·230 Views
·27 Views
-
-
Shirikisho la soka la Uhispania linafikiria kumwita Alejandro Balde kwa ajili ya mashindano ya Olimpiki msimu huu, lakini Barcelona wanapendelea apumzike baada ya kuumia kwa muda mrefu.
#Sportsview⚽Shirikisho la soka la Uhispania linafikiria kumwita Alejandro Balde kwa ajili ya mashindano ya Olimpiki msimu huu, lakini Barcelona wanapendelea apumzike baada ya kuumia kwa muda mrefu. #Sportsview2 Comments ·514 Views -
Bayern Munich wanamfuatilia beki wa England na Manchester City John Stones, mwenye umri wa miaka 29 (Football Insider)
Kiungo wa kati wa Manchester City na Uingereza Jack Grealish, mwenye umri wa miaka 28, pia analengwa na Bayern (Sun)
Manchester City ya Pep Guardiola haitamzuia mlinda lango wa Brazil Ederson ikiwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 anataka kuhamia Saudi Arabia, lakini masharti yanapaswa kuwa sawa kwao juu ya uhamisho wowote.(90 Min)
Burnley wanaomba fidia ya £17m kutoka kwa Bayern ili kumruhusu meneja Vincent Kompany kuchukua mikoba katika klabu hiyo ya Ujerumani. (Sky Sports Ujerumani)
Liverpool wameelekeza mawazo yao kwa winga wa Leeds Mholanzi Crysencio Summerville, 22, baada ya kuamua kumnunua winga wa Newcastle na England Anthony Gordon, 23. (90 Min).
Manchester United wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kuinasa sahihi ya winga wa kikosi cha chini ya miaka 21 wa Crystal Palace na Ufaransa Michael Olise, 22. (Football Transfers)
Aston Villa wanafikiria kusitisha mkataba wa kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 31. (Givemesport)
Winga wa Nottingham Forest na Uingereza Callum Hudson-Odoi, 22, anatarajiwa kulengwa na Tottenham(Guardian)
Ajax na Feyenoord wanavutiwa na winga wa Chelsea Omari Hutchinson, mwenye umri wa miaka 22, ambaye aliichezea Ipswich kwa mkopo msimu uliopita(Football London).
#Sports view🌎Bayern Munich wanamfuatilia beki wa England na Manchester City John Stones, mwenye umri wa miaka 29 (Football Insider) Kiungo wa kati wa Manchester City na Uingereza Jack Grealish, mwenye umri wa miaka 28, pia analengwa na Bayern (Sun) Manchester City ya Pep Guardiola haitamzuia mlinda lango wa Brazil Ederson ikiwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 anataka kuhamia Saudi Arabia, lakini masharti yanapaswa kuwa sawa kwao juu ya uhamisho wowote.(90 Min) Burnley wanaomba fidia ya £17m kutoka kwa Bayern ili kumruhusu meneja Vincent Kompany kuchukua mikoba katika klabu hiyo ya Ujerumani. (Sky Sports Ujerumani) Liverpool wameelekeza mawazo yao kwa winga wa Leeds Mholanzi Crysencio Summerville, 22, baada ya kuamua kumnunua winga wa Newcastle na England Anthony Gordon, 23. (90 Min). Manchester United wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kuinasa sahihi ya winga wa kikosi cha chini ya miaka 21 wa Crystal Palace na Ufaransa Michael Olise, 22. (Football Transfers) Aston Villa wanafikiria kusitisha mkataba wa kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 31. (Givemesport) Winga wa Nottingham Forest na Uingereza Callum Hudson-Odoi, 22, anatarajiwa kulengwa na Tottenham(Guardian) Ajax na Feyenoord wanavutiwa na winga wa Chelsea Omari Hutchinson, mwenye umri wa miaka 22, ambaye aliichezea Ipswich kwa mkopo msimu uliopita(Football London). #Sports view1 Comments ·723 Views -
Newcastle United wanawania wachezaji wawili wa Uingereza, huku Thomas Tuchel akiwa mgombea anayeongoza kuchukua mikoba huko Manchester United...
Newcastle United wanatumai kusajili wachezaji wawili wa kimataifa wa Uingereza huku mshambuliaji wa Everton Dominic Calvert-Lewin, mwenye umri wa miaka 27, na mshambuliaji wa West Ham Jarrod Bowen, pia mwenye umri wa miaka 27, wakiwa kwenye rada yao.(Telegraph)
Newcastle wanataka karibu pauni milioni 200 kumnunua mshambuliaji wa Uswidi Alexander Isak, 24, ambaye amekuwa akihusishwa na Arsenal(Mirror)
Thomas Tuchel, ambaye ni mchezaji huru baada ya kuondoka Bayern Munich, ndiye mgombea anayeongoza kuchukua mikoba ya Manchester United ikiwa klabu hiyo ya Old Trafford itamfukuza Erik ten Hag baada ya fainali ya Kombe la FA (Guardian).
#Sports view🌎Newcastle United wanawania wachezaji wawili wa Uingereza, huku Thomas Tuchel akiwa mgombea anayeongoza kuchukua mikoba huko Manchester United... Newcastle United wanatumai kusajili wachezaji wawili wa kimataifa wa Uingereza huku mshambuliaji wa Everton Dominic Calvert-Lewin, mwenye umri wa miaka 27, na mshambuliaji wa West Ham Jarrod Bowen, pia mwenye umri wa miaka 27, wakiwa kwenye rada yao.(Telegraph) Newcastle wanataka karibu pauni milioni 200 kumnunua mshambuliaji wa Uswidi Alexander Isak, 24, ambaye amekuwa akihusishwa na Arsenal(Mirror) Thomas Tuchel, ambaye ni mchezaji huru baada ya kuondoka Bayern Munich, ndiye mgombea anayeongoza kuchukua mikoba ya Manchester United ikiwa klabu hiyo ya Old Trafford itamfukuza Erik ten Hag baada ya fainali ya Kombe la FA (Guardian). #Sports view1 Comments ·448 Views
More Stories