Upgrade to Pro

  • #Kuteseka Kwa Kutenda Mema

    8 Hatimaye, ninyi nyote kuweni na nia moja, wenye kuhurumiana, mkipendana kama ndugu, na mwe wasikitivu na wanyenyekevu.
    9 Msilipe ovu kwa ovu, au jeuri kwa jeuri, bali barikini, kwa maana hili ndilo mliloitiwa ili mpate kurithi baraka.
    10 Kwa maana,
    “Yeyote apendaye uzima
    na kuona siku njema,
    basi auzuie ulimi wake usinene mabaya,
    na midomo yake isiseme hila.
    11 Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema;
    lazima aitafute amani na kuifuatilia sana.
    12 Kwa maana macho ya Bwana
    huwaelekea wenye haki,
    na masikio yake yako makini
    kusikiliza maombi yao.
    Bali uso wa Bwana uko kinyume
    na watendao maovu.”

    1 Petro 3:8-12
    #Kuteseka Kwa Kutenda Mema 8 Hatimaye, ninyi nyote kuweni na nia moja, wenye kuhurumiana, mkipendana kama ndugu, na mwe wasikitivu na wanyenyekevu. 9 Msilipe ovu kwa ovu, au jeuri kwa jeuri, bali barikini, kwa maana hili ndilo mliloitiwa ili mpate kurithi baraka. 10 Kwa maana, “Yeyote apendaye uzima na kuona siku njema, basi auzuie ulimi wake usinene mabaya, na midomo yake isiseme hila. 11 Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema; lazima aitafute amani na kuifuatilia sana. 12 Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu.” 1 Petro 3:8-12
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·293 Views
  • Usiendelee kuteseka na suruhisho lipo 0694694856
    Usiendelee kuteseka na suruhisho lipo 0694694856
    Love
    1
    ·174 Views
  • Kwann uendelee kuteseka na tatizo la kutokushika mimba njoo Sasa inbox or call 0694694856
    Kwann uendelee kuteseka na tatizo la kutokushika mimba njoo Sasa inbox or call 0694694856
    Love
    Like
    Haha
    9
    1 Comments ·201 Views
  • Achakuteseka njoo upate tiba ya uhakika namba 0694694856
    Achakuteseka njoo upate tiba ya uhakika namba 0694694856
    Like
    Love
    3
    ·193 Views