Upgrade to Pro

  • #Baba_Levo amesema kuelekea Mchezo wa Yanga sc dhidi ya Al hilal, Yeye ataweka kiasi cha Tsh Mil 9 kwa Yanga Sc kwani ana uwakika zaidi Atashinda ..

    " Nikiwa Dubai kesho naiwekea Yanga Sc Mil Tisa .." ameandika Baba levo

    Baba levo ameandika Hayo kupitia kwenye Mtandao wake wa Instagram

    #kastulelias
    #Baba_Levo amesema kuelekea Mchezo wa Yanga sc dhidi ya Al hilal, Yeye ataweka kiasi cha Tsh Mil 9 kwa Yanga Sc kwani ana uwakika zaidi Atashinda .. ✍️" Nikiwa Dubai kesho naiwekea Yanga Sc Mil Tisa 🙏🙏 .." ameandika Baba levo Baba levo ameandika Hayo kupitia kwenye Mtandao wake wa Instagram #kastulelias
    Like
    1
    1 Yorumlar ·63 Views
  • “Tuko tayari kwaajili ya kuifunga Yanga na kupata alama zote tatu kwenye mchezo wa hapo kesho"

    Tuna hasira nao na turashinda dhidi yao.

    Patrice Beaumelle, Kocha Wa MC Alger.

    #kastulelias
    “Tuko tayari kwaajili ya kuifunga Yanga na kupata alama zote tatu kwenye mchezo wa hapo kesho" Tuna hasira nao na turashinda dhidi yao. Patrice Beaumelle, Kocha Wa MC Alger. #kastulelias
    Like
    2
    1 Yorumlar ·188 Views
  • Baada ya kuwekwa hatiani siku kadhaa zilizopita, hatimaye Kiungo wa klabu ya Al Ahly ya Misri, Emam Ashour amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela baada ya Mahakama kumkuta na hatia ya kumshambulia Askari wa Usalama.

    ya Nchini humo

    Hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya Sheikh Zayed nchini Misri itamfanya Kiungo huyo kuikosa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Dunia la Vilabu ingawa anaweza kukata rufaa.

    #KastulElias
    🚨 Baada ya kuwekwa hatiani siku kadhaa zilizopita, hatimaye Kiungo wa klabu ya Al Ahly ya Misri, Emam Ashour amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela baada ya Mahakama kumkuta na hatia ya kumshambulia Askari wa Usalama. ya Nchini humo Hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya Sheikh Zayed nchini Misri itamfanya Kiungo huyo kuikosa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Dunia la Vilabu ingawa anaweza kukata rufaa. #KastulElias
    Like
    Love
    2
    1 Yorumlar ·264 Views
  • Bodi ya Ligi ya Kuu ya soka ya Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko kwenye mchezo wa NBC kati ya Pamba Jiji dhidi ya Simba, uliokuwa haujapangiwa tarehe baada ya kuondolewa Novemba 21, 2024.

    Taarifa kutoka TPLB zinasema kuwa mchezo huo sasa utachezwa utachezwa Novemba 22, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

    #KastulElias
    Bodi ya Ligi ya Kuu ya soka ya Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko kwenye mchezo wa NBC kati ya Pamba Jiji dhidi ya Simba, uliokuwa haujapangiwa tarehe baada ya kuondolewa Novemba 21, 2024. Taarifa kutoka TPLB zinasema kuwa mchezo huo sasa utachezwa utachezwa Novemba 22, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. #KastulElias
    Love
    Like
    3
    1 Yorumlar ·319 Views
  • Mousa N’daw Kocha Msaidizi wa Klabu ya Yanga amethibitisha kuondoka Klabuni hapo baada ya Uongozi wa Yanga kukubali ombi lake la kuondoka Klabuni hapo baada ya kupokea ofa nono kutoka katika moja ya timu nchini Libya.

    Taarifa za uhakika kutoka Yanga zinadai kuwa Abdi Himid Moalin ambaye alikua Kocha mkuu wa KMC, atachukua nafasi ya N’daw na huenda akatangazwa mapema hii Leo.

    #KastulElias
    Mousa N’daw Kocha Msaidizi wa Klabu ya Yanga amethibitisha kuondoka Klabuni hapo baada ya Uongozi wa Yanga kukubali ombi lake la kuondoka Klabuni hapo baada ya kupokea ofa nono kutoka katika moja ya timu nchini Libya. Taarifa za uhakika kutoka Yanga zinadai kuwa Abdi Himid Moalin ambaye alikua Kocha mkuu wa KMC, atachukua nafasi ya N’daw na huenda akatangazwa mapema hii Leo. #KastulElias
    Love
    Haha
    2
    1 Yorumlar ·273 Views
  • _|| 𝗝𝗨𝗟𝗘𝗦 𝗞𝗢𝗜𝗡𝗗𝗘

    Jules Kounde amewasili hivi kujiunga na kambi ya Timu ya Taifa ya Ufaransa, ✋️

    #kastulelias
    🚨_|| 𝗝𝗨𝗟𝗘𝗦 𝗞𝗢𝗜𝗡𝗗𝗘 ➡️ Jules Kounde amewasili hivi kujiunga na kambi ya Timu ya Taifa ya Ufaransa, 📷🇫🇷✋️ #kastulelias
    Love
    2
    1 Yorumlar ·244 Views