Mise à niveau vers Pro

  • Klabu ya Singida Black Stars imetoa Wachezaji wake (16) kwa mkopo kwenda kwenye klabu zingine kulinda vipaji vyao.

    Ni klabu tano (5) pekee ambazo hazijapata Mchezaji kutoka katika klabu ya Singida Black Stars, klabu zilizobakia zote zimewahi kupokea mchezaji wa Singida kwa mkopo ikiwemo klabu za Simba SC, Azam FC, KMC,...

    Klabu ya Singida Black Stars imetoa Wachezaji wake (16) kwa mkopo kwenda kwenye klabu zingine kulinda vipaji vyao. Ni klabu tano (5) pekee ambazo hazijapata Mchezaji kutoka katika klabu ya Singida Black Stars, klabu zilizobakia zote zimewahi kupokea mchezaji wa Singida kwa mkopo ikiwemo klabu za Simba SC, Azam FC, KMC,...
    Like
    1
    ·525 Vue
  • Like
    Haha
    2
    ·512 Vue

    ·736 Vue
  • Kwa mujibu wa Sheria , kanuni na utaratibu wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), Mchezaji anaruhusiwa kucheza Taifa ya Nchi husika (Tanzania) endapo atakuwa na vigezo vifuatavyo:

    - Amezaliwa Tanzania
    - Baba yake au Mama yake amezaliwa Tanzania
    - Babu yake au Bibi yake amezaliwa Tanzania
    - Ameishi Tanzania angalau miaka mitatu (3) Kabla hajafikisha miaka kumi (10)

    - Ameishi Tanzania akiwa na umri kati ya miaka 10-18 kwa angalau miaka mitano (5). Na kama ni kuanzia miaka (18) nayo ni miaka mitano (5)

    - Mchezaji lazima atoe ushahidi Kwamba sababu ambazo zimemfanya aje Tanzania sio za kimpira.

    Kwa mujibu wa Sheria , kanuni na utaratibu wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), Mchezaji anaruhusiwa kucheza Taifa ya Nchi husika (Tanzania) endapo atakuwa na vigezo vifuatavyo: - Amezaliwa Tanzania - Baba yake au Mama yake amezaliwa Tanzania - Babu yake au Bibi yake amezaliwa Tanzania - Ameishi Tanzania angalau miaka mitatu (3) Kabla hajafikisha miaka kumi (10) - Ameishi Tanzania akiwa na umri kati ya miaka 10-18 kwa angalau miaka mitano (5). Na kama ni kuanzia miaka (18) nayo ni miaka mitano (5) - Mchezaji lazima atoe ushahidi Kwamba sababu ambazo zimemfanya aje Tanzania sio za kimpira.
    Like
    1
    1 Commentaires ·664 Vue
  • Like
    Haha
    3
    2 Commentaires ·196 Vue
  • Wolfsburg Win and Over 2.5
    Odds 2.4
    Wolfsburg Win and Over 2.5 Odds 2.4
    ·609 Vue
  • #Socialpop wamefanya #UBAYAUBWELA
    #Socialpop wamefanya #UBAYAUBWELA 🔥🔥
    Wow
    1
    ·2KB Vue
  • Kuna mtu ananitishia jela alafu jela kwenyewe sasa
    Kuna mtu ananitishia jela alafu jela kwenyewe sasa🤩🤩🤙🤙🤙🤗🤗
    ·364 Vue ·1 Vue
  • 🤣🤣🤣
    ·375 Vue
  • "Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa Wanawake Nchini Marekani, haimaanishi ukiolewa na Tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana. Nataka niikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakuwa hukuhangaikia, kama unahisi huwezi kuwalea watoto basi niachie Mimi niwalee" - Donald Trump, Rais wa Marekani .

    "Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa Wanawake Nchini Marekani, haimaanishi ukiolewa na Tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana. Nataka niikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakuwa hukuhangaikia, kama unahisi huwezi kuwalea watoto basi niachie Mimi niwalee" - Donald Trump, Rais wa Marekani 🇺🇸.
    Like
    1
    ·231 Vue