Upgrade to Pro

  • "SASA SIO UTANI WA JADI TENA NI KUKOMOANA TU.

    Unaweza kusema hivi kua kwa sasa kinachofuata sio utani tena kwenye hizi Timu za Simba na Yanga kutokana na haya masakata mawili baada ya Sandaland Msambazaji wa Jezi za Simba Kumshtaki Ally Kamwe baada ya kauli yake kuhusu Jezi za Simba alichoona kua ni kuharibiwa Brand yake.

    Yanga na wao wamejibu mapigo kwa Kumshataki Ahmed Ally kutokana na Tuhuma zake 2 kwa Yanga-:

    - PACOME alisema anamaliza kandarasi yake ndani ya
    Yanga na Simba wanatazama namna ya kumsajili na kuna kauli za ukakasi alizungumza ambazo zimeharibu brand ya Yanga kwa wabia wake, inadaiwa alitaja mpaka mambo ya sindano.
    - TUHUMA ZA UCHAWI, anatakiwa kuthibitisha namna gani Yanga ni Wachawi kwa maana hawajawahi kupewa adhabu yoyote na Bodi kuhusu Uchawi, akishindwa kuthibitisha tuhuma hizo basi mzigo ulipwe." - Georgea Ambangile, Mchambuzi.

    :

    Hii ndio inaitwa Simba SC (Ahmed Ally) wanataka 3 alafu Yanga SC wao 10, yaani Yanga SC (Ally Kamwe) watasubiri Simba SC watoe 10 alafu wachukue 3 watoe kwa Simba SC kisha wabaki na 7 . Hawa Viumbe wanaanza kuharibu mpira sasa. Ikumbukwe FIFA hawapendi maswala ya michezo kwenda Mahakamani (Serikali).
    "SASA SIO UTANI WA JADI TENA NI KUKOMOANA TU. Unaweza kusema hivi kua kwa sasa kinachofuata sio utani tena kwenye hizi Timu za Simba na Yanga kutokana na haya masakata mawili baada ya Sandaland Msambazaji wa Jezi za Simba Kumshtaki Ally Kamwe baada ya kauli yake kuhusu Jezi za Simba alichoona kua ni kuharibiwa Brand yake. Yanga na wao wamejibu mapigo kwa Kumshataki Ahmed Ally kutokana na Tuhuma zake 2 kwa Yanga-: - PACOME alisema anamaliza kandarasi yake ndani ya Yanga na Simba wanatazama namna ya kumsajili na kuna kauli za ukakasi alizungumza ambazo zimeharibu brand ya Yanga kwa wabia wake, inadaiwa alitaja mpaka mambo ya sindano. - TUHUMA ZA UCHAWI, anatakiwa kuthibitisha namna gani Yanga ni Wachawi kwa maana hawajawahi kupewa adhabu yoyote na Bodi kuhusu Uchawi, akishindwa kuthibitisha tuhuma hizo basi mzigo ulipwe." - Georgea Ambangile, Mchambuzi. : Hii ndio inaitwa Simba SC (Ahmed Ally) wanataka 3 alafu Yanga SC wao 10, yaani Yanga SC (Ally Kamwe) watasubiri Simba SC watoe 10 alafu wachukue 3 watoe kwa Simba SC kisha wabaki na 7 😂. Hawa Viumbe wanaanza kuharibu mpira sasa. Ikumbukwe FIFA hawapendi maswala ya michezo kwenda Mahakamani (Serikali).
    Like
    1
    ·209 Views
  • OA MKE BORA
    Sio Elimu yake wala Mwonekano wake

    Soma kisa hiki kifupi

    MKE: Naomba nilipe hela ninayokudai

    MUME: Hela ipi mke wangu unayonidai?

    MKE: Wiki iliyopita nilitumia hela yangu kumnunulia Sara madaftari, halafu juzi Rama alikuwa anaumwa nikamnunulia dawa kwa hela yangu, halafu wiki nzima mboga nimenunua kwa hela yangu. Hukuniachia hela yoyote uliposafiri kwenda kazini. Jumla nakudai 2,2500. (Elfu 22 na 500)

    MUME: OK, kwani Rama na Sara ni watoto wa nani?

    MKE: Ni wangu mimi na wewe.

    MUME: Kwahiyo, uliwauzia huduma ulizowapa mpaka nikulipe?

    MKE: Hapana, lakini nilitumia hela yangu binafsi, nilipe mimi bwana

    MUME: Nitakulipa, ila nikifa naacha wosia watoto wakalelewe kwa mama yangu mzazi.

    MKE: Kwanini wakati nipo?.

    MUME: Kwa kuwa utatumia hela yako kuwahudumia halafu utaanza kuwadai kwa vile huwahudumii bure bali ni biashara. Halafu mke wangu hivi mimi hela nazotafuta ni za kwangu au ni za mimi na wewe na watoto? Hizo zawadi nilizowaletea wewe na watoto utanilipa kwa kuwa nimetumia hela yangu?

    MKE: Lakini hela hiyo nili....

    MUME: Wewe ni msaidizi wangu, ubavu wangu. Chako ni chetu, changu ni chetu. Nikikulipa tafsiri yake wewe ni mfanyakazi au hawara na si mke. Au una mume wa kumsaidia kutunza familia zaidi yangu?

    MKE: Nipe hela yangu Baba Sara, la sivyo utajuta.

    MUME: Ni mda mrefu kila unacho kifanya humu ndan kwa pesa yako lazima uidai.

    MKE: jukumu lako kama mume na baba wa nyumba. Wala usiulize kuhusu nafanyia nn pesa zangu za biashara na mshahara. Wajibika kunilisha na kunivisha

    MUME: lakin wanawake wenzako hawapo hvo wanao tambua maana ya ndoa. Ndoa kusaidiana ila we una nikomoa

    MKE: bora nionekane hvo ila siwez toa pesa yangu wakat we upo hai

    MUME: Na wewe lipa kodi ya nyumba yangu, la sivyo ondoka.

    MKE: umevurugwa nini? Niondoke niende wap?

    MUME: Tena sitanii, nenda kaishi saloon au maduka unako peleka hizo pesa zako. Niache na watoto wangu.

    (Mume Aliingia ndani na kutoa vitu vya mke wake.Mke kwa jeuri hata hakujali alijua ni utani. Lakin alipo ona mume anafunga milango kwa kufuri alielewa sio utan tena

    Baada ya miez 8 kupita tangu waachane,mke aliolewa na mwanaume mwingine. Alikuta tayar bwana ana watoto 2, mke ndo anae hudumia familia yote,mume ni kulewa tu na umalaya.

    Mume wake wa zaman alipata mke mwana sheria na mpaka sasa wamejenga nyumba kubwa na kununua magari 2 miaka 3 ya ndoa yao)
    FUNZO

    Kuoa mke mwenye kazi au biashara usifikirie kuwa atakupunguzia majukum ya familia. Kutoa ni moyo wa mtu. Sio kila mwanamke ana anajitoa kuijenga familia yake.

    Wana Ndoa mupo kwa a jili ya kusaidiana na sio kukomoana..

    Kuitwa MuMe haimanishi kuwa kila mara yeye ndo ahudumie famiilia..

    Kuna mda unakuta MKE ana kipato kizuri huenda kuliko hata MUMe lakin hawez kununua hata chumvi kisa yeye Kaolewa hilo ni jukum la mume

    Mambo madogo kama haya ndiyo yanayo vuruga ndoa nyingi sana siku hizi...Ni kuwa makin na sio kuongozwa na ushaur mbovu ..

    Pia MUME sio vyema kumuachia MKEo majukum yote ya familia kisa ana kaz au biashara...

    Kumbuka Uli muoa yeye na sio kaz yake...Haiwezekan mama ndo awe ana hangaika na watoto mambo ya shule afu baba upo tu na pombe au wanawake wengine

    Ichukue
    OA MKE BORA Sio Elimu yake wala Mwonekano wake Soma kisa hiki kifupi MKE: Naomba nilipe hela ninayokudai MUME: Hela ipi mke wangu unayonidai? MKE: Wiki iliyopita nilitumia hela yangu kumnunulia Sara madaftari, halafu juzi Rama alikuwa anaumwa nikamnunulia dawa kwa hela yangu, halafu wiki nzima mboga nimenunua kwa hela yangu. Hukuniachia hela yoyote uliposafiri kwenda kazini. Jumla nakudai 2,2500. (Elfu 22 na 500) MUME: OK, kwani Rama na Sara ni watoto wa nani? MKE: Ni wangu mimi na wewe. MUME: Kwahiyo, uliwauzia huduma ulizowapa mpaka nikulipe? MKE: Hapana, lakini nilitumia hela yangu binafsi, nilipe mimi bwana MUME: Nitakulipa, ila nikifa naacha wosia watoto wakalelewe kwa mama yangu mzazi. MKE: Kwanini wakati nipo?. MUME: Kwa kuwa utatumia hela yako kuwahudumia halafu utaanza kuwadai kwa vile huwahudumii bure bali ni biashara. Halafu mke wangu hivi mimi hela nazotafuta ni za kwangu au ni za mimi na wewe na watoto? Hizo zawadi nilizowaletea wewe na watoto utanilipa kwa kuwa nimetumia hela yangu? MKE: Lakini hela hiyo nili.... MUME: Wewe ni msaidizi wangu, ubavu wangu. Chako ni chetu, changu ni chetu. Nikikulipa tafsiri yake wewe ni mfanyakazi au hawara na si mke. Au una mume wa kumsaidia kutunza familia zaidi yangu? MKE: Nipe hela yangu Baba Sara, la sivyo utajuta. MUME: Ni mda mrefu kila unacho kifanya humu ndan kwa pesa yako lazima uidai. MKE: jukumu lako kama mume na baba wa nyumba. Wala usiulize kuhusu nafanyia nn pesa zangu za biashara na mshahara. Wajibika kunilisha na kunivisha MUME: lakin wanawake wenzako hawapo hvo wanao tambua maana ya ndoa. Ndoa kusaidiana ila we una nikomoa MKE: bora nionekane hvo ila siwez toa pesa yangu wakat we upo hai MUME: Na wewe lipa kodi ya nyumba yangu, la sivyo ondoka. MKE: umevurugwa nini? Niondoke niende wap? MUME: Tena sitanii, nenda kaishi saloon au maduka unako peleka hizo pesa zako. Niache na watoto wangu. (Mume Aliingia ndani na kutoa vitu vya mke wake.Mke kwa jeuri hata hakujali alijua ni utani. Lakin alipo ona mume anafunga milango kwa kufuri alielewa sio utan tena Baada ya miez 8 kupita tangu waachane,mke aliolewa na mwanaume mwingine. Alikuta tayar bwana ana watoto 2, mke ndo anae hudumia familia yote,mume ni kulewa tu na umalaya. Mume wake wa zaman alipata mke mwana sheria na mpaka sasa wamejenga nyumba kubwa na kununua magari 2 miaka 3 ya ndoa yao) FUNZO Kuoa mke mwenye kazi au biashara usifikirie kuwa atakupunguzia majukum ya familia. Kutoa ni moyo wa mtu. Sio kila mwanamke ana anajitoa kuijenga familia yake. Wana Ndoa mupo kwa a jili ya kusaidiana na sio kukomoana.. Kuitwa MuMe haimanishi kuwa kila mara yeye ndo ahudumie famiilia.. Kuna mda unakuta MKE ana kipato kizuri huenda kuliko hata MUMe lakin hawez kununua hata chumvi kisa yeye Kaolewa hilo ni jukum la mume Mambo madogo kama haya ndiyo yanayo vuruga ndoa nyingi sana siku hizi...Ni kuwa makin na sio kuongozwa na ushaur mbovu .. Pia MUME sio vyema kumuachia MKEo majukum yote ya familia kisa ana kaz au biashara... Kumbuka Uli muoa yeye na sio kaz yake...Haiwezekan mama ndo awe ana hangaika na watoto mambo ya shule afu baba upo tu na pombe au wanawake wengine Ichukue
    Like
    Love
    3
    ·285 Views
  • #Trending movie# animation #moana#
    #Trending movie# animation #moana#
    Like
    Love
    7
    2 Comments ·726 Views