidada anajikuta ana mimba alafu aelewi mimba mazingira gan? wakati ajafanya ngono 馃槷... Tunaopenda Horror movies Hebu Tupoe na Hii
    In stock Digital Nuovo
    Love
    Like
    5
    2 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • Ni movie Nzuri sana "Horror movie"
    https://youtube.com/shorts/qAqCIROlNrA?si=SywLb7Hy3mq8Nav4
    ikiwa umevutiwa "Subscribe" ili kutupa nguvu ya kutoa kazi nyingi mpya
    Ni movie Nzuri sana "Horror movie" https://youtube.com/shorts/qAqCIROlNrA?si=SywLb7Hy3mq8Nav4 ikiwa umevutiwa "Subscribe" ili kutupa nguvu ya kutoa kazi nyingi mpya
    Like
    Love
    Haha
    13
    2 Commenti 0 condivisioni 625 Views
  • Tina & Tin : #horror #Movie #HFilam
    Tina & Tin : #horror #Movie #HFilam
    Like
    Love
    6
    1 Commenti 0 condivisioni 542 Views 70