• BREAKING : FC Barcelona wamejipanga kimkakati kuhakikisha wanamsajili Beki kitasa wa Liverpool FC raia wa Ufaransa Ibrahima Konaté katika dirisha hili la usajili.

    FC Barcelona wanaamini ofa waliyoiandaa, haiwezi kataliwa na Liverpool FC

    #SportsElite
    BREAKING 🔴: FC Barcelona wamejipanga kimkakati kuhakikisha wanamsajili Beki kitasa wa Liverpool FC raia wa Ufaransa 🇨🇵 Ibrahima Konaté katika dirisha hili la usajili. FC Barcelona wanaamini ofa waliyoiandaa, haiwezi kataliwa na Liverpool FC #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·80 Views
  • Crystal Palace imefungua milango kwa Marc Guéhi kuondoka klabuni hapo,, baada ya Liverpool kuonesha nia ya kumuhitaji na Liverpool imependekeza ofa ya £45M, Huku akiwa amesalia mkataba wa mwaka mmoja..

    (Source: GiveMeSport)

    #SportsElite
    🚨 Crystal Palace imefungua milango kwa Marc Guéhi kuondoka klabuni hapo,, baada ya Liverpool kuonesha nia ya kumuhitaji na Liverpool imependekeza ofa ya £45M, Huku akiwa amesalia mkataba wa mwaka mmoja.. (Source: GiveMeSport) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·43 Views
  • Real Madrid wanategemea kuimarisha zaidi eneo lao la kiungo kulingana na mapendekezo ya kocha, Xabi Alonso.

    Baadhi ya viungo kutoka timu mbalimbali ulaya wapo kwenye orodha ya Real Madrid;

    - Rodri (Manchester city)
    - Nicolo Barella (Inter Milan)
    - Enzo Fernandes (Chelsea)
    - Alexis Mac Allister ( Liverpool)

    Chaguo namba moja kwa Xabi Alonso ni Rodri wa Manchester city.

    #SportsElite
    Real Madrid wanategemea kuimarisha zaidi eneo lao la kiungo kulingana na mapendekezo ya kocha, Xabi Alonso. Baadhi ya viungo kutoka timu mbalimbali ulaya wapo kwenye orodha ya Real Madrid; - Rodri (Manchester city) - Nicolo Barella (Inter Milan) - Enzo Fernandes (Chelsea) - Alexis Mac Allister ( Liverpool) Chaguo namba moja kwa Xabi Alonso ni Rodri wa Manchester city. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·113 Views
  • Hugo Ekitike akiwa na wakala wake wakielekea kupanda ndege kuelekea England kwaajili ya kwenda kusaini mkataba na timu ya Liverpool

    #SportsElite
    🚨🇫🇷 Hugo Ekitike akiwa na wakala wake wakielekea kupanda ndege kuelekea England kwaajili ya kwenda kusaini mkataba na timu ya Liverpool #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·110 Views
  • Federico Chiesa hajaorodheshwa katika kikosi cha Liverpool kwa ziara yao ya maandalizi ya msimu.
    Anatarajiwa ataondoka majira haya ya kiangazi.

    #SportsElite
    Federico Chiesa hajaorodheshwa katika kikosi cha Liverpool kwa ziara yao ya maandalizi ya msimu. 🇮🇹❌ Anatarajiwa ataondoka majira haya ya kiangazi. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·79 Views
  • USAJILI MPAKA HIVI KWA VILABU ENGLAND

    MANCHESTER UNITED
    Matheus Cunha
    Diego Leon
    Bryan MBEUMO
    Emi Martinez Dibu

    Liverpool -
    Wirtz
    Frimpong
    Mamardashvilli
    Hugo Etikite
    Isak

    Manchester City
    Reijnders
    Cherki
    Ait Nouri

    Chelsea:
    Gittens
    Joao Pedro
    Delap

    Arsenal -
    Zubimendi
    Madeueke
    Norgaard
    Kepa
    Gyokeres

    Tottenham Hotspur Spurs
    Gibbs White
    Kudus

    Newcastle United-
    Elanga
    Ekitike

    #SportsElite
    USAJILI MPAKA HIVI KWA VILABU ENGLAND 🔴MANCHESTER UNITED 🇧🇷 Matheus Cunha 🇵🇾 Diego Leon 🇨🇲Bryan MBEUMO ⏳Emi Martinez Dibu 🔴Liverpool - ✅ Wirtz ✅ Frimpong ✅ Mamardashvilli ✅Hugo Etikite ⏳ Isak 🔵Manchester City ✅ Reijnders ✅ Cherki ✅ Ait Nouri 🔵Chelsea: ✅ Gittens ✅ Joao Pedro ✅ Delap 🔴Arsenal - ✅ Zubimendi ✅ Madeueke ✅ Norgaard ✅ Kepa ⏳ Gyokeres ⚪Tottenham Hotspur Spurs ✅ Gibbs White ✅ Kudus ⚪Newcastle United- ✅ Elanga ⏳ Ekitike #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·161 Views
  • RASMI:Club ya Liverpool imefanikiwa kumsajili Hugo Ekitike kutokea time ya Eintracht Frankfurt kwa kiwango cha €94M, Hivyo mchezaji huyo Hugo Ekitike ataitumikia Club ya Liverpool Mpaka 2030

    #SportsElite
    RASMI:Club ya Liverpool imefanikiwa kumsajili Hugo Ekitike kutokea time ya Eintracht Frankfurt kwa kiwango cha €94M, Hivyo mchezaji huyo Hugo Ekitike ataitumikia Club ya Liverpool Mpaka 2030 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·73 Views
  • Club ya Bayern Munich imetoa offer ya €75M ili iweze kumsajili winga wa Liverpool Luis Diaz Mpaka mnamo mwaka 2030



    #SportsElite
    Club ya Bayern Munich imetoa offer ya €75M ili iweze kumsajili winga wa Liverpool Luis Diaz Mpaka mnamo mwaka 2030 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·93 Views


  • Mchezaji Marcus Rashford ameendelea kubaki na msimamo wake wa kutaka kujiunga na Club ya Barcelona katika msimu huu wa kiangazii Richa ya kuwa timu ya Juventus, bayern Munich, Chelsea na Liverpool kuonekana zinamwitajii lakn ameendelea kusimamia msimamo wake wa kwenda club ya Barcelona


    #SportsElite
    Mchezaji Marcus Rashford ameendelea kubaki na msimamo wake wa kutaka kujiunga na Club ya Barcelona katika msimu huu wa kiangazii Richa ya kuwa timu ya Juventus, bayern Munich, Chelsea na Liverpool kuonekana zinamwitajii lakn ameendelea kusimamia msimamo wake wa kwenda club ya Barcelona #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·229 Views
  • Liverpool inaweza kumuuza Luis Diaz iwapo Bayern itafikia dau la £80M.

    Na Liverpool bado wako kwenye majadiliano na Rodrygo kama mbadala wake...

    (Source: talkSPORT)

    #SportsElite
    🚨 Liverpool inaweza kumuuza Luis Diaz iwapo Bayern itafikia dau la £80M. Na Liverpool bado wako kwenye majadiliano na Rodrygo kama mbadala wake... (Source: talkSPORT) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·132 Views
  • Alexis Mac Allister ameikataa ofa ya Bayern and made na wameweka wazi ataondoka Liverpool endapo atajiunga Real Madrid.

    (Source: Defensa Central)

    #SportsElite
    🚨 Alexis Mac Allister ameikataa ofa ya Bayern and made na wameweka wazi ataondoka Liverpool endapo atajiunga Real Madrid. (Source: Defensa Central) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·163 Views
  • Liverpool inafanya mazungumzo za Frankfurt kuona uwezekano wa kumsajili Hugo Ekitike . .

    Liverpool inamtazama Hugo Ekitike kama mbadala ikiwa watamkosa Alexander Isak wa Newcastle United

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🇫🇷🚨 Liverpool inafanya mazungumzo za Frankfurt kuona uwezekano wa kumsajili Hugo Ekitike . 🔴💰. Liverpool inamtazama Hugo Ekitike kama mbadala ikiwa watamkosa Alexander Isak wa Newcastle United Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·183 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool imekataa pendekezo rasmi la €67.5m kutoka kwa FC Bayern kwa ajili ya Luis Diaz

    Luis Diaz, yuko tayari kuondoka Liverpool msimu huu wa joto huku Bayern na Barcelona wakimtaka lakini klabu inaendelea kukataa.

    Hakuna makubaliano kuhusu ada ya uhamisho na Liverpool wanaona thamani ya Luis Diaz kuwa juu zaidi ya €67.5m inayotolewa leo.

    Liverpool walisema hapana, kama ilivyoripotiwa.

    (Fabrizio Romano)
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool imekataa pendekezo rasmi la €67.5m kutoka kwa FC Bayern kwa ajili ya Luis Diaz 🚫🇨🇴 Luis Diaz, yuko tayari kuondoka Liverpool msimu huu wa joto huku Bayern na Barcelona wakimtaka lakini klabu inaendelea kukataa. Hakuna makubaliano kuhusu ada ya uhamisho na Liverpool wanaona thamani ya Luis Diaz kuwa juu zaidi ya €67.5m inayotolewa leo. Liverpool walisema hapana, kama ilivyoripotiwa. (Fabrizio Romano)
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·202 Views
  • HERE WE GO!! ⚡️ Liverpool wanajiandaa kuwasilisha ofa ya thamani €100M pamoja na nyongeza za kiufanikishaji, kwa lengo la kujaribu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United msimu huu wa joto.

    #SportsElite
    🚨HERE WE GO!! ⚡️ Liverpool wanajiandaa kuwasilisha ofa ya thamani €100M pamoja na nyongeza za kiufanikishaji, kwa lengo la kujaribu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United msimu huu wa joto. 💰 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·137 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Hakuna makubaliano juu ya Ibrahima Konaté na Liverpool ili kuongeza kandarasi .

    Note: Real Madrid bado wako kwenye mbio za kumuwania beki huyo.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Hakuna makubaliano juu ya Ibrahima Konaté na Liverpool ili kuongeza kandarasi . 🔴⚠️ Note: Real Madrid bado wako kwenye mbio za kumuwania beki huyo. 👀 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·242 Views
  • West Ham United inavutiwa na wachezaji wa Liverpool Elliott na Tyler Morton.

    (Source: The Guardian)

    #SportsElite
    🚨 West Ham United inavutiwa na wachezaji wa Liverpool Elliott na Tyler Morton. (Source: The Guardian) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·195 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool inavutiwa na usajili wa Malick Fofana.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool inavutiwa na usajili wa Malick Fofana.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·170 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté kwenda Real Madrid, uhamisho huu unamuelekeo mzuri zaidi

    Na Liverpool imekubali kumuuza mchezaji baada ya Konaté kukataa kuongeza mkataba..

    Konaté anataka kwenda Real Madrid.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté kwenda Real Madrid, uhamisho huu unamuelekeo mzuri zaidi🤯🤯 Na Liverpool imekubali kumuuza mchezaji baada ya Konaté kukataa kuongeza mkataba.. Konaté anataka kwenda Real Madrid. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·204 Views
  • Liverpool iko tayari kufungua mazungumzo na Eintracht Frankfurt kumuhitaji Hugo Ekitike, na Liverpool ipo tayari kuwapatia Darwin Núñez ili kurahisisha uhamisho..

    (Source: GiveMeSport )

    #SportsElite
    🚨 Liverpool iko tayari kufungua mazungumzo na Eintracht Frankfurt kumuhitaji Hugo Ekitike, na Liverpool ipo tayari kuwapatia Darwin Núñez ili kurahisisha uhamisho.. (Source: GiveMeSport ) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·140 Views
  • "its not over yet,,,Jotaaa.....its Diogo Jotaaa 4:3"

    Sio shabiki wa Liverpool lakini huwa nakumbuka sana hiyo comeback na kwenye maiki alikuwa Peter Dury.

    Rest in peace Diogo Jota now is over
    😭😭"its not over yet,,,Jotaaa.....its Diogo Jotaaa 4:3" Sio shabiki wa Liverpool lakini huwa nakumbuka sana hiyo comeback na kwenye maiki alikuwa Peter Dury. Rest in peace Diogo Jota now is over 👋
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·186 Views
Arama Sonuçları