PART 2: Aina ya "human cloning" (kutengeneza copy ya mtu/mtu fake)
kama nilivyo eleza katika makala iliyo pita kuwa kuna watu ambao ni copy/fake,niki manisha wametengenezwa baada ya mtu halisi/husika kufa ili kuziba pengo la yule alie kufa. REPRODUCTIVE HUMAN CLONING.
Hii ni aina nyingine ya clone/copy ya mtu,ambapo katika aina hii huchukuliwa nuclear kutoka kwenye cell ya mtu husika kisha ile nuclear wanaenda kuipandikiza katika yai la mwanamke ambapo lile yai pia hutolewa nuclear yake ,na kuwekwa hiyo ya kupandikiza.
Wakisha fanya hivyo ndipo bada ya kipind fulani lile yai lita kuwa na kujitengeneza kuwa embryo,ambapo sasa iyo embroy/kijusi ikisha jitengeneza ,wana ihamisha na kuipeleka kwenye tanki ambazo ndani yake zimetengenezwa katika mfumo wa mfuko wa uzai wa mwanamke(placenta),kisha kuikuza ile embryo kupitia hatua zote za ukuaji wa mtoto ndani ya placenta ambapo ata pita hatua zote kutoka kichanga,mtoto,mpaka kufika stage ya yule mtu husika/ambaye amefanyiwa clone hapo sasa atakuwa tayari kasha tengenezwa upya ..lakini hii aina ya cloning ni ngumu sana kwasababu ina hitaji mda mpaka kukamilika ,kwasababu huyo clone anakuwa anapitia stage zote ambazo binadamu hupitia ..tofauti na human replical cloning ambayo huchukua mdamchache sana ..na hii reproductive ya kwanza ili fanyika mwaka 2000 lakin inasemekana hawakufanikiwa kutengeneza uyo mtu..ndipo badae umoja wa mataifa( UN) ulipo piga marufuku ...lakini vikundi vya siri kama illuminant/freemason viliendelea na vina zalisha watu wao kwa siri .. ROBOTOID CLONING..
hii ni aina nyingine ya kutengeneza clone/copy ya binadamu,ambayo kiuhalisia huyo clone/copy anakuwa nikama roboti tu yani hana uhai, pia hawezi kuwa na sifa zote zakuwa binadamu kama pumzi,roho(soul),n.k.Kwasababu anakuwa ni wakutengenezwa kupitia machines(mfano robot sofia kama mna mfahamu),na hii aina ya clone(robotoid clone) hii imeruhusiwa/halalishwa na umoja wa mataifa kwasababu sio haramu.. zipo pia move nyingi ambaozo zimeelezea mfano wa jins robotoid clone inavyo kuwepo kama vile PREDATOR ni movies ya Anord Shawazniger ambapo palikuwa na anord wa wili mmoja ni halisi ,mwingine alikuwa kama robot hivi Nazani mpo mnao ikumbuka hiyo move.. ..

👉kama nilivyo eleza katika makala iliyo pita kuwa kuna watu ambao ni copy/fake,niki manisha wametengenezwa baada ya mtu halisi/husika kufa ili kuziba pengo la yule alie kufa. REPRODUCTIVE HUMAN CLONING.
Hii ni aina nyingine ya clone/copy ya mtu,ambapo katika aina hii huchukuliwa nuclear kutoka kwenye cell ya mtu husika kisha ile nuclear wanaenda kuipandikiza katika yai la mwanamke ambapo lile yai pia hutolewa nuclear yake ,na kuwekwa hiyo ya kupandikiza.
Wakisha fanya hivyo ndipo bada ya kipind fulani lile yai lita kuwa na kujitengeneza kuwa embryo,ambapo sasa iyo embroy/kijusi ikisha jitengeneza ,wana ihamisha na kuipeleka kwenye tanki ambazo ndani yake zimetengenezwa katika mfumo wa mfuko wa uzai wa mwanamke(placenta),kisha kuikuza ile embryo kupitia hatua zote za ukuaji wa mtoto ndani ya placenta ambapo ata pita hatua zote kutoka kichanga,mtoto,mpaka kufika stage ya yule mtu husika/ambaye amefanyiwa clone hapo sasa atakuwa tayari kasha tengenezwa upya ..lakini hii aina ya cloning ni ngumu sana kwasababu ina hitaji mda mpaka kukamilika ,kwasababu huyo clone anakuwa anapitia stage zote ambazo binadamu hupitia ..tofauti na human replical cloning ambayo huchukua mdamchache sana ..na hii reproductive ya kwanza ili fanyika mwaka 2000 lakin inasemekana hawakufanikiwa kutengeneza uyo mtu..ndipo badae umoja wa mataifa( UN) ulipo piga marufuku ...lakini vikundi vya siri kama illuminant/freemason viliendelea na vina zalisha watu wao kwa siri .. 👉ROBOTOID CLONING..

·126 Views