Nahodha msaidizi namba moja wa klabu ya FC Barcelona raia wa Uruguay Ronald Araujo ameongeza mkataba wa kuendelea kusalia katika klabu hiyo kwa kipindi Cha miaka 6 mpaka June 2031.
Nahodha msaidizi namba moja wa klabu ya FC Barcelona raia wa Uruguay 馃嚭馃嚲 Ronald Araujo ameongeza mkataba wa kuendelea kusalia katika klabu hiyo kwa kipindi Cha miaka 6 mpaka June 2031.