Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaoendelea hadi mwaka 2034. Haaland alijiunga na Manchester City mwaka 2022 akitokea katika klabu Borussia Dortmund ya Ujerumani na tangu wakati huo amefunga mabao (111) katika mechi (126).
Msimu wake wa kwanza ulikuwa wa mafanikio makubwa, akifunga mabao (52) kwenye mashindano yote, akionyesha uwezo wa hali ya juu katika soka la kimataifa. Mkataba huu mpya unafuta mkataba wa mwanzo uliotarajiwa kumalizika mwaka 2027, na unalenga kuhakikisha Haaland anabaki kuwa sehemu muhimu ya klabu hiyo ya Jiji la Manchester.
"Nina furaha kubwa kusaini mkataba huu mpya na kuendelea kuwa sehemu ya klabu hii bora. Manchester City ni klabu maalum yenye watu wa ajabu na mashabiki wa kipekee, na mazingira haya yananifanya kuwa bora zaidi." - Erling Haaland
Haaland ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu ya England, FA Cup, Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League), na Super Cup akiwa na Manchester City.
"Urefu wa mkataba huu unaonyesha dhamira yetu kwa Haaland kama mchezaji na jinsi anavyothamini klabu hii." - Txiki Begiristan, Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Manchester City.

·27 Views