IJUE MELI KUBWA INAYO SHIKA REKODI.
Mv OASIS OF THE SEA ndiyo meli kubwa ambayo ni mara 5 ya meli ya Titanic.
Utengenezaji wake 12/11/2007 kukamilika 28/10/2009. Ilianza kutumika 5/12/2009.
Ina urefu 361.6mita(1186.5futi), Kimo cha urefu wa 72mita(236futi).
Ina Engine 8 aina ya wartsita V12 zenye uwezo wa 17500hp, Ina lifeboats 18 ambazo zina uwezo wa kubeba abiria 6000. Inafanya safari yake visiwa vya Bahamas
Meli hii inasadikika kuwa na mambo yafuatayo:
1. hoteli za kifahari zipatazo 69, hoteli hizo zina uwezo wa kupakia vyakula kwa ajili ya wateja wake kwa muda wa siku zipatazo tatu [03], jambo ambalo ni la nadra kupata kutokea na kuwapo.
2. gari moshi dogo ([treni]), gari moshi hili lina uwezo wa kutembea, kuzunguka ndani ya meli hiyo na kupunguza msongamano wa hapa na pale ndani ya meli hiyo.
3. meli ndogo 18 za kuokolea (life boat) pamoja na kuwepo kwa ukubwa wa meli hiyo kumezingatia uwepo wa kuyajali maisha ya mwanadamu hivyo kila boti dogo la wokozi lina uwezo wa kuokoa idadi ya abiria 90 hadi 100 bila kuwapo shida na usumbufu wowote ule kujitokeza.
4. viwanja vya aina zote za mpira, ikiwemo mpira wa mguu, wa kikapu, wa pete, n.k.
5. Ina ngazi 16 yenye vyumba vya kulala,migahawa,maduka,hoteli za kiwango cha juu(High class),swimming pool,mandhari yenye miti ya kupumzikia,kumbi za disko,michezo ya kwenye maji.
Hiyo ndo OASIS OF THE SEA.
#Juakiundani

👉Utengenezaji wake 12/11/2007 kukamilika 28/10/2009. Ilianza kutumika 5/12/2009.
👉Ina urefu 361.6mita(1186.5futi), Kimo cha urefu wa 72mita(236futi).
👉Ina Engine 8 aina ya wartsita V12 zenye uwezo wa 17500hp, Ina lifeboats 18 ambazo zina uwezo wa kubeba abiria 6000. Inafanya safari yake visiwa vya Bahamas

·58 Views