Atualize para o Pro

  • No people like you if you have not money even me l don't like my self when they have no money
    No people like you if you have not money even me l don't like my self when they have no money
    ·37 Visualizações
  • #My ancle
    #My ancle
    Like
    1
    ·52 Visualizações
  • Help me rebuild my house
    0% Tsh0 Raised of Tsh1200000
    Help me fix my broken house that was broken dur to rain and broken i have nowhere to live
    Help me fix my broken house that was broken dur to rain and broken i have nowhere to live
    Sad
    1
    ·63 Visualizações ·0 Donations
  • Mama John alienda kumuona daktari ambaye ni ***** yake na mazungumzo yao yalikuwa hivi:-

    Mama John: Best mume wangu haniridhishi kabisa kwenye tendo la ndoa kama una dawa yoyote nipatie kabla uzalendo haujanishinda.

    Daktari: Mh sawa kuna dawa hapa wacha nikupatie ukaijaribu (akafungua droo akatoa kikopo kidogo cha dawa) umuwekee shemeji kidonge kimoja kila siku kwenye kinywaji chochote kabla ya tendo.

    Basi Mama John akaondoka na kile kikopo, kweli mume wake aliporudi aliandaa juis akaweka na kidonge kimoja akampa mumewe akanywa. Siku ile walifanya tendo mpaka roho yake ikasuuzika.

    Siku ya pili akaona amuwekee vidonge viwili aone itakuaje, walifanya tendo mara mbili ya jana. Akazidi kufurahi.

    Siku ya tatu akafikiria hivi akimuwekea vidonge vyote vilivyobaki show yake itakuwaje? Mbona daktari ni ***** yake atampatia vingine hata kwa gharama yoyote atavinunua. Mumewe aliporudi akaandaa juisi kama kawaida akavimimina vyote.

    Siku ya nne yule daktari aliamua kumpigia simu baada ya kuona kimya ili apate mrejesho wa ile dawa

    Cha kustaajabisha simu yake ilipokelewa na mtoto wa kiume huku akitweta, ambaye bila shaka ndiye John. Alipouluzwa mama yake yupo wapi ndio akaanza kufunguka...

    "Mama yupo ICU muhimbili, shangazi naye kalazwa hukohuko, dada wa kazi katoroka, mimi mwenyewe hapa mk*nd* unaniuma vibaya mpaka damu zinatoka"

    Kengele ya hatari ikagonga kichwani kwa daktari akamuuliza baba je yupo wapi? Akajibu

    "Baba yupo huko nje kachanganyikwa yupo uchi uchi anakimbiza kila anayepita huku anaimba ...nataka k*ma... nataka... k*ma... mpaka kuku na mbwa wote wanamkimbia kunusuru maisha yao

    Mama John alienda kumuona daktari ambaye ni shoga yake na mazungumzo yao yalikuwa hivi:- Mama John: Best mume wangu haniridhishi kabisa kwenye tendo la ndoa kama una dawa yoyote nipatie kabla uzalendo haujanishinda. Daktari: Mh sawa kuna dawa hapa wacha nikupatie ukaijaribu (akafungua droo akatoa kikopo kidogo cha dawa) umuwekee shemeji kidonge kimoja kila siku kwenye kinywaji chochote kabla ya tendo. Basi Mama John akaondoka na kile kikopo, kweli mume wake aliporudi aliandaa juis akaweka na kidonge kimoja akampa mumewe akanywa. Siku ile walifanya tendo mpaka roho yake ikasuuzika. Siku ya pili akaona amuwekee vidonge viwili aone itakuaje, walifanya tendo mara mbili ya jana. Akazidi kufurahi. Siku ya tatu akafikiria hivi akimuwekea vidonge vyote vilivyobaki show yake itakuwaje? Mbona daktari ni shoga yake atampatia vingine hata kwa gharama yoyote atavinunua. Mumewe aliporudi akaandaa juisi kama kawaida akavimimina vyote. Siku ya nne yule daktari aliamua kumpigia simu baada ya kuona kimya ili apate mrejesho wa ile dawa Cha kustaajabisha simu yake ilipokelewa na mtoto wa kiume huku akitweta, ambaye bila shaka ndiye John. Alipouluzwa mama yake yupo wapi ndio akaanza kufunguka... "Mama yupo ICU muhimbili, shangazi naye kalazwa hukohuko, dada wa kazi katoroka, mimi mwenyewe hapa mk*nd* unaniuma vibaya mpaka damu zinatoka" Kengele ya hatari ikagonga kichwani kwa daktari akamuuliza baba je yupo wapi? Akajibu "Baba yupo huko nje kachanganyikwa yupo uchi uchi anakimbiza kila anayepita huku anaimba ...nataka k*ma... nataka... k*ma... mpaka kuku na mbwa wote wanamkimbia kunusuru maisha yao😂😂😂😂😂😂😂😂
    Like
    Yay
    2
    1 Comentários ·52 Visualizações
  • My family's life
    My family's life
    Love
    1
    ·27 Visualizações
  • like my picyure please
    like my picyure please
    Love
    1
    ·30 Visualizações
  • say anything to your mother, I pray for a long life for my mother
    say anything to your mother, I pray for a long life for my mother 🙏🙏
    Like
    1
    ·66 Visualizações
  • Hello guys my friends
    Hello guys my friends
    ·70 Visualizações
  • nchi yangu, yote tunaweza kuyapitia bado tunaweza kuyashinda kwani Mungu yuko upande wetu Amani na upendo vudumu Tanzania #mycountry #wananchi
    🇹🇿 nchi yangu, yote tunaweza kuyapitia bado tunaweza kuyashinda kwani Mungu yuko upande wetu Amani na upendo vudumu Tanzania #mycountry #wananchi
    Like
    Love
    2
    1 Comentários ·93 Visualizações
  • Kimyaaaa
    Kimyaaaa
    ·35 Visualizações
  • My Sister! Are you Under a Spell?.

    Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo.

    Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu.

    Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu.

    Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri.

    Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu.

    Umefungwa na nini..?
    Nani amekuroga...?

    Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex.

    Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata.

    My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo.

    Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali.

    Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa.

    My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo".

    Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone.

    Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho.

    #KnowYourValueAndAct
    #MarriageUnderGodFoundation
    #MarriageIsBeautifu
    My Sister! Are you Under a Spell?. Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo. Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu. Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu. Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri. Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu. Umefungwa na nini..? Nani amekuroga...? Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex. Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata. My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo. Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali. Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa. My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo". Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone. Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho. #KnowYourValueAndAct #MarriageUnderGodFoundation #MarriageIsBeautifu
    ·256 Visualizações
  • DAAAH BOSS GMS KAMAINDI OMMY DIMPIZ ALIONYESHA VIDOLE VITATU KUMANISHA YANGA IMEFUNGWA BAO TATU NA TABORA

    #paulswai
    DAAAH BOSS GMS KAMAINDI OMMY DIMPIZ ALIONYESHA VIDOLE VITATU KUMANISHA YANGA IMEFUNGWA BAO TATU NA TABORA #paulswai
    Like
    Love
    Haha
    Angry
    6
    1 Comentários ·288 Visualizações ·124 Visualizações
  • My daughter is in sleep mode
    My daughter is in sleep mode
    Love
    1
    ·50 Visualizações
  • HOW TO DEPLOY WHATSAPP BOT

    > Prepared by *DUDUU_MENDEZ* with credit from *GIFTED-MD*


    https://youtu.be/1ODAvpW9D98?si=-PQvLFpHyo6CLyXP


    Many sincere thanks to my following teachers and masters

    > SUHAIL XMD
    > GIFTED-MD
    > BMX
    > BLACK PANTHER
    > PRABHAT
    > ETHIX MD
    > SPIDER
    > FLASH MD
    > VENOCYBER

    For more coins join
    https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
    ▶︎ ●────────── 0:41
    HOW TO DEPLOY WHATSAPP BOT > Prepared by *DUDUU_MENDEZ* with credit from *GIFTED-MD* https://youtu.be/1ODAvpW9D98?si=-PQvLFpHyo6CLyXP Many sincere thanks to my following teachers and masters > SUHAIL XMD🇵🇰 > GIFTED-MD🇰🇪 > BMX🇰🇪 > BLACK PANTHER🇰🇪 > PRABHAT 🇵🇰 > ETHIX MD 🇵🇰 > SPIDER 🇰🇪 > FLASH MD 🇰🇪 > VENOCYBER 🇹🇿 For more coins join https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04 > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 ▶︎ ●────────── 0:41
    Angry
    1
    1 Comentários ·75 Visualizações
  • Ameandika Castor Yanga (Shabiki wa Yanga)

    Bado tuna ushamba sana haswa kwenye soka letu Kwa ujumla,,Duniani kote Kila timu inakuwa na mipango yake nini wanataka kufanya ndani msimu husika.Kupitia mkutano mkuu wa Yanga 2024 moja ya agenda kuu ilikuwa ni malengo ya klabu.

    (01)Kutetea Ubingwa.(HADI SASA TIMU IPO NAFASI YA PILI )

    (02)Kushinda Ngao ya jamii (100% TUMESHINDA UBINGWA WA NGAO YA JAMII)

    (03)Kufuzu makundi CAF CHAMPIONS LEAGUE (TIMU IPO MAKUNDI)

    Kwa mafanikio haya ni zaidi ya 80% Kocha Miguel Angel Gamondi amefanikiwa.Sijajua ni wapi tunaferi Yanga,,Tunafanya maamuzi Kwa mihemko sana 🫰 Kisa Kelele za watu Wachache ambao ndio wametufikisha hapa.

    Gamondi toka aichukue Yanga haijafungwa mechi Zaidi ya 8 ana Ushindi zaidi ya 85% kwenye mashindano yote ambayo ameshiriki na kikosi chake,,Tuna mechi za kimataifa Bado siku 12 tu Leo hii Uongozi unamfukuza kocha,,Wapi tunataka kwenda Yanga...!!?

    Kwanini tunashindwa kuamini Projects Zetu wenyewe Kwa kuwa wavumilivu,,Pep Guardiola amepoteza mechi Nne mfululizo hakuna Kelele wala mashabiki wa Manchester city ambaye anataka kuona Pep Guardiola anaondoka.Uongozi mmetukosea sana Wananchi.Hakuna timu duniani ambayo hajifungwi kuendelea kukarili kuwa na matokeo yetu vichwani kuwa Yanga ni bora kuliko Vilabu vingine ni ujinga.

    Kama Viongozi mmeamua kufanya usafi basi fanyeni usafi hadi ndani ya Uongozi wenyewe,,Yanga princess haijashida hata mechi moja lakini hadi sasa Uongozi upo kimya kama matokeo mabovu wanayopata hawayaoni.Tunakimbilia kujifucha huku Kwa wakubwa ili tuone mpo active.

    Mnaajili kocha mpya katikati ya msimu vipi akifeli nae,,Je Vipi kocha mpya nae akitoa project yake je tuakuwa na uvumilivu...? Binafsi nimeumia sana Miguel Angel Gamondi kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Yanga kwasababu ni kocha ambaye alishatengeneza patten nzuri ndani ya Yanga.

    Kila la heri Gamondi.
    Ameandika Castor Yanga (Shabiki wa Yanga) Bado tuna ushamba sana haswa kwenye soka letu Kwa ujumla,,Duniani kote Kila timu inakuwa na mipango yake nini wanataka kufanya ndani msimu husika.Kupitia mkutano mkuu wa Yanga 2024 moja ya agenda kuu ilikuwa ni malengo ya klabu. (01)Kutetea Ubingwa.(HADI SASA TIMU IPO NAFASI YA PILI ) (02)Kushinda Ngao ya jamii (100% TUMESHINDA UBINGWA WA NGAO YA JAMII) (03)Kufuzu makundi CAF CHAMPIONS LEAGUE (TIMU IPO MAKUNDI) Kwa mafanikio haya ni zaidi ya 80% Kocha Miguel Angel Gamondi amefanikiwa.Sijajua ni wapi tunaferi Yanga,,Tunafanya maamuzi Kwa mihemko sana 🫰 Kisa Kelele za watu Wachache ambao ndio wametufikisha hapa. Gamondi toka aichukue Yanga haijafungwa mechi Zaidi ya 8 ana Ushindi zaidi ya 85% kwenye mashindano yote ambayo ameshiriki na kikosi chake,,Tuna mechi za kimataifa Bado siku 12 tu Leo hii Uongozi unamfukuza kocha,,Wapi tunataka kwenda Yanga...!!? Kwanini tunashindwa kuamini Projects Zetu wenyewe Kwa kuwa wavumilivu,,Pep Guardiola amepoteza mechi Nne mfululizo hakuna Kelele wala mashabiki wa Manchester city ambaye anataka kuona Pep Guardiola anaondoka.Uongozi mmetukosea sana Wananchi.Hakuna timu duniani ambayo hajifungwi kuendelea kukarili kuwa na matokeo yetu vichwani kuwa Yanga ni bora kuliko Vilabu vingine ni ujinga. Kama Viongozi mmeamua kufanya usafi basi fanyeni usafi hadi ndani ya Uongozi wenyewe,,Yanga princess haijashida hata mechi moja lakini hadi sasa Uongozi upo kimya kama matokeo mabovu wanayopata hawayaoni.Tunakimbilia kujifucha huku Kwa wakubwa ili tuone mpo active. Mnaajili kocha mpya katikati ya msimu vipi akifeli nae,,Je Vipi kocha mpya nae akitoa project yake je tuakuwa na uvumilivu...? Binafsi nimeumia sana Miguel Angel Gamondi kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Yanga kwasababu ni kocha ambaye alishatengeneza patten nzuri ndani ya Yanga. Kila la heri Gamondi.
    ·131 Visualizações
  • My role model
    My role model
    Like
    Love
    3
    1 Comentários ·48 Visualizações
  • My sister, uzuri wako sio kama kitu cha kukiweka parade ili watu wakione na kukikubali, then wewe uridhike kutokana na hilo pekee.

    Huu Ulimwengu sio jumba la makumbusho kwamba uzunguke huku na huko kuvuta attention ya watu ili wakuone na kukukubali as if wewe ni kivutio cha utalii then ndio ujione umefanikiwa kwa hilo.

    Uzuri wako sio kama hifadhi ya Gombe, watalii walipe waje waone sokwe wanavoruka ruka, na kuondoka zao. Sio kama hifadhi ya Serengeti au grumeti watalii waje waone Nyumbu wanavyohama kutoka upande huu kwenda upande mwengine. Walipe dola zao na kuondoka.

    Ni bora zaidi uthaminiwe na mwanaume mmoja, kuliko kutamaniwa na dazani ya useless horny men.

    Ndio uwe mzuri, lakini mzuri kwa ajili yako peke yako..na sio kwa ajili ya ulimwengu. Hauwezi kushindana na ulimwengu kwa ku-base kwenye uzuri, makalio, shape, etc..ulimwengu unao wanawake wa aina hiyo wengi sana na ambao hawana wanaweza wakapata kwa artificial ways.

    Lakini roho nzuri, utu wema, tabia iliyo njema nani anaweza ku-fake? Beautiful mind nani anaweza kuipata? Sio vizuri hata kidogo kupiga picha za nusu uchi na kuziweka mitandaoni ili upate comments na likes za kutosha. Sio vema hata kidogo kuvaa nguo za mitego kwa minajili ya kusumbua vichwa vya wanaume wakware.

    Hata kama una-hustle, unajitafutia riziki yako kwa mikono yako wewe mwenyewe, vaa vizuri, ishi maisha mazuri yatakayowapendeza na kuwabariki wengine...ishi maisha ambayo watu watapenda kukusikia jinsi unavyoongea kuliko wanavyopenda kukuona ukiwa unatembea nusu uchi, kuna kitu Mwenyezi Mungu amekiweka kwenye ulimi wako...wewe ni mzuri zaidi ya sura na shepu yako.

    My wisdom, "The female brain itself is a highly intuitive emotion-processing machine, which when put to practice in the progress of the society, would do much more than any man can with all his analytical perspectives"
    My sister, uzuri wako sio kama kitu cha kukiweka parade ili watu wakione na kukikubali, then wewe uridhike kutokana na hilo pekee. Huu Ulimwengu sio jumba la makumbusho kwamba uzunguke huku na huko kuvuta attention ya watu ili wakuone na kukukubali as if wewe ni kivutio cha utalii then ndio ujione umefanikiwa kwa hilo. Uzuri wako sio kama hifadhi ya Gombe, watalii walipe waje waone sokwe wanavoruka ruka, na kuondoka zao. Sio kama hifadhi ya Serengeti au grumeti watalii waje waone Nyumbu wanavyohama kutoka upande huu kwenda upande mwengine. Walipe dola zao na kuondoka. Ni bora zaidi uthaminiwe na mwanaume mmoja, kuliko kutamaniwa na dazani ya useless horny men. Ndio uwe mzuri, lakini mzuri kwa ajili yako peke yako..na sio kwa ajili ya ulimwengu. Hauwezi kushindana na ulimwengu kwa ku-base kwenye uzuri, makalio, shape, etc..ulimwengu unao wanawake wa aina hiyo wengi sana na ambao hawana wanaweza wakapata kwa artificial ways. Lakini roho nzuri, utu wema, tabia iliyo njema nani anaweza ku-fake? Beautiful mind nani anaweza kuipata? Sio vizuri hata kidogo kupiga picha za nusu uchi na kuziweka mitandaoni ili upate comments na likes za kutosha. Sio vema hata kidogo kuvaa nguo za mitego kwa minajili ya kusumbua vichwa vya wanaume wakware. Hata kama una-hustle, unajitafutia riziki yako kwa mikono yako wewe mwenyewe, vaa vizuri, ishi maisha mazuri yatakayowapendeza na kuwabariki wengine...ishi maisha ambayo watu watapenda kukusikia jinsi unavyoongea kuliko wanavyopenda kukuona ukiwa unatembea nusu uchi, kuna kitu Mwenyezi Mungu amekiweka kwenye ulimi wako...wewe ni mzuri zaidi ya sura na shepu yako. My wisdom, "The female brain itself is a highly intuitive emotion-processing machine, which when put to practice in the progress of the society, would do much more than any man can with all his analytical perspectives"
    ·182 Visualizações
  • FANYA HAYA KWA MUME WAKO.

    1. Muite kwa jina lake la utani

    2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba.

    3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani.

    4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda kumuomba msamaha na kumueleza kwanini ulimkosea pale hasira zinapokua zimemuisha.

    5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale anapokusamehe.

    6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya hivyo.

    7. Waheshimu wazazi wake.

    8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia wazazi wake na kuwapelekea chochote. Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.

    9. Msuprise kwa chakula akipendacho, hasa kipindi kile anapokuwa na msongo wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.

    10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie chakula mume wako ukiwa nyumbani.

    11. Mkaribishe kwa kumkumbatia anapotoka kwenye mihangaiko yake. Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.

    12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.

    13. Mpigie simu na umwambie kwamba unampenda na umemkumbuka

    14. Muamshe asubuhi na umpe romance kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe na hata jishughulisha na wanawake wengine siku hiyo.

    15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.

    16. Mwambie ni kiasi gani una bahati kuwa nae kama mume wako.

    17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.

    18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu wako katika maisha yako.

    19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi mikononi mwa Mungu.

    20. Tengenezeni utaratibu wa familia nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.

    Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate wapenzi wenye mapenzi ya kweli leo na daima.

    Na wasio serious na mahusiano wanaokupotezea muda wako wajikatae kwako mapema ili wasikuzibie nafasi ya kutimiza kusudi la Mungu kwako.

    Kwanini tusiseme "Amen"!
    FANYA HAYA KWA MUME WAKO. 1. Muite kwa jina lake la utani 2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba. 3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani. 4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda kumuomba msamaha na kumueleza kwanini ulimkosea pale hasira zinapokua zimemuisha. 5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale anapokusamehe. 6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya hivyo. 7. Waheshimu wazazi wake. 8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia wazazi wake na kuwapelekea chochote. Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia. 9. Msuprise kwa chakula akipendacho, hasa kipindi kile anapokuwa na msongo wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake. 10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie chakula mume wako ukiwa nyumbani. 11. Mkaribishe kwa kumkumbatia anapotoka kwenye mihangaiko yake. Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi. 12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka wote kwenda kwenye warsha mbalimbali. 13. Mpigie simu na umwambie kwamba unampenda na umemkumbuka 14. Muamshe asubuhi na umpe romance kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe na hata jishughulisha na wanawake wengine siku hiyo. 15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako. 16. Mwambie ni kiasi gani una bahati kuwa nae kama mume wako. 17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile. 18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu wako katika maisha yako. 19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi mikononi mwa Mungu. 20. Tengenezeni utaratibu wa familia nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja kila asubuhi na usiku kabla ya kulala. Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate wapenzi wenye mapenzi ya kweli leo na daima. Na wasio serious na mahusiano wanaokupotezea muda wako wajikatae kwako mapema ili wasikuzibie nafasi ya kutimiza kusudi la Mungu kwako. Kwanini tusiseme "Amen"!
    ·258 Visualizações
  • KUNGUR WA AJABU

    Kulikuwa na kijiji kidogo pembezoni mwa msitu mnene, ambapo watu waliishi kwa amani kwa muda mrefu. Lakini siku moja, hali ilianza kubadilika. Kunguru mweusi, mkubwa, mwenye macho mekundu yaliyojaa ghadhabu, alitokea msituni na kuanza kuwatisha watu wa kijiji. Wakazi walikuwa wakisikika wakinong'ona kuhusu kunguru huyo, wakisema kuwa alikuwa amepatwa na kichaa baada ya kula mizizi ya ajabu kutoka kwenye ardhi ya msitu uliojaa siri.Kila asubuhi, kunguru huyo aliruka juu ya kijiji, akipiga kelele za kutisha na kushambulia yeyote aliyethubutu kutoka nje ya nyumba zao. Alikuwa na nguvu zisizo za kawaida, na kwa kila alipomjeruhi mtu, aliwafanya kuwa na hofu kubwa zaidi. Hali ilikuwa mbaya sana, kiasi kwamba hata wanyama wa kijiji walikimbilia misituni kwa hofu ya mashambulizi yake.Lakini kulikuwa na kijana mmoja jasiri aliyeitwa Juma, aliyekuwa mkulima wa kawaida lakini mwenye moyo wa ujasiri. Alikuwa ameona maangamizi yaliyosababishwa na kunguru kichaa, na akaamua kwamba lazima kitu kifanyike. Usiku mmoja, Juma aliamua kwenda msituni, sehemu iliyosemekana kuwa ndiyo chanzo cha laana ya kunguru yule.Akiwa amebeba mkuki na kibuyu cha dawa kutoka kwa mganga wa kijiji, Juma aliingia kwenye msitu wenye giza na ukimya wa kutisha. Alitembea kwa muda, hadi alipofika kwenye mti mkubwa, wenye mizizi iliyotanda ardhini kama mikono ya kishetani. Ghafla, macho mekundu yalitokea gizani—ni kunguru kichaa! Aliruka kwa ghadhabu kuelekea Juma, akipiga kelele za kutisha huku akifurusha mabawa yake makubwa.Juma, bila woga, alimwaga dawa kutoka kwenye kibuyu juu ya mizizi ya mti ule. Kwa mshangao, kunguru alilia kwa sauti kubwa, na ghafla akaanguka chini. Mizizi ya mti ule ilianza kung’ara, na giza lililotanda likatoweka. Kumbe, kunguru alikuwa amelishwa sumu na mizizi hiyo, na ndiyo ilimfanya awe kichaa. Mti ulipomaliza kutoa sumu, kunguru alirejea kuwa ndege wa kawaida, na kijiji kilipata amani tena.Kutoka siku hiyo, Juma aliheshimiwa na kijiji kwa ujasiri wake, na kunguru, aliyekuwa amekuwa rafiki wa wanakijiji, aliruka kila siku bila kumdhuru yeyote. Watu walijifunza kwamba ujasiri na maarifa vinaweza kumaliza hata hofu kubwa zaidi.
    KUNGUR WA AJABU Kulikuwa na kijiji kidogo pembezoni mwa msitu mnene, ambapo watu waliishi kwa amani kwa muda mrefu. Lakini siku moja, hali ilianza kubadilika. Kunguru mweusi, mkubwa, mwenye macho mekundu yaliyojaa ghadhabu, alitokea msituni na kuanza kuwatisha watu wa kijiji. Wakazi walikuwa wakisikika wakinong'ona kuhusu kunguru huyo, wakisema kuwa alikuwa amepatwa na kichaa baada ya kula mizizi ya ajabu kutoka kwenye ardhi ya msitu uliojaa siri.Kila asubuhi, kunguru huyo aliruka juu ya kijiji, akipiga kelele za kutisha na kushambulia yeyote aliyethubutu kutoka nje ya nyumba zao. Alikuwa na nguvu zisizo za kawaida, na kwa kila alipomjeruhi mtu, aliwafanya kuwa na hofu kubwa zaidi. Hali ilikuwa mbaya sana, kiasi kwamba hata wanyama wa kijiji walikimbilia misituni kwa hofu ya mashambulizi yake.Lakini kulikuwa na kijana mmoja jasiri aliyeitwa Juma, aliyekuwa mkulima wa kawaida lakini mwenye moyo wa ujasiri. Alikuwa ameona maangamizi yaliyosababishwa na kunguru kichaa, na akaamua kwamba lazima kitu kifanyike. Usiku mmoja, Juma aliamua kwenda msituni, sehemu iliyosemekana kuwa ndiyo chanzo cha laana ya kunguru yule.Akiwa amebeba mkuki na kibuyu cha dawa kutoka kwa mganga wa kijiji, Juma aliingia kwenye msitu wenye giza na ukimya wa kutisha. Alitembea kwa muda, hadi alipofika kwenye mti mkubwa, wenye mizizi iliyotanda ardhini kama mikono ya kishetani. Ghafla, macho mekundu yalitokea gizani—ni kunguru kichaa! Aliruka kwa ghadhabu kuelekea Juma, akipiga kelele za kutisha huku akifurusha mabawa yake makubwa.Juma, bila woga, alimwaga dawa kutoka kwenye kibuyu juu ya mizizi ya mti ule. Kwa mshangao, kunguru alilia kwa sauti kubwa, na ghafla akaanguka chini. Mizizi ya mti ule ilianza kung’ara, na giza lililotanda likatoweka. Kumbe, kunguru alikuwa amelishwa sumu na mizizi hiyo, na ndiyo ilimfanya awe kichaa. Mti ulipomaliza kutoa sumu, kunguru alirejea kuwa ndege wa kawaida, na kijiji kilipata amani tena.Kutoka siku hiyo, Juma aliheshimiwa na kijiji kwa ujasiri wake, na kunguru, aliyekuwa amekuwa rafiki wa wanakijiji, aliruka kila siku bila kumdhuru yeyote. Watu walijifunza kwamba ujasiri na maarifa vinaweza kumaliza hata hofu kubwa zaidi.
    ·268 Visualizações
  • “Watu wengi wanajiuliza kwanini tumehama Chamazi kuja hapa, niwaambie tu kinachotusumbua sisi ni Upweke, ilikuwa ngumu sana sisi kucheza kule na My wetu yupo hapa, hivyo tumekuja kumfuata yeye na hapa kwasasa tunajisikia raha sana, ni upweke ulikuwa unatusumbua”

    Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga.
    “Watu wengi wanajiuliza kwanini tumehama Chamazi kuja hapa, niwaambie tu kinachotusumbua sisi ni Upweke, ilikuwa ngumu sana sisi kucheza kule na My wetu yupo hapa, hivyo tumekuja kumfuata yeye na hapa kwasasa tunajisikia raha sana, ni upweke ulikuwa unatusumbua” Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga.
    Like
    Love
    3
    1 Comentários ·177 Visualizações
Páginas Impulsionadas