-
· 1 Комментарии ·0 Поделились ·125 Просмотры1
-
-
-
-
-
· 2 Комментарии ·0 Поделились ·205 Просмотры1
-
-
-
"Wolper aliwahi kuniomba hela ya mtaji nikachukua milioni 30 nikampa ila cha kusikitisha akaenda kula pesa hizo na bishoo mmoja mwenye sura nzuri nzuri anaitwa Rich Mitindo. Alipokuwa China nikawa naona anapiga picha nyingi nyingi na jamaa, nilipomuuliza akawa anajibu "hakuna kitu babe huyu ni mdogo wangu tu" - Harmonize, Msanii wa muziki Tanzania.
"Wolper aliwahi kuniomba hela ya mtaji nikachukua milioni 30 nikampa ila cha kusikitisha akaenda kula pesa hizo na bishoo mmoja mwenye sura nzuri nzuri anaitwa Rich Mitindo. Alipokuwa China nikawa naona anapiga picha nyingi nyingi na jamaa, nilipomuuliza akawa anajibu "hakuna kitu babe huyu ni mdogo wangu tu" - Harmonize, Msanii wa muziki Tanzania.· 0 Комментарии ·0 Поделились ·1Кб Просмотры1
-
.𝐓𝐀𝐍𝐙𝐈𝐀
Uongozi wa Young Africans Sports Club tunapenda kutoa pole kwa mchezaji wetu Chadrack Boka, kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi kilichotokea Tarehe 11/01/ 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo.
Uongozi wa Young Africans unaungana na wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na unawataka wanafamilia wote kuwa na subira.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amina
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko.𝐓𝐀𝐍𝐙𝐈𝐀 Uongozi wa Young Africans Sports Club tunapenda kutoa pole kwa mchezaji wetu Chadrack Boka, kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi kilichotokea Tarehe 11/01/ 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo. Uongozi wa Young Africans unaungana na wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na unawataka wanafamilia wote kuwa na subira. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amina #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko· 10 Комментарии ·0 Поделились ·2Кб Просмотры
7