• 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·144 Visualizações
  • 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·135 Visualizações
  • Kuna wakati lazima tukubali kuwa sisi ni dhaifu sana hatuna tunachomiliki zaidi ya kinyesi kwenye matumbo yetu.

    Hii ni California sehemu ambayo wanakaa watu wenye ukwasi na wadhifa. Watu ambao wanajua kutumia hela zaidi kuliko kuongea kuhusu hela.

    Sehemu ambayo fukara harusiwi kuishi. Sehemu. ambayo watu wanaishi na bank chini ya majumba yao. Lakini licha ya heshima yote ya sehemu hio Mungu kapitisha makadara yake kumekuwa kama nyika inayoandaliwa kuwa makaazi.

    Mungu anae badilisha usiku kuwa mchana ndio Mungu huyo huyo alieifanya California kuwa jivu. Mungu hazihakiwi. Mungu akasirikiwi. Mungu hajaribiwi na uwezo wa Mungu ni mkubwa kushinda neno uwezo.

    Utajiri wa mtu au wadhifa wa mtu mbele ya Mungu huwa si kitu cha maana kama mtu huyo ataishi kinyume na matakwa ya Mungu. Hela haimfanyi mtu kuwa na amani bali amani inayotoka kwa Mungu ndie inayomfanya binadamu kuwa na amani. MUOGOPE SANA MUNGU.
    (CC: Abdulrazaki issa)
    Kuna wakati lazima tukubali kuwa sisi ni dhaifu sana hatuna tunachomiliki zaidi ya kinyesi kwenye matumbo yetu. Hii ni California sehemu ambayo wanakaa watu wenye ukwasi na wadhifa. Watu ambao wanajua kutumia hela zaidi kuliko kuongea kuhusu hela. Sehemu ambayo fukara harusiwi kuishi. Sehemu. ambayo watu wanaishi na bank chini ya majumba yao. Lakini licha ya heshima yote ya sehemu hio Mungu kapitisha makadara yake kumekuwa kama nyika inayoandaliwa kuwa makaazi. Mungu anae badilisha usiku kuwa mchana ndio Mungu huyo huyo alieifanya California kuwa jivu. Mungu hazihakiwi. Mungu akasirikiwi. Mungu hajaribiwi na uwezo wa Mungu ni mkubwa kushinda neno uwezo. Utajiri wa mtu au wadhifa wa mtu mbele ya Mungu huwa si kitu cha maana kama mtu huyo ataishi kinyume na matakwa ya Mungu. Hela haimfanyi mtu kuwa na amani bali amani inayotoka kwa Mungu ndie inayomfanya binadamu kuwa na amani. MUOGOPE SANA MUNGU. (CC: Abdulrazaki issa)
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·186 Visualizações
  • 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·138 Visualizações
  • Unayemuona hapo pichani ni mwanaanga anayeitwa Bruce McCandless, huyu jamaa alikiuka taratibu za kiusalama ambazo ziliwekwa kufuatwa na wanaanga wote wakiwa nje ya Dunia kwa usalama wao. Jamaa alitoka kwenye chombo na kusogea umbali wa mita 100 kutokea kwenye chombo kilipokuwepo kisha akawa anaelea huru juu ya Dunia pasipo kuwa na kamba yoyote iliyounganishwa kutokea kwenye chombo kwa usalama wake. Tukio hili liliwaudhi NASA kiasi cha kwamba waliwapiga marufuku wanaanga kutembea huru nje ya Dunia pasipo kufuata taratibu za kiusalama zilizowekwa. Kitu pekee ambacho huyo mwanaanga alikuwa anakitegemea kimrudishe kwenye chombo ni kifaa maalumu kinachoitwa MMU (Manned Maneuvering Unit) ambacho huwa kinatumika kuwasukuma kutoka eneo moja kwenda lingine kwenye ombwe na kama ingetokea hicho kifaa kingegoma kufanya kazi huyo jamaa hapo asingeweza kuokolewa na hatma yake ingekuwa ni kuizunguka Dunia kwa miaka miwili kama satelaiti kabla hajavutwa chini na kuanza kuunguzwa kwenye anga la juu mpaka kufa au angeendelea kuelea huku akisogea kuelekea kule gizani mpaka angepotea na kufa peke yake baada ya oksijeni kumuishia. Tukio hili linahesabika kama moja ya matukio hatari zaidi kuwahi kufanywa na mwanadamu akiwa nje ya Dunia.
    Unayemuona hapo pichani ni mwanaanga anayeitwa Bruce McCandless, huyu jamaa alikiuka taratibu za kiusalama ambazo ziliwekwa kufuatwa na wanaanga wote wakiwa nje ya Dunia kwa usalama wao. Jamaa alitoka kwenye chombo na kusogea umbali wa mita 100 kutokea kwenye chombo kilipokuwepo kisha akawa anaelea huru juu ya Dunia pasipo kuwa na kamba yoyote iliyounganishwa kutokea kwenye chombo kwa usalama wake. Tukio hili liliwaudhi NASA kiasi cha kwamba waliwapiga marufuku wanaanga kutembea huru nje ya Dunia pasipo kufuata taratibu za kiusalama zilizowekwa. Kitu pekee ambacho huyo mwanaanga alikuwa anakitegemea kimrudishe kwenye chombo ni kifaa maalumu kinachoitwa MMU (Manned Maneuvering Unit) ambacho huwa kinatumika kuwasukuma kutoka eneo moja kwenda lingine kwenye ombwe na kama ingetokea hicho kifaa kingegoma kufanya kazi huyo jamaa hapo asingeweza kuokolewa na hatma yake ingekuwa ni kuizunguka Dunia kwa miaka miwili kama satelaiti kabla hajavutwa chini na kuanza kuunguzwa kwenye anga la juu mpaka kufa au angeendelea kuelea huku akisogea kuelekea kule gizani mpaka angepotea na kufa peke yake baada ya oksijeni kumuishia. Tukio hili linahesabika kama moja ya matukio hatari zaidi kuwahi kufanywa na mwanadamu akiwa nje ya Dunia.
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·458 Visualizações
  • KHERI LAWAMA; Hii nikauli ya ibenge kasema hawezi kulegeza nati hata kidogo licha ya kufuzu, Ibenge kasema yanga naifahamu vizuri toka nikutane naye katika michuano ya mabingwa Africa hajawahi kunifunga hivyo nitajitahidi kulinda rekodi yangu na nitahakikisha naongoza kundi mpaka mwisho wa mashindano haya.
    Sokachampions; namimi naunga mkono kauli ya ibenge kheri lawama, hii mechi yanga atafungwa 2:1 naomba tuelewane apa hii mechi yanga wanaitaka na siku zote unacho kipata sio rahisi kupata hivyo hii mechi yanga lost, nikumbushwe kama yanga atashinda pia nifungiwe kabisa nisijihusishe na mpira milele.
    #sokachampions
    #milardayo
    #cafchampionsleague2024
    #soccersportstz
    KHERI LAWAMA; Hii nikauli ya ibenge kasema hawezi kulegeza nati hata kidogo licha ya kufuzu, Ibenge kasema yanga naifahamu vizuri toka nikutane naye katika michuano ya mabingwa Africa hajawahi kunifunga hivyo nitajitahidi kulinda rekodi yangu na nitahakikisha naongoza kundi mpaka mwisho wa mashindano haya. Sokachampions; namimi naunga mkono kauli ya ibenge kheri lawama, hii mechi yanga atafungwa 2:1 naomba tuelewane apa hii mechi yanga wanaitaka na siku zote unacho kipata sio rahisi kupata hivyo hii mechi yanga lost, nikumbushwe kama yanga atashinda pia nifungiwe kabisa nisijihusishe na mpira milele🤣🤣. #sokachampions #milardayo #cafchampionsleague2024 #soccersportstz
    Like
    Love
    Sad
    6
    · 3 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2KB Visualizações
  • Wengi walishawahi sikia neno LULU au kwa kizungu PEARL, haya sio madini yanayochimbwa ardhini kma madini mengine yanavyochimbwa bali hizi ni goroli za thamani kubwa zinazopatikana ndani ya samaki wa baharini anaeitwa OYERSTA, samaki huyu anapokufa lulu hizi hubakia chini ya kina cha bahari hivyo wazamiaji huziokota, goroli hizi huwa zinathani kubwa na mara nyingi watu wenye kipato kikubwa kma wafalme na malikia huwa ndio wanavaa mikufu ya lulu og, kutokana na thamani kubwa na uadimu wa goroli hizi basi goroli hizi huchukuliwa kma ni madini ya vito ila kiuhalisia sio madini kwani huwa hayachimbwi ardhini kma madini mengine ya vito.

    Ili upate lulu hizi unatakiwa utafute chini ya kina cha bahari au umkamate samaki huyu na kumpasua, na kma utamkamata samaki huyu na kumpasua basi utazikuta goroli hizi zimejipanga kwa mstari ndani ya samaki huyu, kweli mungu mkubwa.

    Goroli hizi huwa zinapendeza sana na huwa zinang'ara sana na kung'ara kwake ndio kumefanya goroli hizi kuwa na thamani kubwa.
    Wengi walishawahi sikia neno LULU au kwa kizungu PEARL, haya sio madini yanayochimbwa ardhini kma madini mengine yanavyochimbwa bali hizi ni goroli za thamani kubwa zinazopatikana ndani ya samaki wa baharini anaeitwa OYERSTA, samaki huyu anapokufa lulu hizi hubakia chini ya kina cha bahari hivyo wazamiaji huziokota, goroli hizi huwa zinathani kubwa na mara nyingi watu wenye kipato kikubwa kma wafalme na malikia huwa ndio wanavaa mikufu ya lulu og, kutokana na thamani kubwa na uadimu wa goroli hizi basi goroli hizi huchukuliwa kma ni madini ya vito ila kiuhalisia sio madini kwani huwa hayachimbwi ardhini kma madini mengine ya vito. Ili upate lulu hizi unatakiwa utafute chini ya kina cha bahari au umkamate samaki huyu na kumpasua, na kma utamkamata samaki huyu na kumpasua basi utazikuta goroli hizi zimejipanga kwa mstari ndani ya samaki huyu, kweli mungu mkubwa. Goroli hizi huwa zinapendeza sana na huwa zinang'ara sana na kung'ara kwake ndio kumefanya goroli hizi kuwa na thamani kubwa.
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·799 Visualizações
  • KISIWA CHA PALMESTON KILICHO MWISHO WA DUNIA Kisiwa hiki ni moja ya jumuiya ya watu wanaoishi pembezoni mwa dunia.Kisiwa kidogo kilicho bahari ya pacific kinaitwa kisiwa cha palmeston.Kiko chini ya usimamizi wa nchi ya New zealand wanaletewa meli ya mahitaji yao muhimu mara mbili tu kwa mwaka umbali kilipo mkubwa mno na kukifikia ni safark ndefu sana na hatari kwa wanaopenda kukitembelea. Cha ajabu zaidi wakazi wake 62 wote ni uzao wa mtu mmoja mwingereza aliyefika hapo toka mji wa Leicester miaka 150 iliyopita Mr Willim Markmaster.Kutoka Leicester hadi alipofika mtu huyo ni umbali wa km 10,000 alikuja na captain Cook akampa kazi ya kupanda minazi akabakia hapo Safari ndefu ya kukifikia usiku na mchana kwa boti na mawimbi ya bahari ya pacific ilivyo kubwa ni mbali mno binadamu wa kawaida kuweza kufikiria ndio maana kikaitwa kiko mwisho wa dunia. Markmasters alipewa umiliki huo na malikia Victoria mwaka 1850.Umbali kutoka kisiwa hicho hadi New zealand wanaowaletea mahitaji muhimu ni km 5299 baharini.Kisiwa cha karibu ambacho kwao wanaona ni jirani ni kisiwa cha Rarotonga kiko umbali wa km 3148.Kusafiri kwa boti ni siku nne safari ya usiku na mchana.Linapofika suala la huduma kuhitaji huduma ya kutibiwa jino iko kisiwa hicho cha karibu ya km 3148.Mama mzee kuliko wote kisiwa hicho mama Aka mwenye miaka 92 alikwenda kutibiwa jino kisiwa cha karibu cha Rarotonga alipotibiwa usafiri wa kurudi kisiwani kwake ilibidi asubiri miezi sita kupata meli ya kumrudisha nyumbani. Ila wananchi wake wanaishi maisha ya raha sana kuna kanisa,shule na huduma za internet kwa ujumla ni watu wanaoishi maisha ya raha na amani sana.Kisiwani humo kuna polisi mmoja tu na inasemekana ni polisi mwenye raha asiye na kazi ngumu kuliko polisi wote duniani kwa vile uzao wao wote wana damu moja.Hakuna gari wala uwanja wa ndege wala gari ila wanaishi vizuri mno.Kutoka kisiwa hicho hadi mji wa Capetown Africa kusini ni km 11,154 baharini.Picha kushoto ni kisiwa hicho kulia ni bibi Mama Aka alipokuwa hospitali anasubiri meli ije baada ya miezi sita.
    KISIWA CHA PALMESTON KILICHO MWISHO WA DUNIA Kisiwa hiki ni moja ya jumuiya ya watu wanaoishi pembezoni mwa dunia.Kisiwa kidogo kilicho bahari ya pacific kinaitwa kisiwa cha palmeston.Kiko chini ya usimamizi wa nchi ya New zealand wanaletewa meli ya mahitaji yao muhimu mara mbili tu kwa mwaka umbali kilipo mkubwa mno na kukifikia ni safark ndefu sana na hatari kwa wanaopenda kukitembelea. Cha ajabu zaidi wakazi wake 62 wote ni uzao wa mtu mmoja mwingereza aliyefika hapo toka mji wa Leicester miaka 150 iliyopita Mr Willim Markmaster.Kutoka Leicester hadi alipofika mtu huyo ni umbali wa km 10,000 alikuja na captain Cook akampa kazi ya kupanda minazi akabakia hapo Safari ndefu ya kukifikia usiku na mchana kwa boti na mawimbi ya bahari ya pacific ilivyo kubwa ni mbali mno binadamu wa kawaida kuweza kufikiria ndio maana kikaitwa kiko mwisho wa dunia. Markmasters alipewa umiliki huo na malikia Victoria mwaka 1850.Umbali kutoka kisiwa hicho hadi New zealand wanaowaletea mahitaji muhimu ni km 5299 baharini.Kisiwa cha karibu ambacho kwao wanaona ni jirani ni kisiwa cha Rarotonga kiko umbali wa km 3148.Kusafiri kwa boti ni siku nne safari ya usiku na mchana.Linapofika suala la huduma kuhitaji huduma ya kutibiwa jino iko kisiwa hicho cha karibu ya km 3148.Mama mzee kuliko wote kisiwa hicho mama Aka mwenye miaka 92 alikwenda kutibiwa jino kisiwa cha karibu cha Rarotonga alipotibiwa usafiri wa kurudi kisiwani kwake ilibidi asubiri miezi sita kupata meli ya kumrudisha nyumbani. Ila wananchi wake wanaishi maisha ya raha sana kuna kanisa,shule na huduma za internet kwa ujumla ni watu wanaoishi maisha ya raha na amani sana.Kisiwani humo kuna polisi mmoja tu na inasemekana ni polisi mwenye raha asiye na kazi ngumu kuliko polisi wote duniani kwa vile uzao wao wote wana damu moja.Hakuna gari wala uwanja wa ndege wala gari ila wanaishi vizuri mno.Kutoka kisiwa hicho hadi mji wa Capetown Africa kusini ni km 11,154 baharini.Picha kushoto ni kisiwa hicho kulia ni bibi Mama Aka alipokuwa hospitali anasubiri meli ije baada ya miezi sita.
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·436 Visualizações
  • #JEWAJUA
    Kwa wastani mwili wa Mwanamke unanyonya pounds 5 za kemikali hatari kwa mwaka kutokana na make up na vipodozi vingine vya kunogesha urembo.

    Kwa mujibu wa Mr.Bence wa Hungaria ambaye ametumia miaka mitatu kusoma kuhusu cosmetics na madhara yake mwilini, miili yetu inafyonza 60% ya Kila tunachokiweka kwenye ngozi hii inafanya Wanawake kujikuta wana kemikali nyingi ambazo ni hatari kwenye mwilli
    #JEWAJUA Kwa wastani mwili wa Mwanamke unanyonya pounds 5 za kemikali hatari kwa mwaka kutokana na make up na vipodozi vingine vya kunogesha urembo. Kwa mujibu wa Mr.Bence wa Hungaria ambaye ametumia miaka mitatu kusoma kuhusu cosmetics na madhara yake mwilini, miili yetu inafyonza 60% ya Kila tunachokiweka kwenye ngozi hii inafanya Wanawake kujikuta wana kemikali nyingi ambazo ni hatari kwenye mwilli
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·771 Visualizações
  • MJUE MNYAMA MAMBA KIUNDANI

    Mamba ni moja ya mnyama alaye nyama, maisha yake ni majini na nchi kavu tuu, watu wengi hufikiri mamba ni mnyama anayezaa, lakini sivyo mamba ni mnyama anayetaga na hutaga mayai kwa wastani wa 35 mpaka 50, najua utajiuliza sasa huyu kiumbe anaatamia vipi wakati maisha yake ni ya heka heka, ukweli ni huu hutengeneza kiota kwa kuchimba pembezoni mwa mto, na kisha kufukia mayai yake mpaka hapo ambapo mayai yatakapokuwa tayari.

    Mayai yake yanapokuwa tayari kwa kutoa watoto, mamba husikia sauti na akiyatoa mayai hayo katika kiota watoto wake hujitoa wenyewe, yaani watoto hutumia nguvu binafsi na kuvunja gamba la yai, kisha hutoka katika ulimwengu mpyaa, kazi ya mama kwa wakati huo itakuwa ni kuhakikisha anawachukua wanaye na kuwapeleka majini, ambapo huwabeba kwa kutumia mdomo wake.

    Wakati huu wanyama wote ambapo huliwa na mamba ndio wakati ambapo hulipiza kisasi, mfano kenge, mijusi wakubwa pamoja na ndege, humtegea anapopeleka watoto wa awamu ya kwanza wale wanaosaria hujeruhiwa vibaya, au kubebwa kama chakula na wanyonge wa Mamba, na mamba hujisikia tabu sana kiasi kwamba anapoibuka katika maji huwatizama kwa jicho la Shari sana.
    Watoto wa Mamba ukiwaona katika udogo wao ni wanashangaza sana, hutokaa ufikirie kwamba ndio hao wafikapo ukubwani hufikia urefu wa futi 13 na zaidi, na uzito wa kilo zaidi ya 1000, ni viumbe ambao huonekana wadogo sana unaweza hisi labda ni kenge tuu.

    Kwa taarifa yako Mamba ni miongoni mwa wanyama wakubwa sana duniani, meno yake yamejipanga kama msumeno, ana macho makubwa, ngozi ngumu na mkia mrefu ambao humsaidia katika kuwinda, hupendelea sana kukaa kwenye maji lakini jua lichomozapo na likaribiapo kuzama hupendelea sana kwenda kuchukua vitamin.

    Ajabu la mnyama huyu ni moja, pamoja kwamba wanyama wanaokula nyama tuu ndio huishi muda mfupi, lakini yeye maisha yake ni marefu anaweza kugonga miaka 50 na zaidi kabisa, muone vile na sura yake mbaya vile vile lakini ni mnyama ambaye anafahamu anafanya nini na kwa wakati gani, Dume huwa refu na zito kuliko jike.

    CHAKULA CHAKE

    Chakula kikuu cha Mamba ni nyama tuu, hutafuna samaki, wanyama wadogo wadogo nk, hapo ni wakati umri ukiwa bado Mdogo, lakini umri unapoongezeka mnyama mamba humuwinda moja kwa moja nyumbu, hawa huwakamata kiurahisi kwa sababu ya ujinga wao wanapovuka MAJI au kunywa maji, Twiga anapofata maji, Nyati pia anapoenda kunywa MAJI , wakati mwingine hujaribu hata kumuwinda tembo Mdogo, lakini anapotokea mama wa tembo zoezi hill huishia hapo.

    SIFA ZAKE ZA KIPEKEE

    1. Jamaa ni fundi wa kuogelea vibaya mno, ana kasi kubwa sana ndani ya maji.
    2. Anaweza kuishi majini na nchi kavu.
    3. Mashambulizi yake ni ya kishitukiza.
    4. Ana akili na mjanja sana anapomuona mnyama ambaye hana uwezo wa kucheza naye hujifanya amelala usingizi ili uingie katika maji.
    5. Ndio mnyama pekee ambaye amewatafuna sana binadamu.
    6. Anapoiona hatari hukimbilia katika maji haraka sana, na akifika huko anakukaribisha.
    7. Hapatani na simba kabisa kwakuwa ndiye mnyama, ambaye hupenda kumbughuzi awapo mapumzikoni, hivyo wawili hawa wanapokutana ni kama watani.
    8. Mamba anajua sana kuzira, hupenda kuachana na vitu vinavyomuumiza kichwa.
    9. Wakati mwingine huigiza amekufa ili kuwakamata samaki wakubwa kwa urahisi, akiwa majini utaona anazunguka tuu kama anapelekwa na maji, samaki wakubwa hubaki kumshangaa.
    10. Ngozi yake ni dili sana, ila ukikamatwa nayo popote duniani utashughulikiwa maana anarindwa na Sharia umoja wa mataifa.
    11. Aonapo hatari hukimbilia majini na akifika tuu hugeuza kichwa chake alikotoka.
    12. Mkia wake pia huutumumia kumsukumia kiumbe anayejaribu kumshangaa nchi kavu, na ukishaingia kwenye naye huja.
    13.:huwa na nguvu zaidi akiwa kwenye maji, kuliko nchi kavu.
    14. Ni mnyama anayeua haraka sana, tofauti na wanyama wengine walao nyama, hivyo kifo chake sio cha mateso sana kama kwa simba au chui, ila kwa mtizamaji atapata hofu Mara dufu kuliko akiona mauaji ya wanyama wengine.
    15. Anaweza kunyata katika maji na kiumbe aliyepo pembeni asishituke kabisa, akiwa mwanadamu ndio kabisa atakosa habari.
    16. Mamba jike hapendi mambo ya mahaba, Mara nyingi hutumia muda mwingi kulikimbia dume.
    17. Madume kwa sababu ya ukubwa wao na uzito, wakati mwingine hutumia ubabe kulipanda jike lake.
    18. Dume LA mamba lina msaada mdogo sana kwa jike, msaada huo hutoa pindi linapokuwa na muda wa ziada.
    19. Kutafuta chakula huweza kushirikiana.
    20. Ni mnyama pekee anayekula nyama na anaishi umri mrefu, tofauti na wanyama wengine ambao hula nyama umri wao wa kuishi ni mfupi, hii ni kwasababu moja tuu mfumo wake wa mmeng'enyo wa chakula upo vizuri anaweza kula hata mifupa pasina kuchagua steki tuu.
    21. Wakati mwingine mamba humeza mawe lakini bado sijapata uhakika mawe hayo sababu ya kumeza ni IPI, baadhi ya watu hudai mawe hayo humsaidia katika mfumo wa umeng'enyaji wa chakula na wengine hudai humsaidia katika kuogelea.

    UKIKUTANA NAYE UFANYE NINI

    Ushauri wa pekee ni kukimbia tuu, kwani hakuna namna yoyote inayoweza kukufanya utoke salama, mnyama huyu ana nguvu kubwa ya mwili na ni kiumbe ambaye huwezi pambana naye hata ukiwa na silaha kwa sababu ya ngozi yake ngumu.
    Epuka kukaa sehemu ambazo kuna uwezekano wa uwepo wa kiumbe huyu ni hatari sana, sehemu hizo ni kama mito iliyopo vijijini au mbugani, kaa mbali kabisa na fukwe za mito hiyo, wala usidiriki kunawa au kutaka kunywa maji yake bila ruhusa ya anayewaongoza.

    Like na Follow t
    MJUE MNYAMA MAMBA KIUNDANI Mamba ni moja ya mnyama alaye nyama, maisha yake ni majini na nchi kavu tuu, watu wengi hufikiri mamba ni mnyama anayezaa, lakini sivyo mamba ni mnyama anayetaga na hutaga mayai kwa wastani wa 35 mpaka 50, najua utajiuliza sasa huyu kiumbe anaatamia vipi wakati maisha yake ni ya heka heka, ukweli ni huu hutengeneza kiota kwa kuchimba pembezoni mwa mto, na kisha kufukia mayai yake mpaka hapo ambapo mayai yatakapokuwa tayari. Mayai yake yanapokuwa tayari kwa kutoa watoto, mamba husikia sauti na akiyatoa mayai hayo katika kiota watoto wake hujitoa wenyewe, yaani watoto hutumia nguvu binafsi na kuvunja gamba la yai, kisha hutoka katika ulimwengu mpyaa, kazi ya mama kwa wakati huo itakuwa ni kuhakikisha anawachukua wanaye na kuwapeleka majini, ambapo huwabeba kwa kutumia mdomo wake. Wakati huu wanyama wote ambapo huliwa na mamba ndio wakati ambapo hulipiza kisasi, mfano kenge, mijusi wakubwa pamoja na ndege, humtegea anapopeleka watoto wa awamu ya kwanza wale wanaosaria hujeruhiwa vibaya, au kubebwa kama chakula na wanyonge wa Mamba, na mamba hujisikia tabu sana kiasi kwamba anapoibuka katika maji huwatizama kwa jicho la Shari sana. Watoto wa Mamba ukiwaona katika udogo wao ni wanashangaza sana, hutokaa ufikirie kwamba ndio hao wafikapo ukubwani hufikia urefu wa futi 13 na zaidi, na uzito wa kilo zaidi ya 1000, ni viumbe ambao huonekana wadogo sana unaweza hisi labda ni kenge tuu. Kwa taarifa yako Mamba ni miongoni mwa wanyama wakubwa sana duniani, meno yake yamejipanga kama msumeno, ana macho makubwa, ngozi ngumu na mkia mrefu ambao humsaidia katika kuwinda, hupendelea sana kukaa kwenye maji lakini jua lichomozapo na likaribiapo kuzama hupendelea sana kwenda kuchukua vitamin. Ajabu la mnyama huyu ni moja, pamoja kwamba wanyama wanaokula nyama tuu ndio huishi muda mfupi, lakini yeye maisha yake ni marefu anaweza kugonga miaka 50 na zaidi kabisa, muone vile na sura yake mbaya vile vile lakini ni mnyama ambaye anafahamu anafanya nini na kwa wakati gani, Dume huwa refu na zito kuliko jike. CHAKULA CHAKE Chakula kikuu cha Mamba ni nyama tuu, hutafuna samaki, wanyama wadogo wadogo nk, hapo ni wakati umri ukiwa bado Mdogo, lakini umri unapoongezeka mnyama mamba humuwinda moja kwa moja nyumbu, hawa huwakamata kiurahisi kwa sababu ya ujinga wao wanapovuka MAJI au kunywa maji, Twiga anapofata maji, Nyati pia anapoenda kunywa MAJI , wakati mwingine hujaribu hata kumuwinda tembo Mdogo, lakini anapotokea mama wa tembo zoezi hill huishia hapo. SIFA ZAKE ZA KIPEKEE 1. Jamaa ni fundi wa kuogelea vibaya mno, ana kasi kubwa sana ndani ya maji. 2. Anaweza kuishi majini na nchi kavu. 3. Mashambulizi yake ni ya kishitukiza. 4. Ana akili na mjanja sana anapomuona mnyama ambaye hana uwezo wa kucheza naye hujifanya amelala usingizi ili uingie katika maji. 5. Ndio mnyama pekee ambaye amewatafuna sana binadamu. 6. Anapoiona hatari hukimbilia katika maji haraka sana, na akifika huko anakukaribisha. 7. Hapatani na simba kabisa kwakuwa ndiye mnyama, ambaye hupenda kumbughuzi awapo mapumzikoni, hivyo wawili hawa wanapokutana ni kama watani. 8. Mamba anajua sana kuzira, hupenda kuachana na vitu vinavyomuumiza kichwa. 9. Wakati mwingine huigiza amekufa ili kuwakamata samaki wakubwa kwa urahisi, akiwa majini utaona anazunguka tuu kama anapelekwa na maji, samaki wakubwa hubaki kumshangaa. 10. Ngozi yake ni dili sana, ila ukikamatwa nayo popote duniani utashughulikiwa maana anarindwa na Sharia umoja wa mataifa. 11. Aonapo hatari hukimbilia majini na akifika tuu hugeuza kichwa chake alikotoka. 12. Mkia wake pia huutumumia kumsukumia kiumbe anayejaribu kumshangaa nchi kavu, na ukishaingia kwenye naye huja. 13.:huwa na nguvu zaidi akiwa kwenye maji, kuliko nchi kavu. 14. Ni mnyama anayeua haraka sana, tofauti na wanyama wengine walao nyama, hivyo kifo chake sio cha mateso sana kama kwa simba au chui, ila kwa mtizamaji atapata hofu Mara dufu kuliko akiona mauaji ya wanyama wengine. 15. Anaweza kunyata katika maji na kiumbe aliyepo pembeni asishituke kabisa, akiwa mwanadamu ndio kabisa atakosa habari. 16. Mamba jike hapendi mambo ya mahaba, Mara nyingi hutumia muda mwingi kulikimbia dume. 17. Madume kwa sababu ya ukubwa wao na uzito, wakati mwingine hutumia ubabe kulipanda jike lake. 18. Dume LA mamba lina msaada mdogo sana kwa jike, msaada huo hutoa pindi linapokuwa na muda wa ziada. 19. Kutafuta chakula huweza kushirikiana. 20. Ni mnyama pekee anayekula nyama na anaishi umri mrefu, tofauti na wanyama wengine ambao hula nyama umri wao wa kuishi ni mfupi, hii ni kwasababu moja tuu mfumo wake wa mmeng'enyo wa chakula upo vizuri anaweza kula hata mifupa pasina kuchagua steki tuu. 21. Wakati mwingine mamba humeza mawe lakini bado sijapata uhakika mawe hayo sababu ya kumeza ni IPI, baadhi ya watu hudai mawe hayo humsaidia katika mfumo wa umeng'enyaji wa chakula na wengine hudai humsaidia katika kuogelea. UKIKUTANA NAYE UFANYE NINI Ushauri wa pekee ni kukimbia tuu, kwani hakuna namna yoyote inayoweza kukufanya utoke salama, mnyama huyu ana nguvu kubwa ya mwili na ni kiumbe ambaye huwezi pambana naye hata ukiwa na silaha kwa sababu ya ngozi yake ngumu. Epuka kukaa sehemu ambazo kuna uwezekano wa uwepo wa kiumbe huyu ni hatari sana, sehemu hizo ni kama mito iliyopo vijijini au mbugani, kaa mbali kabisa na fukwe za mito hiyo, wala usidiriki kunawa au kutaka kunywa maji yake bila ruhusa ya anayewaongoza. Like na Follow t
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·704 Visualizações