Mise à niveau vers Pro

  • HAT TRICK YA KWANZA LIGI KUU MSIMU HUU NA TANGU UWANJA WA KMC UANZE
    HAT TRICK YA KWANZA LIGI KUU MSIMU HUU NA TANGU UWANJA WA KMC UANZE
    Like
    Love
    Yay
    4
    ·83 Vue
  • Haha
    Love
    4
    ·83 Vue
  • TANGAZO TANGAZO.

    Kwa wale *mnaokuja* kula *christmas vijijini* zingatia yafuatayo:

    1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia.

    2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako.

    3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga mtoni unaenda mwenyewe.

    4. Mje na midoli ya kuchezea watoto wenu wasije kutunyongea vifaranga.

    5. Hakuna kuchinjiwa kuku hadi siku ya christmas.

    6. Ukimaliza kuoga toka na sabuni kwa sababu hiyo hiyo ndo tunaoshea vyombo.

    7. Ukija na mke au mume wako asianze kusema mboga hii akila anaumwa tumbo sisi tunakujua tangu ulivyokuwa mdogo ulikuwa unakula maembe yenye wadudu na haukuwahi kuumwa tumbo kwa hiyo mtakula chochote kitakachopikwa.

    8. Huku hakuna kumbembeleza mtoto wakati wa kula akikataa kula sisi tunakula na tunamaliza.

    9. Usiku hakuna kumulikiwa tundu la choo unapapasa na mguu tu.

    10. Hakuna Kutupa ugali uliolala huo ni mkate wetu asubuhi.

    11. Hakuna mto wa kulalia huku unalalia mikono tu.

    12. La mwisho wale mliopo kwenye ajira zaidi ya miaka 10 na huku nyumbani hamjajenga mtakuwa mnalala kwa mwenyekiti.

    Ahsanteni na karibuni sana
    🇹🇿TANGAZO TANGAZO.🇹🇿 Kwa wale *mnaokuja* kula *christmas vijijini* zingatia yafuatayo: 1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga mtoni unaenda mwenyewe. 4. Mje na midoli ya kuchezea watoto wenu wasije kutunyongea vifaranga. 5. Hakuna kuchinjiwa kuku hadi siku ya christmas. 6. Ukimaliza kuoga toka na sabuni kwa sababu hiyo hiyo ndo tunaoshea vyombo. 7. Ukija na mke au mume wako asianze kusema mboga hii akila anaumwa tumbo sisi tunakujua tangu ulivyokuwa mdogo ulikuwa unakula maembe yenye wadudu na haukuwahi kuumwa tumbo kwa hiyo mtakula chochote kitakachopikwa. 8. Huku hakuna kumbembeleza mtoto wakati wa kula akikataa kula sisi tunakula na tunamaliza. 9. Usiku hakuna kumulikiwa tundu la choo unapapasa na mguu tu. 10. Hakuna Kutupa ugali uliolala huo ni mkate wetu asubuhi. 11. Hakuna mto wa kulalia huku unalalia mikono tu. 12. La mwisho wale mliopo kwenye ajira zaidi ya miaka 10 na huku nyumbani hamjajenga mtakuwa mnalala kwa mwenyekiti. Ahsanteni na karibuni sana 🙏🙏😂
    Haha
    1
    ·128 Vue
  • Habari za ahsubuh wananchi kutoka kwa mwana wa mfalme Prince Dube
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #daimambelenyumamwiko
    Habari za ahsubuh wananchi kutoka kwa mwana wa mfalme Prince Dube 😂😀💪 #timuyawananchi #yangasc #daimambelenyumamwiko
    Like
    1
    ·154 Vue
  • *Idadi ya wagonjwa wa afya ya akili imeendelea kupungua katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe iliyoko Dodoma kwa mwaka 2023-24, kufuatia juhudi za kutoa elimu kuhusu msongo wa mawazo na njia za kukabiliana na changamoto hiyo.

    *Idadi ya wagonjwa wa afya ya akili imeendelea kupungua katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe iliyoko Dodoma kwa mwaka 2023-24, kufuatia juhudi za kutoa elimu kuhusu msongo wa mawazo na njia za kukabiliana na changamoto hiyo.
    ·89 Vue
  • Like
    1
    3 Commentaires ·42 Vue
  • ·41 Vue
  • niwajibu wetu kimshukulu mungu kila wakat niwatakie ijumaa njema
    niwajibu wetu kimshukulu mungu kila wakat niwatakie ijumaa njema
    ·58 Vue
  • MBONA SIJAELEWA HAPA!

    .Me:- mambo

    Dem:- poa

    Me:- unaishi wapi?

    Dem :- hapa tu Nairobi

    Me:- uko chuo?

    Dem:- ndio

    Me :- chuo gani

    Dem :- Urumah University
    Me:- Si NAMI paci unionee uruma na unipe fursa ya life yako.

    Dem:- ohooo! I am already to deserve you

    Me:- poa nimeangalia profile picture zako nimekupenda ghafla..."

    Dem:- Ahsante, una gari aina gani?!

    Me:- Nina land cruiser "

    Dem:- wahoo! Upo sahihi kunipenda najisikia raha ku chat na wewe".

    Me:- Ila Gari sio langu nimesaidiwa na rafiki yangu".

    Dem:- Nikuambie kitu!! Mimi nina boyfriend wangu na tunapendana sana

    Me:- land cruiser hiyo nimesadiwa na rafiki yangu kwasababu Gari yangu Harrier new model ilikuwa service"

    Dem:- nakutania tu sina boyfriend, Nilikua naye zamani mwenyewe tuliachana alikua mjinga mjinga sura mbaya walikua wananicheka wenzangu siku hizi nipo Single".

    Me:- wahoo Safi my dear ila Jana bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu nakupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni🥹"

    Dem:- acha ni kuambie ukweli tu, Nina mume na watoto wawili"

    Me:- poa usijali ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni na pia wataniamishia China, jijini Bahijing kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa General Manager.

    Dem:- jamani my dear, Nikuambie ukweli kutoka moyoni Mume wangu na Watoto wote walifariki miaka minne iliyopita.

    Wanawake mnatupeleka wapi Jameni?!!
    MBONA SIJAELEWA HAPA! .Me🧔:- mambo😊 Dem👰:- poa🤨 Me🧔:- unaishi wapi🙄? Dem 👰:- hapa tu Nairobi 😲 Me🧔:- uko chuo😊? Dem👰:- ndio😟 Me 🧔 :- chuo gani ☺️ Dem 👰:- Urumah University 🥰 Me🧔:- Si NAMI paci unionee uruma na unipe fursa ya life yako. Dem👰:- ohooo!🙆 I am already to deserve you 😍 Me🧔:- poa nimeangalia profile picture zako nimekupenda ghafla...😘" Dem👰:- Ahsante, una gari aina gani😒?! Me🧔:- Nina land cruiser 😊" Dem👰:- wahoo! Upo sahihi kunipenda najisikia raha ku chat na wewe😁". Me🧔:- Ila Gari sio langu nimesaidiwa na rafiki yangu🙄". Dem👰:- Nikuambie kitu!! Mimi nina boyfriend wangu na tunapendana sana💕 Me🧔:- land cruiser hiyo nimesadiwa na rafiki yangu kwasababu Gari yangu Harrier new model ilikuwa service😊" Dem👰:- nakutania tu sina boyfriend, Nilikua naye zamani mwenyewe tuliachana alikua mjinga mjinga sura mbaya walikua wananicheka wenzangu siku hizi nipo Single😁😁". Me🧔:- wahoo Safi my dear ila Jana bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu nakupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni🥹" Dem👰:- acha ni kuambie ukweli tu, Nina mume na watoto wawili✌️" Me🧔:- poa usijali ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni na pia wataniamishia China, jijini Bahijing kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa General Manager🕴️. Dem👰:- jamani my dear, Nikuambie ukweli kutoka moyoni Mume wangu na Watoto 👪wote walifariki miaka minne iliyopita. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Wanawake mnatupeleka wapi Jameni?!!
    Love
    1
    ·300 Vue

  • FADLU DAVIS KOCHA WA SIMBA SC ASEMA UTAKUA MCHEZO MGUMU DHIDI YA KAGERA SUGAR FC.

    #paulswai
    FADLU DAVIS KOCHA WA SIMBA SC ASEMA UTAKUA MCHEZO MGUMU DHIDI YA KAGERA SUGAR FC. #paulswai
    Like
    3
    ·163 Vue