• Mwalimu aliyekwambia ukifeli utakufa maskini leo unampelekea mwanao akamfundishe
    Anaishia tu kujisifu mbele ya walímu wapya ,nimemfundisha mimi huyu ila anaogopa kusema #ulifeli
    Unapompa hela ya chaí haamini anazaní umeanza kumlipa mafao ya nccf
    #tunapewa_elimu_ya_kuwa_tegemezi tu
    Mwalimu aliyekwambia ukifeli utakufa maskini leo unampelekea mwanao akamfundishe Anaishia tu kujisifu mbele ya walímu wapya ,nimemfundisha mimi huyu ila anaogopa kusema #ulifeli Unapompa hela ya chaí haamini anazaní umeanza kumlipa mafao ya nccf #tunapewa_elimu_ya_kuwa_tegemezi tu
    0 Commentaires ·0 Parts ·209 Vue
  • Wasio juwa wakati wako ni lini, wata sema wewe ni mvivu ama ulifeli chuo. Usikate tamaa, endelea kupambana, muweke Mungu mbele. Siku yako ita fika.
    Wasio juwa wakati wako ni lini, wata sema wewe ni mvivu ama ulifeli chuo. Usikate tamaa, endelea kupambana, muweke Mungu mbele. Siku yako ita fika.
    Like
    Love
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·342 Vue