• Like
    1
    1 Comments 0 Shares 283 Views 2
  • Like
    1
    0 Comments 0 Shares 272 Views 2
  • Like
    1
    0 Comments 0 Shares 282 Views 1
  • 0629365663
    Tupo Dodoma mjini
    0629365663 Tupo Dodoma mjini
    0 Comments 0 Shares 504 Views
  • 馃槀馃槀
    0 Comments 0 Shares 269 Views 2
  • Mchezaji wetu wa kimataifa Wa Tanzania Arthur Bada Mara baada ya kubadili Uraia na kuwa Mtanzania Ameanza mchakato wa kupata kabila

    Sasa Tupo Arusha huku kambini kuna hawa wameru anawaona kila saa naona anang'ang'ania kweli kuwa mmeru

    Sasa Chagueni Aitwe Nani

    Arthur Bada Akyoo
    Arthur Bada Mbisse
    Arthur Bada Mafie
    Arthur Bada Pallangyo
    Arthur Bada kutomari
    Arthur Bada Nnko
    Mchezaji wetu wa kimataifa Wa Tanzania 馃嚬馃嚳 Arthur Bada Mara baada ya kubadili Uraia na kuwa Mtanzania Ameanza mchakato wa kupata kabila Sasa Tupo Arusha huku kambini kuna hawa wameru anawaona kila saa naona anang'ang'ania kweli kuwa mmeru Sasa Chagueni Aitwe Nani Arthur Bada Akyoo Arthur Bada Mbisse Arthur Bada Mafie Arthur Bada Pallangyo Arthur Bada kutomari Arthur Bada Nnko
    Love
    1
    1 Comments 0 Shares 414 Views
  • 馃槀馃槀馃槀
    Like
    1
    1 Comments 0 Shares 101 Views
  • 0 Comments 0 Shares 223 Views
  • New Signing
    New Signing
    Like
    1
    1 Comments 0 Shares 102 Views
  • YANGA imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini chapu kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic ameanza msako wa kikosi kipya kwa msimu ujao, akianza kupigia hesabu beki wa Kaizer Chiefs, Sphiwe Given Msimango (28) ili kuja kutengeneza ukuta wa maana.
    .
    Taarifa zinasema kuwa, Ramovic ameshazungumza na beki huyo ambaye amekubali kuungana naye Yanga mwisho wa msimu huu ambapo sasa hatua hiyo wameachiwa mabosi wa timu hiyo
    .
    Ndani ya Kaizer mambo hayaonyeshi kumwendea sawa Msimango baada ya Nabi kuonyesha kuwaamini mabeki wengine nahodha Inacio Miguel raia wa Angola anayecheza pamoja na mzawa Rushwin Dortley. Kocha Nabi hamtumii sana beki huyo kwani katika mechi 12 za mashindano yote ilizocheza timu hiyo msimu huu, alizoanza hazizidi tatu, kwa vile mara nyingi anaingia ‘sub’.
    .
    Hata hivyo, Yanga endapo itataka kumpata kwa haraka Masimango itahitajika kumnunua endapo Kaizer haitamuacha mwisho wa msimu kwa kuwa msimu huu ukimalizika beki huyo atabakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake.
    YANGA imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini chapu kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic ameanza msako wa kikosi kipya kwa msimu ujao, akianza kupigia hesabu beki wa Kaizer Chiefs, Sphiwe Given Msimango (28) ili kuja kutengeneza ukuta wa maana. . Taarifa zinasema kuwa, Ramovic ameshazungumza na beki huyo ambaye amekubali kuungana naye Yanga mwisho wa msimu huu ambapo sasa hatua hiyo wameachiwa mabosi wa timu hiyo . Ndani ya Kaizer mambo hayaonyeshi kumwendea sawa Msimango baada ya Nabi kuonyesha kuwaamini mabeki wengine nahodha Inacio Miguel raia wa Angola anayecheza pamoja na mzawa Rushwin Dortley. Kocha Nabi hamtumii sana beki huyo kwani katika mechi 12 za mashindano yote ilizocheza timu hiyo msimu huu, alizoanza hazizidi tatu, kwa vile mara nyingi anaingia ‘sub’. . Hata hivyo, Yanga endapo itataka kumpata kwa haraka Masimango itahitajika kumnunua endapo Kaizer haitamuacha mwisho wa msimu kwa kuwa msimu huu ukimalizika beki huyo atabakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake.
    Like
    1
    1 Comments 0 Shares 463 Views