Mzee william anafanya kazi katika kampuni inayohusika na maswala ya bima na kila siku huwa anatumia usafiri wa train anapoenda kazini na kurudi nyumbani
lakini siku moja inageuka chungu kwake baada ya kufukuzwa kazi bila sababu ya msingi na bosi wake,kwa uchungu anaingia katika train ambayo huwa anapanda kilasiku ili kurudi nyumbani .
ndani ya train anakutana na mama mmoja wa makamo ambae hajawahi kumuona ktk hiyo train aliyozowea kupanda kilasiku, mama alisogea katika siti ya Mzee william na kuanza kupiga story mbalimbali, story zilipo noga akamwambia Mzee william kwamba anampa kiasi cha dola elfu 25 kwa sharti la kumfanyia kazi ya kumtafuta mtu mmoja ndani ya train ambaye ana mzigo wake lakini hamwambii huyo mtu yupoje lakini anachomwambia ni kwamba mtu huyo ana begi tu leusi
Mzee anachukulia suala Hilo la kupata Hela kimseleleko kama masihara hivi, ila huyo mama anamwambia Mzee william akitaka kuamini aende katika bafu la treni kuna sehemu ataikuta hiyo hela na akimaliza kazi nzima atapewa tena dolla elfu 75(mamilion yakutosha) , jamaa anaenda bafuni anakuta kweli Kuna dola elf 25
Wazo likamjia la kutoka ndani ya train na kukimbia na hela Dola elf 25 bila kufanya kazi aliyopewa, lakini wakati anataka kutoka ndani train akakutana na mtu akampa bahasha ina pete ya mke wakehiyo ni kama onyo kwamba wanamjua na wanaweza kufanya chochote kwa mke wake hivyo inabidi arudi ndani ya train aendelee na kazi.kisanga ni namna ya kumpata huyo mtu , kwa nn anatafutwa na hilo begi lina nn !!!!!?
utamu wa movie unaanzaia hapaMzee alizunguka train nzima kumtafuta huyo mtu ambae hajukikani ni mwanamke au mwanaume,too bad watu wenye mabegi meusi Wapo wengimpaka ilifika kipindi anaonekana kama gaidi
Ila Muongozo aliopewa ni kwamba mtu huyo anayepaswa kumtafuta ni mtu ambae hajawahi kupanda hiyo train kwa hiyo akawa anaangalia mtu mmoja mmoja ambaye hajawahi kumuona ktk hiyo train , kuwafuatilia na kuwahoji kimitego mitego mpaka wakawa wanaingiwa na mashaka juu yake. Tambara linaitwa THE COMMUTER.
Mzee william anafanya kazi katika kampuni inayohusika na maswala ya bima na kila siku huwa anatumia usafiri wa train anapoenda kazini na kurudi nyumbani
lakini siku moja inageuka chungu kwake baada ya kufukuzwa kazi bila sababu ya msingi na bosi wake,kwa uchungu anaingia katika train ambayo huwa anapanda kilasiku ili kurudi nyumbani .
ndani ya train anakutana na mama mmoja wa makamo ambae hajawahi kumuona ktk hiyo train aliyozowea kupanda kilasiku, mama alisogea katika siti ya Mzee william na kuanza kupiga story mbalimbali, story zilipo noga akamwambia Mzee william kwamba anampa kiasi cha dola elfu 25 kwa sharti la kumfanyia kazi ya kumtafuta mtu mmoja ndani ya train ambaye ana mzigo wake lakini hamwambii huyo mtu yupoje lakini anachomwambia ni kwamba mtu huyo ana begi tu leusi🤣
Mzee anachukulia suala Hilo la kupata Hela kimseleleko kama masihara hivi, ila huyo mama anamwambia Mzee william akitaka kuamini aende katika bafu la treni kuna sehemu ataikuta hiyo hela na akimaliza kazi nzima atapewa tena dolla elfu 75(mamilion yakutosha) , jamaa anaenda bafuni anakuta kweli Kuna dola elf 25😍
Wazo likamjia la kutoka ndani ya train na kukimbia na hela Dola elf 25 bila kufanya kazi aliyopewa, lakini wakati anataka kutoka ndani train akakutana na mtu akampa bahasha ina pete ya mke wake🤔hiyo ni kama onyo kwamba wanamjua na wanaweza kufanya chochote kwa mke wake hivyo inabidi arudi ndani ya train aendelee na kazi.kisanga ni namna ya kumpata huyo mtu , kwa nn anatafutwa na hilo begi lina nn !!!!!?
utamu wa movie unaanzaia hapa👉Mzee alizunguka train nzima kumtafuta huyo mtu ambae hajukikani ni mwanamke au mwanaume,too bad watu wenye mabegi meusi Wapo wengi🤔mpaka ilifika kipindi anaonekana kama gaidi