·75 Vue
Annuaire
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
"Mpira ni mchezo wa makosa ndiyo, lakini makosa yanayojirudia rudia na kusababisha mabao ni hatari sana hasa yakiwa yanafanywa na mlinzi tena mlinzi wa kati. Che-Malone hili ni kosa lake la 5 kubwa kwenye CAFCC msimu huu na ni kosa la 2 ambalo limezaa bao la moja kwa moja, mchezo na CS Sfaxien alichoma kama leo. Anapaswa kujiangalia sana kocha asimchoke akaangalia chaguo lingine" - Jemedari Said, Mchambuzi.
"Mpira ni mchezo wa makosa ndiyo, lakini makosa yanayojirudia rudia na kusababisha mabao ni hatari sana hasa yakiwa yanafanywa na mlinzi tena mlinzi wa kati. Che-Malone hili ni kosa lake la 5 kubwa kwenye CAFCC msimu huu na ni kosa la 2 ambalo limezaa bao la moja kwa moja, mchezo na CS Sfaxien alichoma kama leo. Anapaswa kujiangalia sana kocha asimchoke akaangalia chaguo lingine" - Jemedari Said, Mchambuzi.·71 Vue -
Baada ya matokeo ya sare, klabu ya Simba SC imefuzu kucheza hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup).
FT': FC BRAVOS 1-1 SIMBA SPORTS CLUB
⚽️ 13” Abednego
⚽️ 69” Ateba
FT': CS CONSTANTINE 3-0 CS SFAXIEN
⚽️ 30” Benchaa
⚽️ 70” Benchaa
⚽️ 90” Temine
KUNDI LILIVYO
CS CONSTANTINE : 12
SIMBA SPORTS CLUB : 10
FC BRAVOS : 7
CS SFAXIEN : 0
Baada ya matokeo ya sare, klabu ya Simba SC imefuzu kucheza hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup). FT': FC BRAVOS 🇦🇴 1-1 SIMBA SPORTS CLUB 🇹🇿 ⚽️ 13” Abednego ⚽️ 69” Ateba FT': CS CONSTANTINE 🇩🇿 3-0 CS SFAXIEN 🇹🇳 ⚽️ 30” Benchaa ⚽️ 70” Benchaa ⚽️ 90” Temine KUNDI LILIVYO 🇩🇿 CS CONSTANTINE : 12 🇹🇿 SIMBA SPORTS CLUB : 10 🇦🇴 FC BRAVOS : 7 🇹🇳 CS SFAXIEN : 0·135 Vue -
.CAF CL quarter finals
1. Esperance
2. Al ahly
3. Pyramid
4. Far Rabat
5. Orlando pirate
6. Al Hilal
7. .
8. .
CAF CC quarter finals
1. Berkane
2. Constantine
3. Zamaleck
4. USM Alger
5. Stellenbosch
6. Simba
7. .
8. .
.CAF CL quarter finals 1. Esperance ✅ 2. Al ahly ✅ 3. Pyramid ✅ 4. Far Rabat ✅ 5. Orlando pirate ✅ 6. Al Hilal✅ 7. . 8. . CAF CC quarter finals 1. Berkane✅ 2. Constantine✅ 3. Zamaleck ✅ 4. USM Alger ✅ 5. Stellenbosch ✅ 6. Simba ✅ 7. . 8. . ✍️✍️✍️✍️✍️·218 Vue