Upgrade to Pro

  • Naanzaje kukucheat, nakifata kipi?
    Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti
    Tena umewaacha mbali, ulipo we hawafikii
    Maombi yangu toka kale, nimepata rafiki (mmmh)
    Na hata nikiumwa, we ndo unanitibu wangu daktari
    Kukupenda, ni wajibu nisiulizwe maswali
    Baby, nipe taratibu huo utamu asali
    Kukupenda ni wajibu nisiulizwe no, no
    #LoveConnectsUs
    Naanzaje kukucheat, nakifata kipi? Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti Tena umewaacha mbali, ulipo we hawafikii Maombi yangu toka kale, nimepata rafiki (mmmh) Na hata nikiumwa, we ndo unanitibu wangu daktari Kukupenda, ni wajibu nisiulizwe maswali Baby, nipe taratibu huo utamu asali Kukupenda ni wajibu nisiulizwe no, no #LoveConnectsUs
    Like
    Love
    7
    4 Kommentare ·733 Ansichten
  • Kama Yanga yenyewe ndo hii!! Bora hata tulivyoyakimbia haya mashindano.. Tungepata aibu nyingine..
    #LoveConnectsUs
    Kama Yanga yenyewe ndo hii!! Bora hata tulivyoyakimbia haya mashindano.. Tungepata aibu nyingine.. #LoveConnectsUs
    Like
    Haha
    Love
    6
    1 Kommentare ·855 Ansichten
  • Ku date na mtu kwa zaidi ya miaka 4 bila ndoa hayo sio mahusiano, ni Kozi! Unasomea Mahusiano na Uchambuzi
    #LoveConnectsUs
    Ku date na mtu kwa zaidi ya miaka 4 bila ndoa hayo sio mahusiano, ni Kozi! Unasomea Mahusiano na Uchambuzi #LoveConnectsUs
    Like
    Haha
    Love
    5
    4 Kommentare ·871 Ansichten