• Mwaka 1961, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Patrice Lumumba, aliuawa mikononi mwa mahasimu wake wa ndani kwa usaidizi wa serikali ya Ubelgiji na CIA baada ya migogoro ya kisiasa.

    Lumumba alikabidhiwa kwa wapinzani wake wa kisiasa na kuuawa kwa kupigwa risasi, huku mwili wake ukiharibiwa ili kuficha ushahidi. Mwaka 2002, Ubelgiji ilikiri kuhusika kwake katika mauaji hayo na kuomba radhi

    Lumumba anakumbukwa kama shujaa wa Afrika, aliyehamasisha mapambano dhidi ya ukoloni.

    Mwaka 1961, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Patrice Lumumba, aliuawa mikononi mwa mahasimu wake wa ndani kwa usaidizi wa serikali ya Ubelgiji na CIA baada ya migogoro ya kisiasa. Lumumba alikabidhiwa kwa wapinzani wake wa kisiasa na kuuawa kwa kupigwa risasi, huku mwili wake ukiharibiwa ili kuficha ushahidi. Mwaka 2002, Ubelgiji ilikiri kuhusika kwake katika mauaji hayo na kuomba radhi Lumumba anakumbukwa kama shujaa wa Afrika, aliyehamasisha mapambano dhidi ya ukoloni.
    Like
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·532 Vue
  • ....Kama unaamini huyo demu uliyonae ndo amani ya moyo wako basi,hata Young Africans ukiwauliza watakwambia Khalid Aucho the Tank , Daktari wa Mpira ndio amani ya Timu yao.

    ......Hakuna shaka yoyote kua Khalid Aucho akiwa eneo la kati kati la timu Yang ndani ya uwanja hata wachezaji wenzake huenjoy, halafu juu yake asimame mzenji Mudathiri Yahya aaah ni Raha mtupu.

    .......hata ukicheki mechi Mbili za mwisho za Champions league dhidi ya Tp mazembe ambazo ndio alirejea Kutoka majeruhi Kuna kitu amekiongeza Kwa hali ya juu tofauti na Ile partnership ya Duke abuya na Mudathiri Kuna kitu kilikua kinapungua hasa kwenye ulinzi,yaani yule cover man Kipindi Yanga wanashambulia alikua anakosekana.

    ......You know what ukubali ukatae Khalid Aucho ndio mbeba maono kunako klabu ya Yanga,atapiga pasi fupi fupi,ataipa timu balance ya kucheza,pia atailinda timu mda inashambulia, kwenye nguvu atatumia nguvu , kwenye akili atatumia akili,ni complete namba six.

    ...... Anaitwa Jinja maestro Khalid Aucho Kutoka pale Kwa Rais museveni Uganda.

    Usisahau kufollow Neliud Cosiah
    ....🎙️Kama unaamini huyo demu uliyonae ndo amani ya moyo wako basi,hata Young Africans ukiwauliza watakwambia Khalid Aucho the Tank , Daktari wa Mpira ndio amani ya Timu yao. ......Hakuna shaka yoyote kua Khalid Aucho akiwa eneo la kati kati la timu Yang ndani ya uwanja hata wachezaji wenzake huenjoy, halafu juu yake asimame mzenji Mudathiri Yahya aaah ni Raha mtupu. .......hata ukicheki mechi Mbili za mwisho za Champions league dhidi ya Tp mazembe ambazo ndio alirejea Kutoka majeruhi Kuna kitu amekiongeza Kwa hali ya juu tofauti na Ile partnership ya Duke abuya na Mudathiri Kuna kitu kilikua kinapungua hasa kwenye ulinzi,yaani yule cover man Kipindi Yanga wanashambulia alikua anakosekana. ......You know what ukubali ukatae Khalid Aucho ndio mbeba maono kunako klabu ya Yanga,atapiga pasi fupi fupi,ataipa timu balance ya kucheza,pia atailinda timu mda inashambulia, kwenye nguvu atatumia nguvu , kwenye akili atatumia akili,ni complete namba six. ...... Anaitwa Jinja maestro Khalid Aucho Kutoka pale Kwa Rais museveni Uganda. Usisahau kufollow Neliud Cosiah
    Like
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·1KB Vue
  • “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.

    “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·747 Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·147 Vue
  • Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·145 Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·146 Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·147 Vue
  • Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Grace Elias Magembe kuwa Mganga Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Profesa Tumaini Joseph Nagu ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

    Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Magembe alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI.
    Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Grace Elias Magembe kuwa Mganga Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Profesa Tumaini Joseph Nagu ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Magembe alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI.
    Like
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·406 Vue
  • Wabunge wa Marekani wamemtaka Rais wa Nchi hiyo J. Biden kutohufungia mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo ifikapo Jumapili na kutoa tahadhari juu ya mamillioni ya Wabunifu wa mtandao huo wanaweza kuathiriwa na kitendo hicho.

    "Tunaomba iwepo njia ya kujaribu kusuluhisha suala hili kwa busara ili TikTok isijikute katika hali ngumu" amekaririwa akisema Seneta mmoja kutoka Democratic aitwaye Ed Markey

    Hata hivyo Kiongozi wa Democratic katika Baraza la Seneti Chuck Schumer alizungumza na J. Biden na kumtaka kuongeza muda wa mwisho wa siku (90) kwa kampuni inayomiliki TikTok kutoka Nchini China ya ByteDance ili kuuza mali za TikTok kwa Mmarekani na kuzuia marufuku ya mtandao huo unaotumiwa na Wamarekani zaidi millioni (170).

    Ikumbukwe kwamba ugomvi baina ya Nchi ya Marekani na Wamiliki wa TikTok ni kuwa TikTok ilikataa kutoa nafasi kwa Nchi ya Marekani kuingilia ubinafsi (Private) wa Watumiaji wa mtandao huo ambapo Nchi ya Marekani inadai kuwa mtandao huo unatumiwa na Nchi ya China kuingilia mambo ya ndani ya Marekani .

    Ili mtandao huo wa TikTok uruhusiwe Nchini Marekani, Nchi hiyo ilitoa aina mbili za makubaliao. Mosi ni mtandao huo kukubali Nchi ya Marekani kuingia ndani ya mtandao ili ifahamu kinachoendelea au kukubali kuuza hisa (share) kwa Mmarekani.

    Wabunge wa Marekani 🇺🇸 wamemtaka Rais wa Nchi hiyo J. Biden kutohufungia mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo ifikapo Jumapili na kutoa tahadhari juu ya mamillioni ya Wabunifu wa mtandao huo wanaweza kuathiriwa na kitendo hicho. "Tunaomba iwepo njia ya kujaribu kusuluhisha suala hili kwa busara ili TikTok isijikute katika hali ngumu" amekaririwa akisema Seneta mmoja kutoka Democratic aitwaye Ed Markey Hata hivyo Kiongozi wa Democratic katika Baraza la Seneti Chuck Schumer alizungumza na J. Biden na kumtaka kuongeza muda wa mwisho wa siku (90) kwa kampuni inayomiliki TikTok kutoka Nchini China ya ByteDance ili kuuza mali za TikTok kwa Mmarekani na kuzuia marufuku ya mtandao huo unaotumiwa na Wamarekani zaidi millioni (170). Ikumbukwe kwamba ugomvi baina ya Nchi ya Marekani na Wamiliki wa TikTok ni kuwa TikTok ilikataa kutoa nafasi kwa Nchi ya Marekani kuingilia ubinafsi (Private) wa Watumiaji wa mtandao huo ambapo Nchi ya Marekani inadai kuwa mtandao huo unatumiwa na Nchi ya China kuingilia mambo ya ndani ya Marekani . Ili mtandao huo wa TikTok uruhusiwe Nchini Marekani, Nchi hiyo ilitoa aina mbili za makubaliao. Mosi ni mtandao huo kukubali Nchi ya Marekani kuingia ndani ya mtandao ili ifahamu kinachoendelea au kukubali kuuza hisa (share) kwa Mmarekani.
    0 Commentaires ·0 Parts ·1KB Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·145 Vue