Atualizar para Plus

  • Uchambuzi wa Georgea Ambangile.

    Yanga walianza mechi wakionesha dhamira ya kuutaka mchezo

    1: Kasi
    2: Kupasia mpira kwa umakini na haraka
    3: Movements nyingi nzuri
    4: Wanashinda mipambano yao
    5: Na wakipoteza mpira haraka sana wanaweka presha kwenye mpira .
    6: Kushambulia na idadi nzuri ya wachezaji mbele

    Nafikiri Pacome na Mzize wingplay yao ilihitaji fullbacks ambao wapo tayari kusogea juu ( Yao na Kibwana ) ili kushambulia na mpira tena maeneo sahihi : Yao na Kibwana wana overlaps haraka sana kufanya Pacome + Mzize kudribble ndani zaidi dhidi ya fullbacks , kitu ambacho kilifungua spaces pembeni ya uwanja kwa fullbacks wao ( Good wingplay )

    Ujasiri wa viungo watatu ( Dunia ,Balama na Mgandila ) kupokea mpira eneo lolote na wakati wowote iliwasaidia kupunguza ukali wa pressing ya Yanga , walianza kutoka nyuma na kupasi vizuri katikati ya mistari ya Yanga ( Playing through the lines ) , na kuwafanya Yanga kuanza kuzuia kwa katikati zaidi badala ya juu .

    Nafikiri kitu ambacho kocha Baresi alitamani kifanyike na vijana wake ni kuwa na uthubutu wa kuongeza idadi ya wachezaji kwenda mbele , kulikuwa na spaces nyuma ya kiungo cha Yanga , ambayo ilihitaji wingi wa wachezaji maeneo hayo .

    Ramovic ali react vizuri , kutumia viungo watatu dakika kama 25 za mwisho ( Aucho , Muda na Abuya ) ni kupunguza / kuondoa nia ya Mashujaa kucheza ndani zaidi : Ramovic akafanya iwe 3v3 ... uzuri kwake ni Abuya na Mudathir wanaweza kusogea juu na kurudi kuzuia .

    NOTE

    1:Kibwana kacheza mechi nzuri , kiulinzi na kwenda mbele

    2:Kiungo cha Mashujaa kinacheza

    3: Aucho atakuwa anawafikirisha sana Yanga kuhusu mbadala wake wa muda mrefu

    4: Khomeny lile kosa aisee

    5: Uromi spanshot . Kapiga haraka tena chini mbali

    6: Pacome akiwa na mpira unaona kitu kinaenda kutokea

    7: PRINCE DUBE ... Hat trick hero .! Confidence ya mshambuliaji inapatikana na magoli . ⚽️⚽️⚽️

    FT: Yanga SC 3-2 Mashujaa FC

    Uchambuzi wa Georgea Ambangile. Yanga walianza mechi wakionesha dhamira ya kuutaka mchezo 1: Kasi 2: Kupasia mpira kwa umakini na haraka 3: Movements nyingi nzuri 4: Wanashinda mipambano yao 5: Na wakipoteza mpira haraka sana wanaweka presha kwenye mpira . 6: Kushambulia na idadi nzuri ya wachezaji mbele Nafikiri Pacome na Mzize wingplay yao ilihitaji fullbacks ambao wapo tayari kusogea juu ( Yao na Kibwana ) ili kushambulia na mpira tena maeneo sahihi : Yao na Kibwana wana overlaps haraka sana kufanya Pacome + Mzize kudribble ndani zaidi dhidi ya fullbacks , kitu ambacho kilifungua spaces pembeni ya uwanja kwa fullbacks wao ( Good wingplay ) Ujasiri wa viungo watatu ( Dunia ,Balama na Mgandila ) kupokea mpira eneo lolote na wakati wowote iliwasaidia kupunguza ukali wa pressing ya Yanga , walianza kutoka nyuma na kupasi vizuri katikati ya mistari ya Yanga ( Playing through the lines ) , na kuwafanya Yanga kuanza kuzuia kwa katikati zaidi badala ya juu . Nafikiri kitu ambacho kocha Baresi alitamani kifanyike na vijana wake ni kuwa na uthubutu wa kuongeza idadi ya wachezaji kwenda mbele , kulikuwa na spaces nyuma ya kiungo cha Yanga , ambayo ilihitaji wingi wa wachezaji maeneo hayo . Ramovic ali react vizuri , kutumia viungo watatu dakika kama 25 za mwisho ( Aucho , Muda na Abuya ) ni kupunguza / kuondoa nia ya Mashujaa kucheza ndani zaidi : Ramovic akafanya iwe 3v3 ... uzuri kwake ni Abuya na Mudathir wanaweza kusogea juu na kurudi kuzuia . NOTE 1:Kibwana kacheza mechi nzuri , kiulinzi na kwenda mbele 2:Kiungo cha Mashujaa 🔥 kinacheza 3: Aucho atakuwa anawafikirisha sana Yanga kuhusu mbadala wake wa muda mrefu 4: Khomeny lile kosa aisee 🤔 5: Uromi spanshot . Kapiga haraka tena chini mbali 🔥 6: Pacome akiwa na mpira unaona kitu kinaenda kutokea 7: PRINCE DUBE ... Hat trick hero .! Confidence ya mshambuliaji inapatikana na magoli . ⚽️⚽️⚽️🔥 FT: Yanga SC 3-2 Mashujaa FC
    ·98 Visualizações
  • " Prince Dube ni mchezaji wa kawaida sana. Hana hadhi ya kucheza Yanga magoli ya leo kabahatisha. Bado yanga inacheza vibaya siyo ile ya Gamondi " Wilson Oruma, Mchambuzi.

    " Prince Dube ni mchezaji wa kawaida sana. Hana hadhi ya kucheza Yanga magoli ya leo kabahatisha. Bado yanga inacheza vibaya siyo ile ya Gamondi " Wilson Oruma, Mchambuzi.
    ·24 Visualizações
  • Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na mpira kivipi ?

    Yanga kama dakika 30 za kwanza waliutembeza mpira kwa uharaka sana (Decision Making , runners walikuwa wengi eneo la mbele , walipata nafasi kubwa kwenye mpira (Pacome na Mzize) mda mwingi FBs wa Yanga walikuwa pembeni zaidi kwenye chaki….dhumuni ni kutafuta mapana ya uwanja na kuitanua block ya Mashujaa nafasi kwa wale namba 10 wawili + Pacome na Mzize ambao walikuwa wanaingia kwenye Half spaces zikaanza kufunguka .

    Mashujaa kwenye plan ya kuzuia wakiwa chini kwenye “Mid Block” then wakipora mpira haraka sana wanatengeneza mashambulizi kwa kushtukiza (Offesive Transition) na walinufaika na makosa ya safu ya ulinzi kutoka kwa Yanga (Goli la Ulomi “Defense line kusinzia , goli la pili makosa ya golikipa) .

    Mashujaa kuna nyakati kwenye kiungo walicheza vizuri sana , Pasi sahihi , movements lakini pia walitengeneza namba nzuri ya wachezaji (Overloads) ….. kulikuwa na nafasi kubwa kati ya kiungo cha Yanga na walinzi .

    Prince Dube anafunga “Hattrick” ya kwanza msimu huu NBCPL …. Ni mchezo wake bora sana tangia ajiunge na Yanga .

    Kibwana Shomari amecheza game bora sana , Duke akiwa na mali ni ngumu kuchukua …. Wale viungo wa Mashujaa wametoa game bora dhidi ya Yanga . Pacome

    FT : Yanga 3-2 Mashujaa

    Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na mpira kivipi ? Yanga kama dakika 30 za kwanza waliutembeza mpira kwa uharaka sana (Decision Making , runners walikuwa wengi eneo la mbele , walipata nafasi kubwa kwenye mpira (Pacome na Mzize) mda mwingi FBs wa Yanga walikuwa pembeni zaidi kwenye chaki….dhumuni ni kutafuta mapana ya uwanja na kuitanua block ya Mashujaa nafasi kwa wale namba 10 wawili + Pacome na Mzize ambao walikuwa wanaingia kwenye Half spaces zikaanza kufunguka . Mashujaa kwenye plan ya kuzuia wakiwa chini kwenye “Mid Block” then wakipora mpira haraka sana wanatengeneza mashambulizi kwa kushtukiza (Offesive Transition) na walinufaika na makosa ya safu ya ulinzi kutoka kwa Yanga (Goli la Ulomi “Defense line kusinzia , goli la pili makosa ya golikipa) . Mashujaa kuna nyakati kwenye kiungo walicheza vizuri sana , Pasi sahihi , movements lakini pia walitengeneza namba nzuri ya wachezaji (Overloads) ….. kulikuwa na nafasi kubwa kati ya kiungo cha Yanga na walinzi . Prince Dube anafunga “Hattrick” ya kwanza msimu huu NBCPL …. Ni mchezo wake bora sana tangia ajiunge na Yanga . Kibwana Shomari 👏 amecheza game bora sana , Duke akiwa na mali ni ngumu kuchukua …. Wale viungo wa Mashujaa wametoa game bora dhidi ya Yanga . Pacome 👍 FT : Yanga 3-2 Mashujaa
    ·100 Visualizações
  • Jeshi la Polisi Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu sakata la Bernard Morrison baada ya Mchezaji huyo wa zamani wa klabu ya Yanga SC, Simba SC,.. kulishutumu Jeshi hilo.

    “ Lingependa kutoa ufafanuzi wa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kumhusu mchezaji Bernard Morrison ikituhumu Kituo cha Polisi Mbweni.

    “ Taarifa hiyo kila mtandao unaongeza chumvi kutokana na kuwa na taarfa ya upande mmoja. Ufafanuzi ni kwamba, Morrison, Machi, 2024 alifungua kesi ya Wizi wa Kuaminiwa katika Kituo cha Polisi Mbweni kuwa, akiwa Ghana alimtumia Abdul Rakeeb Mgaya kiasi cha shilingi milioni moja na laki tano (1,500,000) ili amkabidhi mdogo wake aliyemtaja kwa jina la Boat anayeishi hapa nchini akitafuta timu itakayomsajili lakini hakufanya hivyo.

    “ Baada ya malalamiko hayo aliyetuhumiwa alitafutwa na alipohojiwa alieleza ni kweli alitumiwa hizo fedha ill zisaide kwenye gharama za kumsajili huyo mdogo wake lakini ilishindikana kwa sababu hakuwa na kiwango cha kusajiliwa na timu aliyokuwa anahitaji.

    “ Hata hivyo, alimtaka Morrison ampe muda atamrejeshea fedha zake. Pia alielezwa kulingana na
    shahidi hakuna kesi ya jinai. Hivyo walielewana na kwa vile wote ni raia wa Ghana walikubaliana kulipana.

    “ Juni 3,2024 iliripotiwa kesi ya kuharibu mali ambapo Bernard Morrison akiwa na mdogo wake na mtu mwingine walifika katika nyumba anayoishi Abdul Rakeeb na kuvunja geti kisha kuchukuwa kwa nguvu gari aina ya IST namba T239 DFM.

    “ Bernard Morrison aliendela kutafutwa bila mafanikio lakini Abdul Rakeeb walifanikiwa kuliona gari hilo likiwa limeegeshwa sehemu na kulichukuwa na kulipeleka Kituo cha Polisi Mbweni.

    “ Hivyo Morrison anachotakiwa kufanya ni kuacha kujificha, kusema ukweli na kufika kituo cha Polisi kuonana na uongozi ili sheria ichukue mkondo wake”

    Jeshi la Polisi Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu sakata la Bernard Morrison baada ya Mchezaji huyo wa zamani wa klabu ya Yanga SC, Simba SC,.. kulishutumu Jeshi hilo. “ Lingependa kutoa ufafanuzi wa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kumhusu mchezaji Bernard Morrison ikituhumu Kituo cha Polisi Mbweni. “ Taarifa hiyo kila mtandao unaongeza chumvi kutokana na kuwa na taarfa ya upande mmoja. Ufafanuzi ni kwamba, Morrison, Machi, 2024 alifungua kesi ya Wizi wa Kuaminiwa katika Kituo cha Polisi Mbweni kuwa, akiwa Ghana alimtumia Abdul Rakeeb Mgaya kiasi cha shilingi milioni moja na laki tano (1,500,000) ili amkabidhi mdogo wake aliyemtaja kwa jina la Boat anayeishi hapa nchini akitafuta timu itakayomsajili lakini hakufanya hivyo. “ Baada ya malalamiko hayo aliyetuhumiwa alitafutwa na alipohojiwa alieleza ni kweli alitumiwa hizo fedha ill zisaide kwenye gharama za kumsajili huyo mdogo wake lakini ilishindikana kwa sababu hakuwa na kiwango cha kusajiliwa na timu aliyokuwa anahitaji. “ Hata hivyo, alimtaka Morrison ampe muda atamrejeshea fedha zake. Pia alielezwa kulingana na shahidi hakuna kesi ya jinai. Hivyo walielewana na kwa vile wote ni raia wa Ghana walikubaliana kulipana. “ Juni 3,2024 iliripotiwa kesi ya kuharibu mali ambapo Bernard Morrison akiwa na mdogo wake na mtu mwingine walifika katika nyumba anayoishi Abdul Rakeeb na kuvunja geti kisha kuchukuwa kwa nguvu gari aina ya IST namba T239 DFM. “ Bernard Morrison aliendela kutafutwa bila mafanikio lakini Abdul Rakeeb walifanikiwa kuliona gari hilo likiwa limeegeshwa sehemu na kulichukuwa na kulipeleka Kituo cha Polisi Mbweni. “ Hivyo Morrison anachotakiwa kufanya ni kuacha kujificha, kusema ukweli na kufika kituo cha Polisi kuonana na uongozi ili sheria ichukue mkondo wake”
    ·106 Visualizações
  • ·18 Visualizações
  • ·20 Visualizações
  • ·20 Visualizações
  • ·21 Visualizações
  • ·20 Visualizações
  • ·20 Visualizações