2 Σχόλια
·151 Views
·0 Donations
Αναζήτηση
Ανακάλυψε νέους ανθρώπους, δημιούργησε νέες συνδέσεις και κάνε καινούργιους φίλους
-
-
Kifupi ni mtoto ambaye ameshashindikana//
Bora angekuwa wakiume lkn ni msichana//
Wamempa jina chuo cha mafunzo wavulana//
Majirani wanasema km hajatupiwa jini basi labda ana lana//
Aisee kaumbika ukimuona kwa uroho mate lazima yatakutoka//
Anashepu amazing ya kukata na shoka//
Nyumbani maisha safi sio mbwa kachoka//
Ninachompenda hajali ukuu wa familia anayotoka//
Alianzaga taratibu usiku anatoroka home kwa kuruka ukuta//
Now ameshakuwa mzoefu kila week end 9t club utamkuta//
Sometime anajifanya tom boy hadi bangi anavuta//
Mjini msingi kiuno ukiwa na chapaa muda wowote utapata//
Hanaga uwoga mtoto wa mjini Dar es salaam//
Hajali kuhusu magonjwa utasikia yameumbiwa binadamu//
Ukimuona utasema uyo ndo mke 7bu haumfahamu//
Vituko vingi km hana akili timamu//
Ni moto wa kuotea mbali kina cha maji usipime//
Hataki tena vibamia anataka ya kukoboa na kusaga mashine//Kifupi ni mtoto ambaye ameshashindikana// Bora angekuwa wakiume lkn ni msichana// Wamempa jina chuo cha mafunzo wavulana// Majirani wanasema km hajatupiwa jini basi labda ana lana// Aisee kaumbika ukimuona kwa uroho mate lazima yatakutoka// Anashepu amazing ya kukata na shoka// Nyumbani maisha safi sio mbwa kachoka// Ninachompenda hajali ukuu wa familia anayotoka// Alianzaga taratibu usiku anatoroka home kwa kuruka ukuta// Now ameshakuwa mzoefu kila week end 9t club utamkuta// Sometime anajifanya tom boy hadi bangi anavuta// Mjini msingi kiuno ukiwa na chapaa muda wowote utapata// Hanaga uwoga mtoto wa mjini Dar es salaam// Hajali kuhusu magonjwa utasikia yameumbiwa binadamu// Ukimuona utasema uyo ndo mke 7bu haumfahamu// Vituko vingi km hana akili timamu// Ni moto wa kuotea mbali kina cha maji usipime// Hataki tena vibamia anataka ya kukoboa na kusaga mashine//·422 Views