Upgrade to Pro

  • #CHEKA_KIDOGO
    Mlevi mmoja alipita sehemu akakuta kundi la watu wakiwa wanabatizwa kwenye kisima kidogo cha maji akaona mchungaji anamzamisha mtu na kumtoa mlevi akahisi kuwa kunakitu wanakitafuta ikabidi apange mstari baada ya zamu yake kufika mchungaji akamzamisha kwa mara ya kwanza kisha akamuuliza umempokea yesu, mlevi akajibu bado akamzamisha tena ilipofika mara ya tatu yule mlevi ikabidi aulize kwamba hivi mnauhakika kama yesu alizama hapa au tuna sumbuana tu?
    #HAHAHAHAH POMBE MBAYA SANA AIMWACHI MTU SALAMA

    #nifuate
    #followme
    @highlight
    #CHEKA_KIDOGO Mlevi mmoja alipita sehemu akakuta kundi la watu wakiwa wanabatizwa kwenye kisima kidogo cha maji akaona mchungaji anamzamisha mtu na kumtoa mlevi akahisi kuwa kunakitu wanakitafuta ikabidi apange mstari baada ya zamu yake kufika mchungaji akamzamisha kwa mara ya kwanza kisha akamuuliza umempokea yesu, mlevi akajibu bado akamzamisha tena ilipofika mara ya tatu yule mlevi ikabidi aulize kwamba hivi mnauhakika kama yesu alizama hapa au tuna sumbuana tu? #HAHAHAHAH POMBE MBAYA SANA AIMWACHI MTU SALAMA #nifuate #followme @highlight
    Like
    Love
    3
    ·184 Views
  • Mwanamuziki Mandojo auawa akidhaniwa mwizi

    Habari kutoka mkoani Dodoma zinaeleza kuwa
    Mwanamuziki wa Bongo Fleva,
    Joseph Francis maarufu kwa jina la Mandojo amefariki duniani.

    Taarifa ya awali zilizotolewa na mwanamuziki Domokaya ambaye pia waliwahi kuimba pamoja na mwingine Black Rhino zinasema Mandojo amefariki dunia akiwa njiani akipelekwa hospitalini baada ya kushambuliwa na kupigwa na watu waliodhani kuwa ni mwizi.

    Wakati wa uhai wake Mandojo akiwa na Domokaya waliwahi kutamba na vibao kama
    Nikupe Nini (2003), Dingi (2004) na Taswira (2005) ambayo walimshirikisha Inspekta Haroun.
    #followme
    Mwanamuziki Mandojo auawa akidhaniwa mwizi Habari kutoka mkoani Dodoma zinaeleza kuwa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Joseph Francis maarufu kwa jina la Mandojo amefariki duniani. Taarifa ya awali zilizotolewa na mwanamuziki Domokaya ambaye pia waliwahi kuimba pamoja na mwingine Black Rhino zinasema Mandojo amefariki dunia akiwa njiani akipelekwa hospitalini baada ya kushambuliwa na kupigwa na watu waliodhani kuwa ni mwizi. Wakati wa uhai wake Mandojo akiwa na Domokaya waliwahi kutamba na vibao kama Nikupe Nini (2003), Dingi (2004) na Taswira (2005) ambayo walimshirikisha Inspekta Haroun. #followme
    ·616 Views