Atualize para o Pro

  • Uzi mpya wa Azam special Kwa ajili ya tizi; we mshabiki wa soccer sports unachangia lipi mdau?
    #Azamtv
    #yangatv
    #simbaac
    #Ihefu
    #coastalunion
    Uzi mpya wa Azam special Kwa ajili ya tizi; we mshabiki wa soccer sports unachangia lipi mdau? #Azamtv #yangatv #simbaac #Ihefu #coastalunion
    Like
    1
    ·827 Visualizações
  • Unakipi Cha kumshauri mfaransa huyu mwenye asili ya Cameroon baada ya kujiunga na timu ya Real Madrid??
    #Realmadrid
    #yangasc
    #simbasc
    #alahlysc
    #ihefu
    Unakipi Cha kumshauri mfaransa huyu mwenye asili ya Cameroon baada ya kujiunga na timu ya Real Madrid?? #Realmadrid #yangasc #simbasc #alahlysc #ihefu
    Like
    2
    ·617 Visualizações
  • Timu alizozifunga Master Ki #NBCPremierLeague 2023/24 ⚽️🙌🏽

    Umeiona timu yako mara ngapi?

    ⚽️⚽️⚽️ vs Prisons
    ⚽️ vs Tabora
    ⚽️⚽️ vs Dodoma Jiji
    ⚽️ vs Simba SC
    ⚽️ vs Fountain Gate
    ⚽️ vs Geita Gold
    ⚽️ vs Ihefu
    ⚽️ vs Namungo
    ⚽️ vs Tabora United
    ⚽️⚽️ vs Mtibwa Sugar
    ⚽️ vs Simba SC
    ⚽️⚽️⚽️ vs Azam FC
    ⚽️ vs Geita Gold
    ⚽️ vs JKT
    ⚽️ vs KMC FC

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    Timu alizozifunga Master Ki #NBCPremierLeague 2023/24 ⚽️🥅🙌🏽 Umeiona timu yako mara ngapi?😅 ⚽️⚽️⚽️ vs Prisons ⚽️ vs Tabora ⚽️⚽️ vs Dodoma Jiji ⚽️ vs Simba SC ⚽️ vs Fountain Gate ⚽️ vs Geita Gold ⚽️ vs Ihefu ⚽️ vs Namungo ⚽️ vs Tabora United ⚽️⚽️ vs Mtibwa Sugar ⚽️ vs Simba SC ⚽️⚽️⚽️ vs Azam FC ⚽️ vs Geita Gold ⚽️ vs JKT ⚽️ vs KMC FC #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    4
    1 Comentários ·686 Visualizações
  • 16:00 - Young Africans SC vs Tanzania Prisons

    Pazia la Ligi kuu 2023/24 linafungwa rasmi hii leo kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja nane tofauti.

    16:00 - IHEFU FC vs Mtibwa Sugar

    16:00 - Mashujaa FC vs Dodoma Jiji FC

    16:00 - Geita Gold FC vs Azam FC

    16:00 - Coastal Union vs KMC

    16:00 - Namungo FC vs Tabora United

    16:00 - Singida F.G F.C vs Kagera Sugar


    Macho ya watu wengi ni kwenye mbio za ufungaji bora na vita ya nafasi ya pili itakayoamua nani atacheza Champions League msimu ujao.

    Azam watakuwa kwenye vita zote mbili , kama klabu wanapambana kumaliza nafasi ya pili mbele ya Simba ambao wapo nafasi ya tatu na wamelingana pointi.

    Vita nyingine ya Azam ni ya mchezaji wao Feisal Salum ambaye anapambana kushinda kiatu cha ufungaji bora dhidi ya Aziz Ki wa Yanga.

    Ezra Andrew 17
    16:00 - Young Africans SC vs Tanzania Prisons Pazia la Ligi kuu 2023/24 linafungwa rasmi hii leo kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja nane tofauti. 16:00 - IHEFU FC vs Mtibwa Sugar 16:00 - Mashujaa FC vs Dodoma Jiji FC 16:00 - Geita Gold FC vs Azam FC 16:00 - Coastal Union vs KMC 16:00 - Namungo FC vs Tabora United 16:00 - Singida F.G F.C vs Kagera Sugar Macho ya watu wengi ni kwenye mbio za ufungaji bora na vita ya nafasi ya pili itakayoamua nani atacheza Champions League msimu ujao. Azam watakuwa kwenye vita zote mbili , kama klabu wanapambana kumaliza nafasi ya pili mbele ya Simba ambao wapo nafasi ya tatu na wamelingana pointi. Vita nyingine ya Azam ni ya mchezaji wao Feisal Salum ambaye anapambana kushinda kiatu cha ufungaji bora dhidi ya Aziz Ki wa Yanga. Ezra Andrew 17
    Like
    Love
    6
    1 Comentários ·527 Visualizações
  • ... 𝗡𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 !!

    Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa

    Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli

    Wanamkaba wanne wanne

    Vinara wa magoli ligi kuu :

    1. 26 8 18 — Aziz Ki
    .... 29 7 18 — Feisal Salum
    2. 29 1 12 — Waziri Junior.
    3. 29 2 11 — Maxi Nzengeli.
    4. 25 3 10 — Ntibazonkiza.
    5. 28 3 09 — Mudathir Yahya.
    ... 28 3 09 — Marouf Tchakei

    Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai.

    Stephane Aziz Ki :
    ◉ vs Prisons - Azam Complex.

    Feisal Salum :
    ◉ vs Geita gold - Nyankumbu.

    𝗥𝗲𝘀𝘂𝗹𝘁𝘀 :

    Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo ?

    Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United

    ️ Joseph Guede — 19'
    ️ Maxi Zengeli — 48'
    ️ Stephanie Aziz Ki — 90'

    Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC

    Saido Ntibazonkiza — 02'

    Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar

    ️ Kipre Junior — 50'
    ️ Gibril Sillah — 66'
    ⚽⚽️ Feisal Salum — 72', 79'
    ⚽️ Idd Nado — 90'

    ⚽️ Mobrack Yusuph — 52'

    Full-time :

    ◉ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar
    ◉ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji
    ◉ Singida FG 2 - 1 Geita gold
    ◉ Namungo 2 - 2 Prisons
    ◉ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania

    Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara :

    1. 29 ⚽ +54 77 — Yanga.
    2. 29 ⚽ +40 66 — Azam FC
    3. 29 ⚽ +32 66 — Simba SC
    4. 29 ⚽ +03 42 — Coastal Union.

    Tom Cruz facts
    ... 🔥 𝗡𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 !! Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa 🙌 Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli 😁👋 Wanamkaba wanne wanne 🙌 Vinara wa magoli ligi kuu : 1. 🎮 26 🎯 8 ⚽ 18 — Aziz Ki ....🎮 29 🎯 7 ⚽ 18 — Feisal Salum 2. 🎮 29 🎯 1 ⚽ 12 — Waziri Junior. 3. 🎮 29 🎯 2 ⚽ 11 — Maxi Nzengeli. 4. 🎮 25 🎯 3 ⚽ 10 — Ntibazonkiza. 5. 🎮 28 🎯 3 ⚽ 09 — Mudathir Yahya. ... 🎮 28 🎯 3 ⚽ 09 — Marouf Tchakei Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai. Stephane Aziz Ki : ◉ vs Prisons - Azam Complex. Feisal Salum : ◉ vs Geita gold - Nyankumbu. 𝗥𝗲𝘀𝘂𝗹𝘁𝘀 : Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo 📺 ? Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United ⚽️ Joseph Guede — 19' ⚽️ Maxi Zengeli — 48' ⚽️ Stephanie Aziz Ki — 90' Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC ⚽ Saido Ntibazonkiza — 02' Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar ⚽️ Kipre Junior — 50' ⚽️ Gibril Sillah — 66' ⚽⚽️ Feisal Salum — 72', 79' ⚽️ Idd Nado — 90' ⚽️ Mobrack Yusuph — 52' Full-time : ◉ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar ◉ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji ◉ Singida FG 2 - 1 Geita gold ◉ Namungo 2 - 2 Prisons ◉ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara : 1. 🎮 29 ⚽ +54 🅿️ 77 — Yanga. 2. 🎮 29 ⚽ +40 🅿️ 66 — Azam FC 3. 🎮 29 ⚽ +32 🅿️ 66 — Simba SC 4. 🎮 29 ⚽ +03 🅿️ 42 — Coastal Union. Tom Cruz facts 🧠
    Like
    Love
    Yay
    6
    3 Comentários ·845 Visualizações
  • Beki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia.
    #Sports view
    Beki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria 🇳🇬 kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia. #Sports view
    Like
    Love
    4
    ·637 Visualizações ·3 Compartilhamentos