Upgrade to Pro

  • Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe.

    "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema.

    Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe.

    Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza.

    Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo!

    Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 🙏🏾🙏🏾" ameandika Wolper.

    Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe. "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema. Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe. Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza. Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo! Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 🙏🏾🙏🏾" ameandika Wolper.
    Wow
    1
    ·233 Views
  • Touch and hold a clip to pin it. Unpinned clips will be deleted after 1 hour.
    Touch and hold a clip to pin it. Unpinned clips will be deleted after 1 hour.
    Like
    1
    ·290 Views
  • EVERY STEP LEAVES FOOTPRINT , NO MATTER HOW SMALL.

    Kung Fu Panda 4 (2024 movie )
    Don't miss to see po as the Dragon worrier and who will be his succesor 🤷🏽
    For movie edditings and clip like this, follow up this page and link bio
    #movies #trendings #animations #clips #socialpop #kungfupanda #kungfupanda4 #entertainments
    EVERY STEP LEAVES FOOTPRINT 👣, NO MATTER HOW SMALL. Kung Fu Panda 4 (2024 movie ) 🍿🔥🥤 Don't miss to see po as the Dragon worrier and who will be his succesor 🤷🏽😀🔥🔥 For movie edditings and clip like this, follow up this page and link bio 🙂🙂 #movies #trendings #animations #clips #socialpop #kungfupanda #kungfupanda4 #entertainments 🍿☠️
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·1K Views
  • Haya wale wa mbinguni wa mbinguni

    #funny
    #socialpop
    #tanzaniasocialmedia
    #shortclips [Neemadish]
    Haya wale wa mbinguni wa mbinguni 😆😂😆😂😆😂😂😂😂😆😂😆😂 #funny #socialpop #tanzaniasocialmedia #shortclips [Neemadish]
    Like
    Love
    Haha
    6
    2 Comments ·731 Views ·41 Views ·1 Shares