Kila mwanadamu aliye wahi kupendwa na Mungu zawadi kubwa Mungu aliyo mpa huyo mtu ni watu.
Isaya 43:4
[4]Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
Hivi umewahi kujiuliza kuwa pamoja na ujemedari wote wa Nahamani lakini ukoma wake ulibadilishwa kutoka kwa mtu aliye mpa code ya kuwa kuna mtu wa Mungu anaitwa Elisha.
Musa pamoja na nguvu nyingi sana za Mungu alizo kuwa nazo bado alihitaji watu ili aweze kutimiza kusudi lake na Mungu akamchagulua Haruni ,wakina Yoshua ,Huri na wengine.
Elia pamoja na kuwa na nguvu ya kusimamisha mvua lakini kuna muda alihitaji mtu ili apate kula chakula.
Watu ni funguo na watu ni kufuli ukichanganya nama ya kuishi na watu umechanganya maisha.
Kila unacho kihitaji kiko mikononi mwa wengine ni muhimu sana kumuomba Mungu akupe watu ili kupitia watu upate majibu.
Unaomba Mungu akuoe kazi lakini uhalisia kazi unayo paswa kupewa iko mikononi mwa watu.
Zaburi 2:8
[8]Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako,
Na miisho ya dunia kuwa milki yako.
Usiogope omba Mungu ni mwaminifu atakupa watu ambao ndio watabadilisha maisha yako.
Kuna kundi la watu wanaitwa destiny helper's,divine connector na destiny shapers kila unapo omba muombe Mungu akusogezeee watu hawa maisha yako hayatabaki kama ulivyo.
Wanaweza wasiwe matajiri ila wanajua njia za kupita ambazo ukipita utakuwa gumzo kwa dunia.
YESU pamoja na nafasi yake ya uungu lakini pia alihitaji watu ili akamilishe kusudi lake duniani.
Nikutakie asubui njema na siku njema
BNE , Sylvester mwakabende
0622625340
#buidneweden
#restoremenposition

0 التعليقات
·0 المشاركات
·29 مشاهدة