Upgrade to Pro

  • Maisha sio mbio ya kushindana na wengine, bali ni safari ya kugundua uwezo wako na kufikia malengo yako kwa wakati unaofaa

    Furahia kila hatua, jifunze kutokana na kila uzoefu na endelea kusonga mbele kwa matumaini na moyo thabiti huku ukikumbuka kwamba changamoto ni sehemu ya maisha na zinatufanya kuwa imara zaidi

    #JamiiForums

    #Manukuu ya JF

    #Maisha

    #Nukuu ya Asubuhi
    Maisha sio mbio ya kushindana na wengine, bali ni safari ya kugundua uwezo wako na kufikia malengo yako kwa wakati unaofaa Furahia kila hatua, jifunze kutokana na kila uzoefu na endelea kusonga mbele kwa matumaini na moyo thabiti huku ukikumbuka kwamba changamoto ni sehemu ya maisha na zinatufanya kuwa imara zaidi #JamiiForums #Manukuu ya JF #Maisha #Nukuu ya Asubuhi
    Like
    Love
    2
    ·58 Views
  • Kwa mujibu wa JamiiForums, kampuni ya Meta imesema kuwa kuanzia mwezi huu wa Agosti 2024 itakuwa inawalipa Watayarishi wa maudhui (Content Creator) waliopo Nchini Tanzania kupitia mitandao yake ya kijamii ambayo ni Facebook na Instagram.

    Pia mwezi huu kampuni hiyo ya Meta imerudisha mfumo na utaratibu wa kulipa Waandaji wa maudhui Nchini Kenya baada ya kusitisha utaratibu huo mwezi wa tano.

    Hata hivyo, bado Kampuni ya Meta haijatoa taarifa yoyote ile kuhusiana na kuwalipa Watengenezaji wa maudhui Nchini Tanzania lakini habari hii itakuwa ni nzuri kwa Afrika Mashariki kwa sababu itakuza soko la maudhui na kuleta faida kwa Watengenezaji hao.
    Kwa mujibu wa JamiiForums, kampuni ya Meta imesema kuwa kuanzia mwezi huu wa Agosti 2024 itakuwa inawalipa Watayarishi wa maudhui (Content Creator) waliopo Nchini Tanzania kupitia mitandao yake ya kijamii ambayo ni Facebook na Instagram. Pia mwezi huu kampuni hiyo ya Meta imerudisha mfumo na utaratibu wa kulipa Waandaji wa maudhui Nchini Kenya 🇰🇪 baada ya kusitisha utaratibu huo mwezi wa tano. Hata hivyo, bado Kampuni ya Meta haijatoa taarifa yoyote ile kuhusiana na kuwalipa Watengenezaji wa maudhui Nchini Tanzania lakini habari hii itakuwa ni nzuri kwa Afrika Mashariki kwa sababu itakuza soko la maudhui na kuleta faida kwa Watengenezaji hao.
    Like
    Love
    3
    2 Comments ·265 Views