• Keep on moving and never give up guys
    NB:
    Them want war them got war
    #_RaggedVoice
    Keep on moving and never give up guys NB: Them want war them got war #_RaggedVoice
    Like
    Love
    5
    4 Comentários 0 Compartilhamentos 246 Visualizações
  • Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na kupendana sana.

    Yawezekana uwaonao wanapendana sana leo hii kuna mahala UPENDO wao ulipuuzwa na kukinaiwa.

    Mapito yenye maumivu hayaondoi thamani ya mtu sahihi. Hata kama umeumizwa sana wewe, endelea kuwa mtu sahihi na mwenye thamani.

    NB:
    Utakutana na mtu wa aina yako na utafurahia matamanio yako ya muda mrefu. Furaha, amani na kila nzuri ulilotamani litakuwa sehemu maisha yako.
    #_Raggedvoice
    Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na kupendana sana. Yawezekana uwaonao wanapendana sana leo hii kuna mahala UPENDO wao ulipuuzwa na kukinaiwa. Mapito yenye maumivu hayaondoi thamani ya mtu sahihi. Hata kama umeumizwa sana wewe, endelea kuwa mtu sahihi na mwenye thamani. NB: Utakutana na mtu wa aina yako na utafurahia matamanio yako ya muda mrefu. Furaha, amani na kila nzuri ulilotamani litakuwa sehemu maisha yako. #_Raggedvoice
    Like
    Love
    4
    1 Comentários 0 Compartilhamentos 314 Visualizações
  • Mwanaume anapopata Pesa anawaza kumtunza mke wake na watoto wake na Familia kwa ujumla lakini Mwanamke anapopata Pesa anahisi hakuna umuhimu wa kuwa na Mwanaume

    NB:
    Hii ni kwa Wanaume na ustawi wa kipato chako kamwe usidate na Mwanamke ambaye anakuzidi Matatizo
    #_raggedvoice
    ⚠️Mwanaume anapopata Pesa anawaza kumtunza mke wake na watoto wake na Familia kwa ujumla lakini Mwanamke anapopata Pesa anahisi hakuna umuhimu wa kuwa na Mwanaume✍️📌 NB: Hii ni kwa Wanaume na ustawi wa kipato chako kamwe usidate na Mwanamke ambaye anakuzidi Matatizo🙏 #_raggedvoice
    Like
    Love
    5
    4 Comentários 0 Compartilhamentos 289 Visualizações
  • Mtu pekee anayekuombea mema katika hatua zako ni Mama na Baba yako tu,hao wengine hawana msimamo na sala zao juu yako
    Ukifa unadhani nani atakaa kwenye Kaburi lako kwa muda mrefu...

    NB:
    Hivi ukifanya mapenzi na Mwanamke mmesimama bado itahesabika kuwa ulilala nae..?
    #_raggedvoice
    ⚠️Mtu pekee anayekuombea mema katika hatua zako ni Mama na Baba yako tu,hao wengine hawana msimamo na sala zao juu yako📌 Ukifa unadhani nani atakaa kwenye Kaburi lako kwa muda mrefu...✍️ NB: Hivi ukifanya mapenzi na Mwanamke mmesimama bado itahesabika kuwa ulilala nae..🤔? #_raggedvoice
    Like
    Love
    3
    5 Comentários 0 Compartilhamentos 297 Visualizações