Обновить до Про

  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Wachezaji tupo tayari kwa mchezo kesho, tunafahamu utakuwa mchezo mgumu na kila mchezaji anapaswa kuwa tayari kiakili ili kuweza kuhimili presha ya mchezo, umakini ndio jambo ambalo wachezaji tunapaswa kusisitiza, tunafahamu ukifanya makosa katika mechi muhimu kama hii inaweza kuigharimu timu hivyo ni muhimu sana kuongeza umakini” Dickson Job

    #timuyawananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    #neliudcosih
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Wachezaji tupo tayari kwa mchezo kesho, tunafahamu utakuwa mchezo mgumu na kila mchezaji anapaswa kuwa tayari kiakili ili kuweza kuhimili presha ya mchezo, umakini ndio jambo ambalo wachezaji tunapaswa kusisitiza, tunafahamu ukifanya makosa katika mechi muhimu kama hii inaweza kuigharimu timu hivyo ni muhimu sana kuongeza umakini” Dickson Job #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih
    Like
    2
    ·36 Просмотры
  • Erling Braut Haaland amesaini mkataba na Machester City wa miaka tisa na nusu mpaka 2034 ambao utajumuisha rekodi ya mshahara .

    Mshahara mnono zaidi kuwahi kutokea Man City , na pia mmoja wa mshahara mkubwa katika historia ya Ligi kuu England na Football kiujumla

    Source : @fabriziorom @davidornstein

    Piga hela tu , kuna maisha baada ya kusakata kandanda.!

    #neliudcosih
    Erling Braut Haaland amesaini mkataba na Machester City wa miaka tisa na nusu mpaka 2034 ambao utajumuisha rekodi ya mshahara . Mshahara mnono zaidi kuwahi kutokea Man City , na pia mmoja wa mshahara mkubwa katika historia ya Ligi kuu England na Football kiujumla Source : @fabriziorom @davidornstein Piga hela tu , kuna maisha baada ya kusakata kandanda.! 😀 #neliudcosih
    ·29 Просмотры
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Naomba niweke wazi, utakuwa ni mchezo mgumu sana, utakuwa mchezo ambao utakuwa na matumizi makubwa ya nguvu, ni mchezo wenye presha kubwa lakini naamini vijana wangu wanaweza kuhimili mikikimikiki hiyo. tunakwenda kuwasha moto kutoka dakika ya kwanza mpaka filimbi ya mwisho” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    #neliudcosih
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Naomba niweke wazi, utakuwa ni mchezo mgumu sana, utakuwa mchezo ambao utakuwa na matumizi makubwa ya nguvu, ni mchezo wenye presha kubwa lakini naamini vijana wangu wanaweza kuhimili mikikimikiki hiyo. tunakwenda kuwasha moto kutoka dakika ya kwanza mpaka filimbi ya mwisho” Sead Ramovic #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih
    ·48 Просмотры
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Hatujawahi kwenda kucheza mchezo kwa ajili ya droo sisi lengo letu namba moja ni ushindi, sina haja ya kuongelea kuhusu matokeo mengine zaidi ya ushindi hapo kesho, nina wachezaji ambao wanaweza kubadilika kutokana na mbinu zangu au kutokana na mfumo wa wapinzani, sina mashaka na mbinu zangu kwenye kupata matokeo ya ushindi hapo kesho” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    #neliudcosih
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Hatujawahi kwenda kucheza mchezo kwa ajili ya droo sisi lengo letu namba moja ni ushindi, sina haja ya kuongelea kuhusu matokeo mengine zaidi ya ushindi hapo kesho, nina wachezaji ambao wanaweza kubadilika kutokana na mbinu zangu au kutokana na mfumo wa wapinzani, sina mashaka na mbinu zangu kwenye kupata matokeo ya ushindi hapo kesho” Sead Ramovic #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih
    ·46 Просмотры
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic.

    #timuyawananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    #neliudcosih
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic. #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih
    ·51 Просмотры
  • KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI.

    Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka.

    Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia.

    Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua.

    Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi.

    Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti.

    Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana.

    Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo.

    Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika.

    Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi.

    Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi.

    Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi.

    Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi.

    Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka

    #neliudcosih
    🚨 KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI. Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka. Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia. Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua. Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi. Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti. Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana. Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo. Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika. Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi. Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi. Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi. Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi. ✍️Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka 🙌 #neliudcosih
    ·33 Просмотры