Kwenye maisha yako unaweza kuangalia nyuma kwa mambo matatu, kuangalia makosa yako ya nyuma ili uweze kujirekebisha, kuangalia ulipotoka ili ushukuru ulipofika sasa na kuangalia ulipotoka na ulipo sasa ili uweze kupima neema, mafanikio, mipango yako na namna ya kuiendea mipango ijayo.
Hakuna mafanikio bila ya kuangalia ulipotoka ili ujenge nidhamu ya maisha yako
@Gege Hashim
#Sizophumelela
#sincedayone
#longtime
Kwenye maisha yako unaweza kuangalia nyuma kwa mambo matatu, kuangalia makosa yako ya nyuma ili uweze kujirekebisha, kuangalia ulipotoka ili ushukuru ulipofika sasa na kuangalia ulipotoka na ulipo sasa ili uweze kupima neema, mafanikio, mipango yako na namna ya kuiendea mipango ijayo.
Hakuna mafanikio bila ya kuangalia ulipotoka ili ujenge nidhamu ya maisha yako✍️
@Gege Hashim
#Sizophumelela
#sincedayone
#longtime