Upgrade to Pro

  • Dunia imetufunza adabu, kupitia kwa wale ambao ni favourite kwetu.

    Somo la maumivu, sisi tulifundishwa na wale tuliojua wanatupenda sana..

    Ili kuelewa moyo unaumaje, tulielekezwa na wale tusiowadhania hata kidogo..

    Ni kama wafiwa tuliofutwa machozi, kwa kutumia kanga ya marehemu.

    Huzuni zetu hazikutoka mbali, wala kilio chetu hakikusababishwa na wageni.

    Ni wale wale tuliowahadithia yanayotukabili, tukijua
    wana dawa ya upweke wetu..

    Msiite ni ugonjwa wa kujitakia, imani yetu ilikuwa kubwa kuliko matarajio..

    Msituite wabinafsi, kwa sababu tumechagua kujitibuwenyewe vidonda vyetu..

    Kwenye maisha yenu mmetupoteza vibaya sana,mtuelewe..
    NINJA..


    Dunia imetufunza adabu, kupitia kwa wale ambao ni favourite kwetu. Somo la maumivu, sisi tulifundishwa na wale tuliojua wanatupenda sana.. Ili kuelewa moyo unaumaje, tulielekezwa na wale tusiowadhania hata kidogo.. Ni kama wafiwa tuliofutwa machozi, kwa kutumia kanga ya marehemu. Huzuni zetu hazikutoka mbali, wala kilio chetu hakikusababishwa na wageni. Ni wale wale tuliowahadithia yanayotukabili, tukijua wana dawa ya upweke wetu.. Msiite ni ugonjwa wa kujitakia, imani yetu ilikuwa kubwa kuliko matarajio.. Msituite wabinafsi, kwa sababu tumechagua kujitibuwenyewe vidonda vyetu.. Kwenye maisha yenu mmetupoteza vibaya sana,mtuelewe.. NINJA..
    Like
    1
    ·86 Views
  • Karibu kwenye huu usiku, wewe unaeamini kukosa
    kwako ni bahati mbaya, njoo ukutane na kundi kubwa la
    wenzio nyakati hizi.

    Wale waliorudi kama walivyoenda, hawana chochote
    zaidi ya tabasamu, Iinalomaanisha kesho wataenda
    tena..

    Njoo kwenye huu usiku wetu, usife moyo, kesho
    haiwezi kuwa kama leo, be brave..


    Karibu kwenye huu usiku, wewe unaeamini kukosa kwako ni bahati mbaya, njoo ukutane na kundi kubwa la wenzio nyakati hizi. Wale waliorudi kama walivyoenda, hawana chochote zaidi ya tabasamu, Iinalomaanisha kesho wataenda tena.. Njoo kwenye huu usiku wetu, usife moyo, kesho haiwezi kuwa kama leo, be brave..
    Like
    1
    ·44 Views
  • ·21 Views
  • Haha
    1
    1 Commentarios ·23 Views
  • ·23 Views
  • MOYO SAFI WA SADIO MANÉ NDIO SILAHA YA MAFANIKIO YAKE.

    Sadio Mané amesaidia mambo mengi sana katika Kijiji alichotoka mara Baada ya kupata mafanikio katika soka.

    Sadio Mané amezaliwa katika Kijiji Cha Bambali nchini Senegal,amekulia huko na wanakijiji wengi walimsapoti na kumuombea sana Dua za mafanikio kipindi anaenda rasmi ulaya kujaribu bahati yake katika kazi ya kucheza mpira wa miguu.

    Mungu Si Athumani wala Mzee Nkumilwa kijana akatoboa na maisha yakaanza kuwa safi kwa upande wake,lakini pamoja na yote hakuwasahau watu waliomfanya awe hapo Leo.

    Alianza kukata fungu kwenye Kila mshahara wake wa mwezi kwa ajili ya kusaidia Kijiji chake kutoka kuwa Cha kimasikini mpaka kuwa Cha maisha ya kati kabla ya kuwa Cha kitajiri kabisa.

    Baadae zile pesa alizokuwa anahifadhi kutoka kwenye Kila mshahara wake zilianza kufanya kazi vyema na kufanikisha kukamklisha vitu vifuatavyo:

    1. Alijenga hospital yenye thamani ya €530K sawa na pesa za kitanzania Billion Moja,million mia tatu sabini na mbili,laki tano na Elfu tisini na nne.

    2. Alijenga Shule yenye thamani ya €270K sawa na pesa za kitanzania Million mia sita tisa tisa,laki mbili na Elfu Arobaini na sita.

    3. Pia huwa anatoa kiasi Cha €70 Kwa Kila kaya iliyopo Katika Kijiji hicho kwa mwezi ambayo ni sawa na pesa za kitanzania Laki moja,Elfu themanini na Moja,mia mbili themanini na sita.

    4. Kutoa nguo za bure Kwa watoto wote waliopo ndani ya Kijiji hicho.

    5. Kufanikisha kupeleka internet yenye Kasi ya 4G katika Kijiji hicho.

    6. Kufanikisha kupeleka vituo vya gas katika Kijiji hicho akishirikiana na kampuni ya Oryx.

    7. Kajenga uwanja wa soka pia.

    NDIO MAANA ANAFANIKIWA KILA ANAPOENDA HATA KAMA AKISEMEWA MABAYA KUNA WENGI WAPO NYUMA YAKE WANAMUOMBEA MEMA

    #neliudcosiah
    MOYO SAFI WA SADIO MANÉ NDIO SILAHA YA MAFANIKIO YAKE. Sadio Mané amesaidia mambo mengi sana katika Kijiji alichotoka mara Baada ya kupata mafanikio katika soka. Sadio Mané amezaliwa katika Kijiji Cha Bambali nchini Senegal,amekulia huko na wanakijiji wengi walimsapoti na kumuombea sana Dua za mafanikio kipindi anaenda rasmi ulaya kujaribu bahati yake katika kazi ya kucheza mpira wa miguu. Mungu Si Athumani wala Mzee Nkumilwa kijana akatoboa na maisha yakaanza kuwa safi kwa upande wake,lakini pamoja na yote hakuwasahau watu waliomfanya awe hapo Leo. Alianza kukata fungu kwenye Kila mshahara wake wa mwezi kwa ajili ya kusaidia Kijiji chake kutoka kuwa Cha kimasikini mpaka kuwa Cha maisha ya kati kabla ya kuwa Cha kitajiri kabisa. Baadae zile pesa alizokuwa anahifadhi kutoka kwenye Kila mshahara wake zilianza kufanya kazi vyema na kufanikisha kukamklisha vitu vifuatavyo: 1. Alijenga hospital yenye thamani ya €530K sawa na pesa za kitanzania Billion Moja,million mia tatu sabini na mbili,laki tano na Elfu tisini na nne. 2. Alijenga Shule yenye thamani ya €270K sawa na pesa za kitanzania Million mia sita tisa tisa,laki mbili na Elfu Arobaini na sita. 3. Pia huwa anatoa kiasi Cha €70 Kwa Kila kaya iliyopo Katika Kijiji hicho kwa mwezi ambayo ni sawa na pesa za kitanzania Laki moja,Elfu themanini na Moja,mia mbili themanini na sita. 4. Kutoa nguo za bure Kwa watoto wote waliopo ndani ya Kijiji hicho. 5. Kufanikisha kupeleka internet yenye Kasi ya 4G katika Kijiji hicho. 6. Kufanikisha kupeleka vituo vya gas katika Kijiji hicho akishirikiana na kampuni ya Oryx. 7. Kajenga uwanja wa soka pia. NDIO MAANA ANAFANIKIWA KILA ANAPOENDA HATA KAMA AKISEMEWA MABAYA KUNA WENGI WAPO NYUMA YAKE WANAMUOMBEA MEMA ♥️📌 #neliudcosiah
    Like
    1
    ·282 Views
  • Ni kweli Khalid Aucho anaongoza kucheza faulo nyingi but jana kacheza technically faulo ambazo zimesaidia kuibeba Yanga kwenye mchezo dhidi ya Al Hilal, kwa bahati mbaya umri wake unaenda but kwa miaka mitatu kaonyesha ubora wa hali ya juu

    #neliudcosiah
    Ni kweli Khalid Aucho anaongoza kucheza faulo nyingi but jana kacheza technically faulo ambazo zimesaidia kuibeba Yanga kwenye mchezo dhidi ya Al Hilal, kwa bahati mbaya umri wake unaenda but kwa miaka mitatu kaonyesha ubora wa hali ya juu #neliudcosiah
    Like
    1
    ·87 Views
  • ILIKUWA IMEBAKI NAFASI NDOGO NIJIUNGE NA CHELSEA: ROBERT CARLOS.

    Gwiji wa Brazil Roberto Carlos amefichua kuwa "alikuwa karibu sana" na kujiunga na Chelsea mwaka wa 2007, baada ya uhamisho huo kufeli dakika za mwisho.

    Beki huyo wa zamani alikuwa mchezaji huru wakati huo, baada ya kuachana na Real Madrid baada ya miaka 11 ya kubebea makombe ndani ya Santiago Bernabeu.

    Robert Aliongea Nilikuwa na mapendekezo mawili, Fenerbahce na Chelsea, "Chelsea haikufanya kazi kwa hivyo nilisaini Fenerbahce.

    "Lakini, na Chelsea, ilikaribia sana. Tulikubalians na ilibidi niende huko na kusaini mkataba.

    "Ilikuwa wiki moja tu kabla ya kusaini Fenerbahce na nilikuwa Paris kukutana na Roman Abramovich na (mtendaji mkuu wa zamani) Peter Kenyon.

    Kwa bahati mbaya, katika dakika za mwisho kitu hakikufanikiwa kabla tu ya kukamilika, ambayo hutokea sana katika soka. Kulikuwa na suala na wakili.

    "Hata hivyo, yote yalikubaliwa, na nina uhakika kwa asilimia 100 ningefanya vyema kwenye Ligi Kuu Ya Uingereza na ingelingana na sifa zangu."

    ROBERT CARLOS ALIIAMBIA (GOAL.)

    #neliudcosiah
    ILIKUWA IMEBAKI NAFASI NDOGO NIJIUNGE NA CHELSEA: ROBERT CARLOS✍️. Gwiji wa Brazil Roberto Carlos amefichua kuwa "alikuwa karibu sana" na kujiunga na Chelsea mwaka wa 2007, baada ya uhamisho huo kufeli dakika za mwisho. Beki huyo wa zamani alikuwa mchezaji huru wakati huo, baada ya kuachana na Real Madrid baada ya miaka 11 ya kubebea makombe ndani ya Santiago Bernabeu. Robert Aliongea 🗣️Nilikuwa na mapendekezo mawili, Fenerbahce na Chelsea, "Chelsea haikufanya kazi kwa hivyo nilisaini Fenerbahce. "Lakini, na Chelsea, ilikaribia sana. Tulikubalians na ilibidi niende huko na kusaini mkataba. "Ilikuwa wiki moja tu kabla ya kusaini Fenerbahce na nilikuwa Paris kukutana na Roman Abramovich na (mtendaji mkuu wa zamani) Peter Kenyon. Kwa bahati mbaya, katika dakika za mwisho kitu hakikufanikiwa kabla tu ya kukamilika, ambayo hutokea sana katika soka. Kulikuwa na suala na wakili. "Hata hivyo, yote yalikubaliwa, na nina uhakika kwa asilimia 100 ningefanya vyema kwenye Ligi Kuu Ya Uingereza na ingelingana na sifa zangu." ROBERT CARLOS ALIIAMBIA (GOAL.) #neliudcosiah
    Like
    1
    ·118 Views
  • Nadhani hii Sasa Imevuka kwenye Quality .......

    Khalid Aucho anaweza akawa siyo yule tena in terms of Physically lakin Whenever Aucho is in the Pitch Yanga Africans are safe .

    -Akili ya Mpira
    -Composure
    -Technical Ability
    -Game Passing

    Huyu Mganda anatawala sana Dimba la kati ...Hilal wana watu wagumu na wana kasi lakin Fundi alikua anaokota moja moja pakihitajika Kuvunja kuni anavunja kweli kweli ...

    Juzi Kuna Mashabiki Kutoka Uganda Walicomment kwenye post yake wakimtakia kheri na mechi bora wakaenda mbali zaidi na Kusema ,

    "Tunaomba walau nusu ya Kiwango chako Ndani ya Yanga Sc utuonyeshe Ukiwa na timu yetu ya Uganda Cranes "

    Wanamtambua kama moja ya Viungo bora ambao wamewahi Kuwashuhudia .....Binafsi huyu ni Kipimo halisi cha Kiungo wa Chini au holding Mid ndani ya Ligi yetu .

    THE TANK FOR REASON .

    #neliudcosiah
    Nadhani hii Sasa Imevuka kwenye Quality ....... Khalid Aucho anaweza akawa siyo yule tena in terms of Physically lakin Whenever Aucho is in the Pitch Yanga Africans are safe 🤝. -Akili ya Mpira -Composure -Technical Ability -Game Passing Huyu Mganda anatawala sana Dimba la kati ...Hilal wana watu wagumu na wana kasi lakin Fundi alikua anaokota moja moja pakihitajika Kuvunja kuni anavunja kweli kweli ... Juzi Kuna Mashabiki Kutoka Uganda Walicomment kwenye post yake wakimtakia kheri na mechi bora wakaenda mbali zaidi na Kusema , "Tunaomba walau nusu ya Kiwango chako Ndani ya Yanga Sc utuonyeshe Ukiwa na timu yetu ya Uganda Cranes " Wanamtambua kama moja ya Viungo bora ambao wamewahi Kuwashuhudia .....Binafsi huyu ni Kipimo halisi cha Kiungo wa Chini au holding Mid ndani ya Ligi yetu . THE TANK FOR REASON ✅. #neliudcosiah
    Like
    1
    ·224 Views
  • Shida ni Kwamba watu hupokea taarifa KWA mihemko ila Tanzania na afrika mashariki hakuna defensive midfield kama khalid aucho na hata wanaocheza ndani ya ligi kuu hakuna na huyu ndo anafanya GUSA ACHIA TWENDE KWAO iwe Tamu San
    Na kocha jana aliona ni vipi akimtoa aucho mechi kadhaa timu inapoteza mvuto jana akaamua amuache asimguse kabisa
    Huyu ni KHALID AUCHO huyu ni JINJA MAESTRO
    Juzi mashabiki wa uganda walicomment kweny ukurasa wake na kumtakia mchezo mwema na wanasema wanataman aucho awaonyeshe nusu ya kiwango chake kweny timu ya taifa wakilinganisha na
    anachokionyesha yanga

    #neliudcosiah
    Shida ni Kwamba watu hupokea taarifa KWA mihemko ila Tanzania na afrika mashariki hakuna defensive midfield kama khalid aucho na hata wanaocheza ndani ya ligi kuu hakuna na huyu ndo anafanya GUSA ACHIA TWENDE KWAO iwe Tamu San Na kocha jana aliona ni vipi akimtoa aucho mechi kadhaa timu inapoteza mvuto jana akaamua amuache asimguse kabisa Huyu ni KHALID AUCHO huyu ni JINJA MAESTRO 💚💛💚💛 Juzi mashabiki wa uganda walicomment kweny ukurasa wake na kumtakia mchezo mwema na wanasema wanataman aucho awaonyeshe nusu ya kiwango chake kweny timu ya taifa wakilinganisha na anachokionyesha yanga #neliudcosiah
    Like
    1
    ·221 Views