نتائج البحث
عرض كل النتائج
Socialpop Socialpop Socialpop
الرئيسية
المجموعات
الصفحات
سوق المنتجات
شاهد المزيد
المجموعات الصفحات سوق المنتجات المناسبات المدونات التمويل مفاوضاتي وظائف Courses المنتديات الافلام
انضم إلينا
تسجيل الدخول تسجيل
Theme Switcher
الوضع المظلم
البحث
المنشورات
المدونات
المستخدمون
الصفحات
المجموعات
المناسبات
  • Ulimwengu Wako @Ulimwengu_Wako أضاف صورة
    2024-10-22 15:16:20 ·
    Kunguru Weupe:

    Hawa walidhaniwa kuwa hadithi lakini sasa wanaonekana katika sehemu ya pwani ya British Columbia, Canada. Kunguru hawa si albino, bali ni leucistic, yaani wana ukosefu wa baadhi ya rangi za pigmenti tofauti (sio tu melanin). Uwezo wao wa kuwa na rangi tofauti unawafanya kuwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia, tofauti na kunguru weusi ambao wana rangi ya kawaida. kunguru weupe hawana ukosefu wa rangi kama albino.

    Jiunge nasi kwenye telegram https://t.me/Ulimwengu_Wako
    #kai #ulimwenguWako #socialpop
    😳 Kunguru Weupe: Hawa walidhaniwa kuwa hadithi lakini sasa wanaonekana katika sehemu ya pwani ya British Columbia, Canada. Kunguru hawa si albino, bali ni leucistic, yaani wana ukosefu wa baadhi ya rangi za pigmenti tofauti (sio tu melanin). Uwezo wao wa kuwa na rangi tofauti unawafanya kuwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia, tofauti na kunguru weusi ambao wana rangi ya kawaida. kunguru weupe hawana ukosefu wa rangi kama albino. Jiunge nasi kwenye telegram https://t.me/Ulimwengu_Wako #kai #ulimwenguWako #socialpop
    Like
    1
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·769 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Ulimwengu Wako @Ulimwengu_Wako أضاف فيديو in عام
    2024-10-22 15:09:33 ·
    Hakuna anayejua kifo chake kinamngoja wapi ?

    jiunge nasi telegram https://t.me/Ulimwengu_Wako
    ili kuona matukio mengi zaidi ya ajari.. #kai #ulimwenguWako #socialpop
    Hakuna anayejua kifo chake kinamngoja wapi ? jiunge nasi telegram https://t.me/Ulimwengu_Wako ili kuona matukio mengi zaidi ya ajari.. #kai #ulimwenguWako #socialpop
    Like
    1
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·576 مشاهدة ·17
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
ترقية الحساب
اختر الخطة التي تناسبك
ترقية
© 2025 Socialpop
Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل المطوريين