
-
-
0 Comentários ·1 Compartilhamentos ·529 Visualizações
-
-
Virgil van dijk: "Pasi ya Messi kwenye Kombe la Dunia ilinivutia sana. Alifanyaje? Hata ukicheza PlayStation, hutafanya vizuri. Alifikiriaje kutoa pasi hiyo? Messi ana mfumo wa roboti akilini mwake unaomdhibiti. Mtu wa kawaida hawezi kufanya kitu kama hicho. Yeye ni mgeni. Kila wakati anaushangaza ulimwengu kwa mambo ya miujiza. Ninachopenda kwake ni unyenyekevu wake. Nilikutana naye kwenye sherehe ya Ballon d'Or na akaniambia kuwa mimi ni beki mzuri.
Nilimwambia sijawahi kuogopa kukutana na mchezaji maishani mwangu hadi nilipocheza dhidi yako. Ulinipa usingizi usiku na kunifanya nifikirie mara mbilimbili. Yeye ndiye mchezaji bora, bila shaka. Nambari zake zinasema yote"
Virgil Van Dijk alisema kuhusu Messi :
Unapocheza dhidi ya Messi na yuko kwenye ubora wake, huwezi kufanya lolote. Ndiye mchezaji bora zaidi duniani. Na nina furaha sana Messi alishinda Kombe la Dunia Kubwa Zaidi ya Wakati Wote
#neliudcosiah
Virgil van dijk🗣️: "Pasi ya Messi kwenye Kombe la Dunia ilinivutia sana. Alifanyaje? Hata ukicheza PlayStation, hutafanya vizuri. Alifikiriaje kutoa pasi hiyo? Messi ana mfumo wa roboti akilini mwake unaomdhibiti. Mtu wa kawaida hawezi kufanya kitu kama hicho. Yeye ni mgeni. Kila wakati anaushangaza ulimwengu kwa mambo ya miujiza. Ninachopenda kwake ni unyenyekevu wake. Nilikutana naye kwenye sherehe ya Ballon d'Or na akaniambia kuwa mimi ni beki mzuri. Nilimwambia sijawahi kuogopa kukutana na mchezaji maishani mwangu hadi nilipocheza dhidi yako. Ulinipa usingizi usiku na kunifanya nifikirie mara mbilimbili. Yeye ndiye mchezaji bora, bila shaka. Nambari zake zinasema yote" Virgil Van Dijk alisema kuhusu Messi 🗣️: Unapocheza dhidi ya Messi na yuko kwenye ubora wake, huwezi kufanya lolote. Ndiye mchezaji bora zaidi duniani. Na nina furaha sana Messi alishinda Kombe la Dunia ✨🔥 Kubwa Zaidi ya Wakati Wote😭❤️🐐 #neliudcosiah -
-
-
HIZI NI PICHA TU MWANANGU 2
Hizi ni Picha Tu mwanangu Picha Ya kwanza inatoka Katika Maktaba Ya Philippe Desmazes.
Na sio picha iliyotoka kwa Lukamba wa Zamani Wa Nasibu Nyange La hasha
Ni Ndani Ndani picha za Madrid Wanamtambulisha marcelo Aliyetoka Nchini kwao Fluminense.
Akiwa na Miaka 15 pekee kwenye soka la kukuza vijana ndani ya klabu ya Madrid.
Usajili Wa kijana Mdogo Kutoka Kule Rio De Janeiro Nchini Brazil.
Picha Nyingine Ya Pili Kutoka Katika Maktaba Ya Simon stackpole.
Marcelo Viera Da silva Junior Alicheza Mechi Ya Kwanza Ndani Ya Uzi Wa Madrid mwaka 2007 Tarehe 7 January.
Siku Iliyomtambulisha Marcelo Duniani Katika Soka.
Anacheza mechi Dhidi Ya Deportivo.
Akitokea Bench Ndani Ya dakika 80.
Hizi ni picha 2 Mwanangu picha mojawapo za Kumbukumbu kwake marcelo ndani ya madrid.
Marcelo Ameshinda Makombe 22 Ndani Ya Uzi Madrid.
4x UCL
5x La Liga
2x Copa del Rey
4x Supercopa
4x Club World Cup
3x UEFA Super Cup
OYA HIZI NI PICHA TU MWANANGU
#neliudcosiah
HIZI NI PICHA TU MWANANGU 2 ✍️ Hizi ni Picha Tu mwanangu Picha Ya kwanza inatoka Katika Maktaba Ya Philippe Desmazes. Na sio picha iliyotoka kwa Lukamba wa Zamani Wa Nasibu Nyange La hasha Ni Ndani Ndani picha za Madrid Wanamtambulisha marcelo Aliyetoka Nchini kwao Fluminense. Akiwa na Miaka 15 pekee kwenye soka la kukuza vijana ndani ya klabu ya Madrid. Usajili Wa kijana Mdogo Kutoka Kule Rio De Janeiro Nchini Brazil. Picha Nyingine Ya Pili Kutoka Katika Maktaba Ya Simon stackpole. Marcelo Viera Da silva Junior Alicheza Mechi Ya Kwanza Ndani Ya Uzi Wa Madrid mwaka 2007 Tarehe 7 January. Siku Iliyomtambulisha Marcelo Duniani Katika Soka. Anacheza mechi Dhidi Ya Deportivo. Akitokea Bench Ndani Ya dakika 80. Hizi ni picha 2 Mwanangu picha mojawapo za Kumbukumbu kwake marcelo ndani ya madrid. Marcelo Ameshinda Makombe 22 Ndani Ya Uzi Madrid. 🏆4x UCL 🏆5x La Liga 🏆2x Copa del Rey 🏆4x Supercopa 🏆4x Club World Cup 🏆3x UEFA Super Cup OYA HIZI NI PICHA TU MWANANGU✍️ #neliudcosiah -
-
LEO mnyama yupo dimba la ugenini nchini Angola akikipiga na Bravos.
Mnyama akishinda mechi hii anakwenda robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika akiwa na mechi moja mkononi.
Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na
BravosSimbaSC
#paulswaiLEO mnyama yupo dimba la ugenini nchini Angola akikipiga na Bravos. Mnyama akishinda mechi hii anakwenda robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika akiwa na mechi moja mkononi. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na Bravos🆚SimbaSC #paulswai -
CAF CONFEDERATION CUP
FC BRAVOS SIMBA SC
01:00 usiku
11 de Novembro
Ni mechi ya mapema. Itapigwa pale nchini Angola. Wote wawili hapa wana nafasi ya kufuzu. Wanatofautiana pointi tatu tu, Ushindi au sare tu, kwa Simba utaifanya ifuzu moja kwa moja robo fainali. Kila la kheri Mnyama #simbasctanzania
#paulswaiCAF CONFEDERATION CUP 🇦🇴 FC BRAVOS 🆚 SIMBA SC 🇹🇿 ⏰ 01:00 usiku 🏟️ 11 de Novembro Ni mechi ya mapema. Itapigwa pale nchini Angola. Wote wawili hapa wana nafasi ya kufuzu. Wanatofautiana pointi tatu tu, Ushindi au sare tu, kwa Simba utaifanya ifuzu moja kwa moja robo fainali. Kila la kheri Mnyama #simbasctanzania 🇹🇿🇹🇿 #paulswai