UJUMBE MUHIMU KUTOKA KWA MSEMAJI WA KLABU NDUGU ALLY KWAMWE
"TUAMKE TUPAMBANE WANANCHI. Tunazihitaji sana Pointi 3 za kesho pale KMC. Hakuna Unyonge, Matawi yote ya Dar Es Salaam Tuhakikishe Tunahamasisha watu wetu wanakwenda uwanjani kesho
Sauti Zetu ni Muhimu sana kuwainua wachezaji wetu. Tunahitaji Pointi 3 na Magoli ya kutosha Kesho, Tusikae nyumbani na Kusubiri kulaumu tu
Tufanye Jukumu Letu kesho bila kuchoka kwa maana Yanga ni Yetu na Ni Lazima Tuipambanie furaha YetU
KuLe Chamaz Mlisema ni mbali na Mkaupigia sana Kelele uongozi wahame Kule .. Wamepambana Tumehama sasa Ni sisi Kwenda kuonyesha Tulikuwa sahihi
Uwanja ni mdogo sana Ule, Itakuwa aibu kubwa kwetu Tusipokajaza kale kauwanja kwa wingi wetu…
Wanayanga Tuamke twendeni KMC kesho Kuipambania Timu yetu
Tukizembea Makolo watazidi kuongeza Pointi na tuje kushituka Tumeshachelewa.. Twende nao Jino kwa Jino hivi sasa
SAA 9:00 MCHANA UWANJA UWE UMESHAJAA"
*Ally Kamwe*
*Mkuu wa Idara ya Habari*
*Young Africans Sports Club*

SAA 9:00 MCHANA UWANJA UWE UMESHAJAA🔰🔰"
*Ally Kamwe*
*Mkuu wa Idara ya Habari*
*Young Africans Sports Club*