• Miaka kadhaa iliyopita, hii ilikuwa nyumba nzuri zaidi katika mtaa huu. Mmiliki wake alikuwa mtu tajiri zaidi ambaye kila mmoja alimtegemea kwa msaada. Gari lake lilikuwa kivutio kwa macho ya kila mtu. Ilionekana kama ndoto kutimia pale alipoongeza nyumba na gari hilo katika orodha ya mali zake. Lakini leo, mali hizo zimezeeka, na kwa mujibu wa sheria ya asili, lazima ziporomoke ili nafasi ya nyumba mpya ipatikane.
    Kama mtu yeyote atapatikana akiishi ndani ya jengo hilo kwa hali lilivyo sasa, mtu huyo huonekana kama "mchizi" na huogopwa kama hatari.
    Hakuna kitu duniani kinachostahili kupiganiwa kwa udi na uvumba. Mavazi yako bora ni matambara ya mtu mwingine. Salio lako benki ni mchango wa mtu mwingine kwenye harusi. Mpenzi wako wa sasa ni ex wa mtu mwingine. Kila kahaba unayemuona hotelini au mtaani usiku, aliwahi kuwa bikira. Basi kuna sababu gani ya kugombana? Maisha ni mafupi mno kujiona bora au mkubwa kuliko wengine.
    “Tote tuko uchi mbele ya kifo,” alisema Steve Jobs. Hakuna kitu kinachoweza kutuokoa nacho. Sipendi kuona watu wanaojivuna kwa mali, uzuri, akili, elimu, umaarufu au vitu vya kidunia. Hakuna ulichofanikiwa maishani ambacho wengine hawajawahi kupata. Kitu kimoja tu kinachostahili kujivunia ni: “Maisha ndani ya Mungu Mwenyezi.” Kwa hiyo, kuwa mwema kwa wanadamu wenzako na jenga urafiki kila wakati. Kumbuka kwamba wale uliowakanyaga ukiwa unapaa juu, unaweza kuwakuta tena ukiwa unashuka.
    Hivyo, usiwasababishie wengine shida, maana siku moja, wao ndio watakuwa shida yako. Mwisho, hata mgomba hufikia kukauka na kuwa majani makavu. Usiongozwe na mali za dunia – huchakaa na kufa.

    KUWA MWEMA KILA WAKATI.
    Miaka kadhaa iliyopita, hii ilikuwa nyumba nzuri zaidi katika mtaa huu. Mmiliki wake alikuwa mtu tajiri zaidi ambaye kila mmoja alimtegemea kwa msaada. Gari lake lilikuwa kivutio kwa macho ya kila mtu. Ilionekana kama ndoto kutimia pale alipoongeza nyumba na gari hilo katika orodha ya mali zake. Lakini leo, mali hizo zimezeeka, na kwa mujibu wa sheria ya asili, lazima ziporomoke ili nafasi ya nyumba mpya ipatikane. Kama mtu yeyote atapatikana akiishi ndani ya jengo hilo kwa hali lilivyo sasa, mtu huyo huonekana kama "mchizi" na huogopwa kama hatari. Hakuna kitu duniani kinachostahili kupiganiwa kwa udi na uvumba. Mavazi yako bora ni matambara ya mtu mwingine. Salio lako benki ni mchango wa mtu mwingine kwenye harusi. Mpenzi wako wa sasa ni ex wa mtu mwingine. Kila kahaba unayemuona hotelini au mtaani usiku, aliwahi kuwa bikira. Basi kuna sababu gani ya kugombana? Maisha ni mafupi mno kujiona bora au mkubwa kuliko wengine. “Tote tuko uchi mbele ya kifo,” alisema Steve Jobs. Hakuna kitu kinachoweza kutuokoa nacho. Sipendi kuona watu wanaojivuna kwa mali, uzuri, akili, elimu, umaarufu au vitu vya kidunia. Hakuna ulichofanikiwa maishani ambacho wengine hawajawahi kupata. Kitu kimoja tu kinachostahili kujivunia ni: “Maisha ndani ya Mungu Mwenyezi.” Kwa hiyo, kuwa mwema kwa wanadamu wenzako na jenga urafiki kila wakati. Kumbuka kwamba wale uliowakanyaga ukiwa unapaa juu, unaweza kuwakuta tena ukiwa unashuka. Hivyo, usiwasababishie wengine shida, maana siku moja, wao ndio watakuwa shida yako. Mwisho, hata mgomba hufikia kukauka na kuwa majani makavu. Usiongozwe na mali za dunia – huchakaa na kufa. KUWA MWEMA KILA WAKATI.
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·442 Views
  • Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ?

    1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha .

    2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) .

    Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio .

    Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa .

    NOTE :

    1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli)

    2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi )

    3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo nimependa Energy ya Maabad

    4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake )

    FT: Yanga 1-0 Coastal Union .
    (Kelvin Rabson).

    Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ? 1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha . 2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) . ✍️ Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio . ✍️ Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa . NOTE : 1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli) 2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi 🔥) 3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo 👏 nimependa Energy ya Maabad ✅ 4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake ) FT: Yanga 1-0 Coastal Union . (Kelvin Rabson).
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·696 Views
  • "Waamuzi wetu waliangalia world cup 2022? Basi hata Saudi pro league inaonyeshwa kwenye visimbuzi ambavyo wako navyo majumbani mwao.

    Na sio leo tu, ni kama wameiweka akilini kuwa dakika za nyongeza ni kadhaa tu bila kuangalia matukio yaliyo simamisha mchezo kwenye kipindi husika" - George Job, Mchambuzi.
    "Waamuzi wetu waliangalia world cup 2022? Basi hata Saudi pro league inaonyeshwa kwenye visimbuzi ambavyo wako navyo majumbani mwao. Na sio leo tu, ni kama wameiweka akilini kuwa dakika za nyongeza ni kadhaa tu bila kuangalia matukio yaliyo simamisha mchezo kwenye kipindi husika" - George Job, Mchambuzi.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·199 Views
  • "Simba SC wamepoteza lakini HII WANAVUKA, NO DOUBT. Sioni Al Masry wakileta ubishi kwa Mkapa, dhahiri watatii Sheria iwe kwa shuruti au bila shuruti. Heads up boys, come finish your job. TANZANIA KWANZA" - Jemedari Said, Mchambuzi.

    "Simba SC wamepoteza lakini HII WANAVUKA, NO DOUBT. Sioni Al Masry wakileta ubishi kwa Mkapa, dhahiri watatii Sheria iwe kwa shuruti au bila shuruti. Heads up boys, come finish your job. TANZANIA 🇹🇿 KWANZA" - Jemedari Said, Mchambuzi.
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·555 Views
  • #Repost @georgejob_gj
    MASTER KI NI MVP TUSISAHAU.

    Tusisahau kua huyu Aziz Ki ndiye MVP wa ligi yetu Tanzania Bara msimu wa 2023/2024 haya anayo yafanya sio kwa Bahati Mbaya au kwa sababu Pamba ni wabovu Master Ki is a versatile player

    Goli la pili alilo piga ukiangalia mentality yake ilivyo change kwa haraka kutoka kutaka kutoa pasi na kufanya maamuzi ya kupiga shuti la kucave golini utagundua Azizi Ki ni mchezaji Mwenye akili kubwa sana ya Mpira.

    Pamba walizidiwa kimbinu kwenye kila sehemu Substitution walizo fanya ya Nakibinge na Habib Kyombo wallijaribu kutaka kubadilisha mchezo lakini mbinu ya Yanga bado iliendelea kutawala mchezo.

    Yona Amos moja ya Makipa Bora sana nchini bahati mbaya leo kakutana na Yanga iliyo Bora sana kimbinu karibu magoli yote aliyofungwa ni magoli ambayo sio ya kumlaumu ni magoii ya kiufundi.

    NB: Ikangalombo apewe muda au Mali ipo?
    (George Job, Mchambuzi)

    #Repost @georgejob_gj MASTER KI NI MVP TUSISAHAU. Tusisahau kua huyu Aziz Ki ndiye MVP wa ligi yetu Tanzania Bara msimu wa 2023/2024 haya anayo yafanya sio kwa Bahati Mbaya au kwa sababu Pamba ni wabovu Master Ki is a versatile player 🙌 Goli la pili alilo piga ukiangalia mentality yake ilivyo change kwa haraka kutoka kutaka kutoa pasi na kufanya maamuzi ya kupiga shuti la kucave golini utagundua Azizi Ki ni mchezaji Mwenye akili kubwa sana ya Mpira. Pamba walizidiwa kimbinu kwenye kila sehemu Substitution walizo fanya ya Nakibinge na Habib Kyombo wallijaribu kutaka kubadilisha mchezo lakini mbinu ya Yanga bado iliendelea kutawala mchezo. Yona Amos moja ya Makipa Bora sana nchini bahati mbaya leo kakutana na Yanga iliyo Bora sana kimbinu karibu magoli yote aliyofungwa ni magoli ambayo sio ya kumlaumu ni magoii ya kiufundi. NB: Ikangalombo apewe muda au Mali ipo? (George Job, Mchambuzi)
    0 Comments ·0 Shares ·642 Views
  • MEDICAL ATTENDANT PLATINUM MEDICAL

    Tsh234 - Tsh577 / Hour
    Location
    Dar es Salaam
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: MEDICAL ATTENDANT PLATINUM MEDICAL

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/medical-attendant-job-at-platinum-medical/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache
    Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: MEDICAL ATTENDANT PLATINUM MEDICAL Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/medical-attendant-job-at-platinum-medical/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·939 Views
  • ASSISTANT NURSE PLATINUM MEDICAL

    Tsh234 - Tsh577 / Hour
    Location
    Morogoro
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: ASSISTANT NURSE PLATINUM MEDICAL

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/assistant-nursing-officer-job-at-platinum-medical/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache
    Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: ASSISTANT NURSE PLATINUM MEDICAL Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/assistant-nursing-officer-job-at-platinum-medical/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·973 Views
  • NAFASI KWA WAHUDUMU RAMADA RESORT

    Tsh234 - Tsh577 / Hour
    Location
    Tanzania
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI KWA WAHUDUMU RAMADA RESORT- Hakuna elimu inayoitajika

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/hotel-waiter-waitress-jobs-at-ramada-resort/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache
    Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI KWA WAHUDUMU RAMADA RESORT- Hakuna elimu inayoitajika Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/hotel-waiter-waitress-jobs-at-ramada-resort/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·903 Views
  • NAFASI 4 KIWANDA CHA KILOMBERO SUGAR

    Tsh234 - Tsh456 / Hour
    Location
    Morogoro
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI 4 KIWANDA CHA KILOMBERO SUGAR

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/4new-jobs-in-tanzania-at-kilombero-sugar-open-jan2025/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI 4 KIWANDA CHA KILOMBERO SUGAR Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/4new-jobs-in-tanzania-at-kilombero-sugar-open-jan2025/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·907 Views
  • ACCOUNTANT SHIRIKA LA LVIA TANZANIA

    Tsh123 - Tsh234 / Hour
    Location
    Tanzania
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: ACCOUNTANT SHIRIKA LA LVIA TANZANIA

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/accountant-job-at-lvia-open-jan2025/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: ACCOUNTANT SHIRIKA LA LVIA TANZANIA Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/accountant-job-at-lvia-open-jan2025/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·890 Views
  • "Mimi CAF hawawezi kunifuata kwa sababu nina ratiba ya kuandaa timu kuelekea Robo Fainali, kwahiyo CAF wanaangalia nani hana kazi, ndiyo maana wanamualika yaani Jobless" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC akijibu swali kuhusu kutokualikwa kwenye droo ya CAF Morocco baada ya Msemaji mwenzie wa klabu ya Yanga SC Ally Kamwe kualikwa.

    "Mimi CAF hawawezi kunifuata kwa sababu nina ratiba ya kuandaa timu kuelekea Robo Fainali, kwahiyo CAF wanaangalia nani hana kazi, ndiyo maana wanamualika yaani Jobless" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC akijibu swali kuhusu kutokualikwa kwenye droo ya CAF Morocco baada ya Msemaji mwenzie wa klabu ya Yanga SC Ally Kamwe kualikwa.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·570 Views

    Haha
    Like
    3
    · 1 Comments ·0 Shares ·506 Views
  • MSAIDIZI/OFFICE  ASSISTANT   KAMPUNI YA MAR-KIM UNIPLAST

    Tsh345 - Tsh345 / Month
    Location
    Dar es Salaam
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: MSAIDIZI/OFFICE  ASSISTANT   KAMPUNI YA MAR-KIM UNIPLAST

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/office-assistant-job-at-mar-kim-uniplast-co-ltd/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: MSAIDIZI/OFFICE  ASSISTANT   KAMPUNI YA MAR-KIM UNIPLAST Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/office-assistant-job-at-mar-kim-uniplast-co-ltd/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·885 Views
  • CASHIER KAMPUNI YA MAR-KIM UNIPLAST

    Tsh234 - Tsh577 / Hour
    Location
    Tanzania
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: CASHIER KAMPUNI YA MAR-KIM UNIPLAST

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/cashier-job-at-mar-kim-uniplast-co-ltd/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: CASHIER KAMPUNI YA MAR-KIM UNIPLAST Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/cashier-job-at-mar-kim-uniplast-co-ltd/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·888 Views
  • NAFASI ZA USAFI WA BUSTANI UBAROZI WA KOREA

    Tsh234 - Tsh345 / Hour
    Location
    Dar es Salaam
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI ZA USAFI WA BUSTANI UBAROZI WA KOREA

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/gardener-job-at-the-republic-of-korea-embassy/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI ZA USAFI WA BUSTANI UBAROZI WA KOREA Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/gardener-job-at-the-republic-of-korea-embassy/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·943 Views
  • NAFASI KAMPUNI YA ALFA PHARMACEUTICALS

    Tsh123 - Tsh134 / Hour
    Location
    Dar es Salaam
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI KAMPUNI YA ALFA PHARMACEUTICALS

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/boiler-technician-job-at-alfa-pharmaceuticals-open-jan2025/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI KAMPUNI YA ALFA PHARMACEUTICALS Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/boiler-technician-job-at-alfa-pharmaceuticals-open-jan2025/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·908 Views
  • NAFASI SHIRIKA LA NORWEGIAN REFUGEE

    Tsh123 - Tsh234 / Hour
    Location
    Kigoma
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI SHIRIKA LA NORWEGIAN REFUGEE

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/wash-project-coordinator-job-at-norwegian-refugee-council

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI SHIRIKA LA NORWEGIAN REFUGEE Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/wash-project-coordinator-job-at-norwegian-refugee-council Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·867 Views
  • LAB TECHNICIAN KAMPUNI YA AB INBEV BREWERIES

    Tsh234 - Tsh345 / Hour
    Location
    Arusha
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: LAB TECHNICIAN KAMPUNI YA AB INBEV BREWERIES

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/lab-technician-job-at-ab-inbev-open-jan2025/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: LAB TECHNICIAN KAMPUNI YA AB INBEV BREWERIES Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/lab-technician-job-at-ab-inbev-open-jan2025/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·932 Views
  • NAFASI  KAMPUNI YA GEOFIELDS TANZANIA

    Tsh234 - Tsh345 / Hour
    Location
    Geita
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI  KAMPUNI YA GEOFIELDS TANZANIA

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/senior-mining-engineer-job-at-geofields-tanzania/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: NAFASI  KAMPUNI YA GEOFIELDS TANZANIA Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/senior-mining-engineer-job-at-geofields-tanzania/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·866 Views
  • WAHUDUMU WA OFISI ELIMU YA SECONDARI  SHIRIKA LA AFO Dar es Salaam

    Tsh345 - Tsh456 / Hour
    Location
    Dar es Salaam
    Type
    Full Time
    Status
    Open
    ⭕️ *APPLY NOW*: WAHUDUMU WA OFISI ELIMU YA SECONDARI  SHIRIKA LA AFO Dar es Salaam

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/office-attendants-jobs-at-aqua-farms-afo-dar-es-salaam/

    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    ⭕️ *APPLY NOW*: WAHUDUMU WA OFISI ELIMU YA SECONDARI  SHIRIKA LA AFO Dar es Salaam Bofya Hapa 👉https://jamiichecktz.com/job/office-attendants-jobs-at-aqua-farms-afo-dar-es-salaam/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya👉https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup🙏🙏 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 👉https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 🙏🏼SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Comments ·0 Shares ·752 Views
More Results