𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗘𝗥𝗘𝗡𝗖𝗘 𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗞𝗔𝗠𝗪𝗘
𝗣𝗔𝗥𝗧𝗬 𝗬𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗞𝗨𝗝𝗔
“NBC benki bora Tanzania kwa kushirikiana na bodi ya ligi wametuandalia sherehe ya ubingwa. Kama inakuuma na wewe kapambane nawe uwe bingwa kama unahisi ni rahisi. Tunasherehe kubwa haijawahi kutokea party kubwa ya ubingwa barani AFRIKA”
Ally Kamwe
𝗡𝗕𝗖 𝗪𝗔𝗪𝗔𝗣𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖 𝗛𝗘𝗟𝗜𝗞𝗢𝗣𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔
“Sisi Yanga kwa upande wa sherehe tunapenda sifa. NBC wameamua kutuongezea sifa. Safari hii NBC wameamua kusimamisha AFRIKA, wameandaa helikopta maalumu ya kufanya parade ya ubingwa. Tunafanya parade ardhini na angani”
Ally Kamwe
𝗨𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗗𝗜 𝗬𝗔 𝗨𝗔𝗡𝗔𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖 𝗨𝗧𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗨𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔𝗡𝗜 𝗕𝗜𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗡-𝗖𝗔𝗥𝗗
“Ukiwa na kadi ya uanachama wa Yanga SC ya NBC inakupa nafasi ya kuingia uwanjani bila kutumia card ya N-card. Huhitaji kuwa na kadi nyingi sana mfukoni kwako, zaidi ya kadi ya uanachama ya NBC”
Ally Kamwe
𝗪𝗔𝗦𝗔𝗡𝗜𝗜 𝗞𝗨𝗡𝗢𝗚𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗥𝗘𝗛𝗘 𝗭𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖
“NBC wametuandalia burudani kubwa kwenye mkesha wa ubingwa. Kuna majina mengi ya wasanii bora Afrika Mashariki na kati ambao watakuja kutumbuiza Benjamin Mkapa siku ya jumamosi. Baada ya mechi ya leo tutatangaza majina ya wasanii hao”
Ally Kamwe
𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗜𝗝𝗨𝗠𝗔𝗠𝗢𝗦𝗜 𝗡𝗜 𝗠𝗞𝗘𝗦𝗛𝗔
“Ukiondoka jumamosi asubuhi, aga kabisa familia yako kuwa utarudi jumapili usiku. Kwahiyo ujiandae kabisa, waambie unaenda kwenye sherehe za ubingwa za Yanga SC. Muage mkeo, Muage mumeo mwambie naenda kwenye mkesha”
Ally Kamwe
𝗕𝗔𝗦𝗜 𝗟𝗔 𝗣𝗔𝗥𝗔𝗗𝗘 𝗟𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗦𝗔
“Gari la parade lipo njiani linakuja nchini. Awamu hii tumechukua basi za kisasa zaidi. Nimemuomba Rais wa Yanga, hili basi lianzie safari yake kule Mbagala.”
Ally Kamwe
#NBCPremierLeague Godfrey Mwaisengela

🎙️𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗘𝗥𝗘𝗡𝗖𝗘 𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗞𝗔𝗠𝗪𝗘
🚨𝗣𝗔𝗥𝗧𝗬 𝗬𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗞𝗨𝗝𝗔
“NBC benki bora Tanzania kwa kushirikiana na bodi ya ligi wametuandalia sherehe ya ubingwa. Kama inakuuma na wewe kapambane nawe uwe bingwa kama unahisi ni rahisi. Tunasherehe kubwa haijawahi kutokea party kubwa ya ubingwa barani AFRIKA”
©️Ally Kamwe
🚨𝗡𝗕𝗖 𝗪𝗔𝗪𝗔𝗣𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖 𝗛𝗘𝗟𝗜𝗞𝗢𝗣𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔
“Sisi Yanga kwa upande wa sherehe tunapenda sifa. NBC wameamua kutuongezea sifa. Safari hii NBC wameamua kusimamisha AFRIKA, wameandaa helikopta maalumu ya kufanya parade ya ubingwa. Tunafanya parade ardhini na angani”
©️Ally Kamwe
🚨𝗨𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗗𝗜 𝗬𝗔 𝗨𝗔𝗡𝗔𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖 𝗨𝗧𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗨𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔𝗡𝗜 𝗕𝗜𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗡-𝗖𝗔𝗥𝗗
“Ukiwa na kadi ya uanachama wa Yanga SC ya NBC inakupa nafasi ya kuingia uwanjani bila kutumia card ya N-card. Huhitaji kuwa na kadi nyingi sana mfukoni kwako, zaidi ya kadi ya uanachama ya NBC”
©️Ally Kamwe
🚨𝗪𝗔𝗦𝗔𝗡𝗜𝗜 𝗞𝗨𝗡𝗢𝗚𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗥𝗘𝗛𝗘 𝗭𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖
“NBC wametuandalia burudani kubwa kwenye mkesha wa ubingwa. Kuna majina mengi ya wasanii bora Afrika Mashariki na kati ambao watakuja kutumbuiza Benjamin Mkapa siku ya jumamosi. Baada ya mechi ya leo tutatangaza majina ya wasanii hao”
©️Ally Kamwe
🚨𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗜𝗝𝗨𝗠𝗔𝗠𝗢𝗦𝗜 𝗡𝗜 𝗠𝗞𝗘𝗦𝗛𝗔
“Ukiondoka jumamosi asubuhi, aga kabisa familia yako kuwa utarudi jumapili usiku. Kwahiyo ujiandae kabisa, waambie unaenda kwenye sherehe za ubingwa za Yanga SC. Muage mkeo, Muage mumeo mwambie naenda kwenye mkesha”
©️Ally Kamwe
🚨𝗕𝗔𝗦𝗜 𝗟𝗔 𝗣𝗔𝗥𝗔𝗗𝗘 𝗟𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗦𝗔
“Gari la parade lipo njiani linakuja nchini. Awamu hii tumechukua basi za kisasa zaidi. Nimemuomba Rais wa Yanga, hili basi lianzie safari yake kule Mbagala.”
©️Ally Kamwe
#NBCPremierLeague Godfrey Mwaisengela
3 Reacties
·609 Views