Upgrade to Pro

  • WHATSAPP BOT

    Whatsapp bot zimegawanyika katika makundi matatu :-
    1. NORMAL WHATSAPP BOT
    2. WHATSAPP BUG BOT
    3. SEMI WHATSAPP BOT

    > Normal WhatsApp bot - Ni zile bot ambazo zinafanya kazi zilizozoeleka mfano kuview status kulike,Kudowload media mbalimbali kama miziki na video za YouTube, kuweka ANTIDELETE, antiviewonce, kuedit picha, kutengeneza sticker na memes n,k

    *WhatsApp bug bot- Hizi ni Bot hatari sana zinaweza kufanya Crash katika account za WhatsApp ikapelekea kuharib WhatsApp ya victim au mlengwa,
    *Pia hizi bot zina uwezo wa kufanya kazi nyingine ambazo zinafanywa na Normal WhatsApp bot
    Pia hiz Bug bot zipo ambazo zinaweza kuhack account na kutrack ip address na mengineyo.**

    *Bug bot hutofautiana Nguvu zipo ambazo zinaweza kuhack hadi Pc na aina zote za simu iwe android au Iphone.**

    》》Semi WhatsApp bot > Hizi ni bot ambazo zipo katika zina sifa baadhi za kuwa Normal na sifa nyingine za kuwa Bug bot

    Kila sehemu zimechukua sifa kidogo kidgo

    Mfano wa Bot hizo ni kama
    - SUHAIL MD
    - FANTASTICS-BOT
    - LEVANTER MD
    - SUHAIL-XMD
    - FANTASTICS-BOT-V2

    Tofauti kuu ya bot hizi ni kwamba Normal Bot na semi Bot zote hutumia njia ya SESSION_ID na Hizo bug Bot hutumia njia ya Creds.json

    HIZO NDO AINA ZA WHATSAPP BOT, UTACHAGUA BOT KULINGANA NA MATUMIZI YAKO

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
    ▶︎ ●────────── 0:41
    WHATSAPP BOT Whatsapp bot zimegawanyika katika makundi matatu :- 1. NORMAL WHATSAPP BOT 2. WHATSAPP BUG BOT 🐛 3. SEMI WHATSAPP BOT > Normal WhatsApp bot - Ni zile bot ambazo zinafanya kazi zilizozoeleka mfano kuview status kulike,Kudowload media mbalimbali kama miziki na video za YouTube, kuweka ANTIDELETE, antiviewonce, kuedit picha, kutengeneza sticker na memes n,k *WhatsApp bug bot- Hizi ni Bot hatari sana zinaweza kufanya Crash katika account za WhatsApp ikapelekea kuharib WhatsApp ya victim au mlengwa, *Pia hizi bot zina uwezo wa kufanya kazi nyingine ambazo zinafanywa na Normal WhatsApp bot Pia hiz Bug bot zipo ambazo zinaweza kuhack account na kutrack ip address na mengineyo.** *Bug bot hutofautiana Nguvu zipo ambazo zinaweza kuhack hadi Pc na aina zote za simu iwe android au Iphone.** 》》Semi WhatsApp bot > Hizi ni bot ambazo zipo katika zina sifa baadhi za kuwa Normal na sifa nyingine za kuwa Bug bot Kila sehemu zimechukua sifa kidogo kidgo Mfano wa Bot hizo ni kama - SUHAIL MD - FANTASTICS-BOT - LEVANTER MD - SUHAIL-XMD - FANTASTICS-BOT-V2 Tofauti kuu ya bot hizi ni kwamba Normal Bot na semi Bot zote hutumia njia ya SESSION_ID na Hizo bug Bot hutumia njia ya Creds.json HIZO NDO AINA ZA WHATSAPP BOT, UTACHAGUA BOT KULINGANA NA MATUMIZI YAKO > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 ▶︎ ●────────── 0:41
    ·2 Views
  • Usipite bila kulike n kukoment
    Amin au Amen
    Hujafa hujaumbika tumuombeeni dua huyu mtoto
    Usipite bila kulike n kukoment Amin au Amen Hujafa hujaumbika tumuombeeni dua huyu mtoto
    ·34 Views
  • Good Night SocialPop Family
    MUNGU ATUWEKE SALAMA
    tuwaalike marafiki wajiunge Pia
    Good Night SocialPop Family MUNGU ATUWEKE SALAMA tuwaalike marafiki wajiunge Pia🙏🙏
    Like
    Love
    6
    ·127 Views
  • If you think you're give up the some one whom is after the same things like you tend to stand still and moving forward
    If you think you're give up the some one whom is after the same things like you tend to stand still and moving forward
    Love
    1
    ·62 Views
  • No people like you if you have not money even me l don't like my self when they have no money
    No people like you if you have not money even me l don't like my self when they have no money
    Love
    1
    ·95 Views
  • Kwa unyamaa huuu kama wew shabiki wa liverpool hauwez ruka bila ku like page kama hiii
    Kwa unyamaa huuu kama wew shabiki wa liverpool hauwez ruka bila ku like page kama hiii
    Like
    1
    1 Reacties ·61 Views
  • NAMNA YA KUTENGENEZA WIMBO KWA KUTUMIA AI

    https://youtu.be/-EXvUij39Yw?si=60rEh3H_dWrTUNTe

    Don't forget to Subscribe and like our video

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
    ▶︎ ●────────── 0:41
    NAMNA YA KUTENGENEZA WIMBO KWA KUTUMIA AI https://youtu.be/-EXvUij39Yw?si=60rEh3H_dWrTUNTe Don't forget to Subscribe and like our video > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 ▶︎ ●────────── 0:41
    Angry
    1
    1 Reacties ·40 Views
  • like my picyure please
    like my picyure please
    Love
    1
    ·60 Views
  • Uzuri wa mtandao huu post yako haikosi like
    Uzuri wa mtandao huu post yako haikosi like
    Like
    Haha
    2
    ·44 Views
  • Like, comment & Share
    Like, comment & Share
    Like
    Love
    2
    1 Reacties ·78 Views ·10 Views
  • Like, comment & share
    Like, comment & share
    ·78 Views ·7 Views
  • Like and share, comment
    Like and share, comment
    1 Reacties ·78 Views ·6 Views
  • My sister, uzuri wako sio kama kitu cha kukiweka parade ili watu wakione na kukikubali, then wewe uridhike kutokana na hilo pekee.

    Huu Ulimwengu sio jumba la makumbusho kwamba uzunguke huku na huko kuvuta attention ya watu ili wakuone na kukukubali as if wewe ni kivutio cha utalii then ndio ujione umefanikiwa kwa hilo.

    Uzuri wako sio kama hifadhi ya Gombe, watalii walipe waje waone sokwe wanavoruka ruka, na kuondoka zao. Sio kama hifadhi ya Serengeti au grumeti watalii waje waone Nyumbu wanavyohama kutoka upande huu kwenda upande mwengine. Walipe dola zao na kuondoka.

    Ni bora zaidi uthaminiwe na mwanaume mmoja, kuliko kutamaniwa na dazani ya useless horny men.

    Ndio uwe mzuri, lakini mzuri kwa ajili yako peke yako..na sio kwa ajili ya ulimwengu. Hauwezi kushindana na ulimwengu kwa ku-base kwenye uzuri, makalio, shape, etc..ulimwengu unao wanawake wa aina hiyo wengi sana na ambao hawana wanaweza wakapata kwa artificial ways.

    Lakini roho nzuri, utu wema, tabia iliyo njema nani anaweza ku-fake? Beautiful mind nani anaweza kuipata? Sio vizuri hata kidogo kupiga picha za nusu uchi na kuziweka mitandaoni ili upate comments na likes za kutosha. Sio vema hata kidogo kuvaa nguo za mitego kwa minajili ya kusumbua vichwa vya wanaume wakware.

    Hata kama una-hustle, unajitafutia riziki yako kwa mikono yako wewe mwenyewe, vaa vizuri, ishi maisha mazuri yatakayowapendeza na kuwabariki wengine...ishi maisha ambayo watu watapenda kukusikia jinsi unavyoongea kuliko wanavyopenda kukuona ukiwa unatembea nusu uchi, kuna kitu Mwenyezi Mungu amekiweka kwenye ulimi wako...wewe ni mzuri zaidi ya sura na shepu yako.

    My wisdom, "The female brain itself is a highly intuitive emotion-processing machine, which when put to practice in the progress of the society, would do much more than any man can with all his analytical perspectives"
    My sister, uzuri wako sio kama kitu cha kukiweka parade ili watu wakione na kukikubali, then wewe uridhike kutokana na hilo pekee. Huu Ulimwengu sio jumba la makumbusho kwamba uzunguke huku na huko kuvuta attention ya watu ili wakuone na kukukubali as if wewe ni kivutio cha utalii then ndio ujione umefanikiwa kwa hilo. Uzuri wako sio kama hifadhi ya Gombe, watalii walipe waje waone sokwe wanavoruka ruka, na kuondoka zao. Sio kama hifadhi ya Serengeti au grumeti watalii waje waone Nyumbu wanavyohama kutoka upande huu kwenda upande mwengine. Walipe dola zao na kuondoka. Ni bora zaidi uthaminiwe na mwanaume mmoja, kuliko kutamaniwa na dazani ya useless horny men. Ndio uwe mzuri, lakini mzuri kwa ajili yako peke yako..na sio kwa ajili ya ulimwengu. Hauwezi kushindana na ulimwengu kwa ku-base kwenye uzuri, makalio, shape, etc..ulimwengu unao wanawake wa aina hiyo wengi sana na ambao hawana wanaweza wakapata kwa artificial ways. Lakini roho nzuri, utu wema, tabia iliyo njema nani anaweza ku-fake? Beautiful mind nani anaweza kuipata? Sio vizuri hata kidogo kupiga picha za nusu uchi na kuziweka mitandaoni ili upate comments na likes za kutosha. Sio vema hata kidogo kuvaa nguo za mitego kwa minajili ya kusumbua vichwa vya wanaume wakware. Hata kama una-hustle, unajitafutia riziki yako kwa mikono yako wewe mwenyewe, vaa vizuri, ishi maisha mazuri yatakayowapendeza na kuwabariki wengine...ishi maisha ambayo watu watapenda kukusikia jinsi unavyoongea kuliko wanavyopenda kukuona ukiwa unatembea nusu uchi, kuna kitu Mwenyezi Mungu amekiweka kwenye ulimi wako...wewe ni mzuri zaidi ya sura na shepu yako. My wisdom, "The female brain itself is a highly intuitive emotion-processing machine, which when put to practice in the progress of the society, would do much more than any man can with all his analytical perspectives"
    ·204 Views
  • Follow+ like Tuzidi elimishana
    Follow+ like ❤️Tuzidi elimishana
    Love
    1
    ·57 Views
  • Doing whta I like
    Doing whta I like
    ·55 Views
  • Long life 2 me there is no one like me
    Long life 2 me there is no one like me
    ·82 Views
  • like and comment
    like and comment
    Like
    1
    1 Reacties ·58 Views ·5 Views
  • SIMBA MNYAMA
    0% Tsh0 Raised of Tsh500000
    mwaka wetu jman### naitaji like hili tujue kama dula lako litfika kwa mnyama blessed
    😭😁😀 mwaka wetu jman### naitaji like hili tujue kama dula lako litfika kwa mnyama blessed
    Love
    1
    1 Reacties ·158 Views ·0 Donations
  • Mzungu akiyarudi mauono ya mwana ukae #socialpopreels #socialpop #viralvodeo #like
    Mzungu akiyarudi mauono ya mwana ukae 😂😂😂#socialpopreels #socialpop #viralvodeo #like❤️
    Haha
    Yay
    2
    7 Reacties ·802 Views
  • Faida za Kutumia Socialpopo.
    Huu ni mtandao unaolipa watumiaji wake kwa ku post, like na comment, kila ukifanya hivyo unapata point ambazo utazibadilisha Kua pesa, Kiwango cha Chini kutoa pesa ni $100 na pesa hutoka kila tarehe 21-30 ya kila mwezi.
    Faida za Kutumia Socialpopo. Huu ni mtandao unaolipa watumiaji wake kwa ku post, like na comment, kila ukifanya hivyo unapata point ambazo utazibadilisha Kua pesa, Kiwango cha Chini kutoa pesa ni $100 na pesa hutoka kila tarehe 21-30 ya kila mwezi.
    Like
    Love
    Haha
    Wow
    16
    27 Reacties ·985 Views ·1 aandelen
Zoekresultaten