Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo imeziandikia klabu za mpira wa miguu barani Ulaya zinazoingia mikataba ya ufadhili kutoka Serikali ya Rwanda kutopokea, "Fedha zinazotokana na umwagikaji wa damu", unaoendelea mashariki mwa DR Congo.
Kwa mujibu Waziri wa mambo ya kigeni Nchini DR Congo, Therese Kayikwamba Wagner ameziandikia klabu za Arsenal FC ya England , Paris Sint-Germaine ya Ufaransa na FC Bayern München ya Ujerumani kusitisha ushirikiano wao wa ufadhili wa mauzo chini ya mpango wa "Visit Rwanda" wakidai kwamba idadi kubwa ya Wanajeshi wa Rwanda wanapigana na Jeshi la FARDC huko Mjini Goma wakisaidiana na kundi la Waasi la M23.
Kwenye barua hiyo kwa klabu ya Arsenal FC, Waziri Wagner amesema kwamba, Rwanda inastahili kulaumiwa kwa hatua zake ndani ya DR Congo kwani Umoja wa mataifa umeripoti kwamba kikosi cha Wanajeshi 4,000 kutoka Rwanda kiko ndani ya DR Congo na kinashikriki kwenye vita vinavyoendelea Nchini humo.
Sanjari na klabu hizo kusubiriwa kufanya uamuzi kuhusu ombi hilo la DR Congo na shutuma dhidi ya Rwanda, DR Congo imeendelea kuwasilisha hoja yao ya hali mbaya inayoshuhudiwa mashariki mwa nchi hiyo.
Waziri Wagner ameiambia klabu ya Arsenal kwamba, "maelfu ya Watu wamekwama Jijini Goma, ambapo hakuna njia ya kuingiza chakula, huku huduma za kusambaza maji na umeme zikiwa zimekatizwa. Hakuna usalama, Watu wameuawa na wizi unakithiri Mjini humo. Mfadhili wenu anahusika moja kwa moja kwa mahangaiko haya ya wengi"
Barua hiyo inaangazia mpango wa, "Visit Rwanda" unafadhiliwa moja kwa moja na uchimbaji madini haramu unaoendelea katika maeneo kadhaa yaliyokaliwa mashariki mwa DR Congo na kuvukishwa mpaka hadi Rwanda ambayo inasafirisha ughaibuni kama madini yake asilii.

Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo 🇨🇩 imeziandikia klabu za mpira wa miguu barani Ulaya zinazoingia mikataba ya ufadhili kutoka Serikali ya Rwanda 🇷🇼 kutopokea, "Fedha zinazotokana na umwagikaji wa damu", unaoendelea mashariki mwa DR Congo.
Kwa mujibu Waziri wa mambo ya kigeni Nchini DR Congo, Therese Kayikwamba Wagner ameziandikia klabu za Arsenal FC ya England 🏴, Paris Sint-Germaine ya Ufaransa 🇫🇷 na FC Bayern München ya Ujerumani 🇩🇪 kusitisha ushirikiano wao wa ufadhili wa mauzo chini ya mpango wa "Visit Rwanda" wakidai kwamba idadi kubwa ya Wanajeshi wa Rwanda wanapigana na Jeshi la FARDC huko Mjini Goma wakisaidiana na kundi la Waasi la M23.
Kwenye barua hiyo kwa klabu ya Arsenal FC, Waziri Wagner amesema kwamba, Rwanda inastahili kulaumiwa kwa hatua zake ndani ya DR Congo kwani Umoja wa mataifa umeripoti kwamba kikosi cha Wanajeshi 4,000 kutoka Rwanda kiko ndani ya DR Congo na kinashikriki kwenye vita vinavyoendelea Nchini humo.
Sanjari na klabu hizo kusubiriwa kufanya uamuzi kuhusu ombi hilo la DR Congo na shutuma dhidi ya Rwanda, DR Congo imeendelea kuwasilisha hoja yao ya hali mbaya inayoshuhudiwa mashariki mwa nchi hiyo.
Waziri Wagner ameiambia klabu ya Arsenal kwamba, "maelfu ya Watu wamekwama Jijini Goma, ambapo hakuna njia ya kuingiza chakula, huku huduma za kusambaza maji na umeme zikiwa zimekatizwa. Hakuna usalama, Watu wameuawa na wizi unakithiri Mjini humo. Mfadhili wenu anahusika moja kwa moja kwa mahangaiko haya ya wengi"
Barua hiyo inaangazia mpango wa, "Visit Rwanda" unafadhiliwa moja kwa moja na uchimbaji madini haramu unaoendelea katika maeneo kadhaa yaliyokaliwa mashariki mwa DR Congo na kuvukishwa mpaka hadi Rwanda ambayo inasafirisha ughaibuni kama madini yake asilii.
0 Commentaires
·0 Parts
·11 Vue