![Like](https://socialpop.online/content/uploads/photos/2024/04/socialpop_2100e9799e24bf10897fb46fe676a97d.png)
-
-
-
-
Ni tetesi
Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC, S. Ramovic anatarajiwa kujiunga na klabu ya CR Belouizdad. Klabu hiyo ya Algeria ilituma ofa kwa Ramovic na kukubali kulipa fidia ya kuvunja mkataba na klabu ya Yanga SC huku klabu ya Yanga SC ikikubali kumuachia Ramovic na wamempa baraka zote.
Inasemekana kuwa leo hii Ramovic amewaaga Wachezaji wake mazoezini alafu Mashabiki wa klabu ya Yanga SC (Wananchi) wanatarajiwa kuagwa kwenye mchezo wa Yanga SC dhidi ya klabu ya Kengold FC.
@Ni tetesi Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC, S. Ramovic anatarajiwa kujiunga na klabu ya CR Belouizdad. Klabu hiyo ya Algeria ilituma ofa kwa Ramovic na kukubali kulipa fidia ya kuvunja mkataba na klabu ya Yanga SC huku klabu ya Yanga SC ikikubali kumuachia Ramovic na wamempa baraka zote. Inasemekana kuwa leo hii Ramovic amewaaga Wachezaji wake mazoezini alafu Mashabiki wa klabu ya Yanga SC (Wananchi) wanatarajiwa kuagwa kwenye mchezo wa Yanga SC dhidi ya klabu ya Kengold FC. @0 Commenti 路0 condivisioni 路162 Views -
-
-
#PART11
Baada ya Ntaganda kupelekwa The Heague, M23 iliongozwa na Sultan Makenga, Mtutsi wa Rutshuru huko Kivu Kaskazini. Mwaka 1990 Makenga akiwa na miaka 17 tu alienda Rwanda kujiunga na kikundi cha waasi RPF kilichokuwa kinaongozwa na Jenerali Fredy Rwigyema. Sultan Makenga akiwa askari wa RPF alipigana msituni dhidi ya serikali ya kihutu ya Juvenile Habyarimana.
Baada RPF ilishika dola, Askari wote wa RPF waliingizwa katika jeshi la Rwanda akiwemo Sultan Makenga. Alihudumu katika jeshi hilo kwa muda mrefu hadi kufikia cheo cha Kanali kabla ya kurudi "nyumbani" Congo, kujiunga na kikundi cha waasi cha CNDP. Baada ya mkataba wa amani wa March 23, 2009 Sultan Makenga alikuwa miongoni mwa askari 600 wa CNDP waliokataa kujiunga na jeshi la Congo (FARDC).
Mwaka 2012 Bosco Ntaganda alipojitoa kwenye jeshi la Congo na kuunga kikundi cha waasi cha M23, Sultan Makenga alikua wa kwanza kujiunga. Baada ya Ntaganda kujisalimisha, Makenga akapewa uongozi wa M23. Akaongoza kuanzia 2013 hadi 2016 alipotoweka ghafla. Haijulikani alipo, japo inasemekana alienda Rwanda na hakurudi tena.
Baada ya Makenga kutoweka katika mazingira ya "kutatanisha" M23 ikawa na viongozi ambao hawakuwa mashuhuri sana hadi 2022 ilipompata Corneille Nangaa. Huyu alikua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi nchini Congo (CENI) na ndiye aliyemtangaza Tshikeshedi kuwa mshindi wa kiti cha Urais wa Congo kwenye uchaguzi wa December 30 mwaka 2018.
Katika mambo yanayoshangaza na kufanya vita ya Congo kuonekana ngumu, ni jinsi Nangaa alivyotoka kuwa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, hadi kuanzisha coalition ya vikundi vya waasi, Congo River Alliance (CRA) kikiwemo M23. Jenerali Nangaa ndiye aliyeongoza M23 kuutwaa mji wa Goma January 2025, na kuyafurusha majeshi ya serikali. Nangaa ametangaza nia ya kumuondoa madarakani Rais Tshisekedi, ambaye mwaka 2018 ni Nangaa huyohuyo aliyemtangaza Tshikeshedi kuwa Rais.
August 2024 Mahakama ya kijeshi mjini Kinshasa ilimhukumu Nangaa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kosa la uhaini. Hukumu hiyo ilitolewa bila yeye kuwepo mahakamani (death sentence in absentia). Nangaa amesema ikiwa M23 itashika dola, wale waliomhukumu ndio watanyongwa kwa niaba yake.!
(Malisa GJ)
#PART11 Baada ya Ntaganda kupelekwa The Heague, M23 iliongozwa na Sultan Makenga, Mtutsi wa Rutshuru huko Kivu Kaskazini. Mwaka 1990 Makenga akiwa na miaka 17 tu alienda Rwanda kujiunga na kikundi cha waasi RPF kilichokuwa kinaongozwa na Jenerali Fredy Rwigyema. Sultan Makenga akiwa askari wa RPF alipigana msituni dhidi ya serikali ya kihutu ya Juvenile Habyarimana. Baada RPF ilishika dola, Askari wote wa RPF waliingizwa katika jeshi la Rwanda akiwemo Sultan Makenga. Alihudumu katika jeshi hilo kwa muda mrefu hadi kufikia cheo cha Kanali kabla ya kurudi "nyumbani" Congo, kujiunga na kikundi cha waasi cha CNDP. Baada ya mkataba wa amani wa March 23, 2009 Sultan Makenga alikuwa miongoni mwa askari 600 wa CNDP waliokataa kujiunga na jeshi la Congo (FARDC). Mwaka 2012 Bosco Ntaganda alipojitoa kwenye jeshi la Congo na kuunga kikundi cha waasi cha M23, Sultan Makenga alikua wa kwanza kujiunga. Baada ya Ntaganda kujisalimisha, Makenga akapewa uongozi wa M23. Akaongoza kuanzia 2013 hadi 2016 alipotoweka ghafla. Haijulikani alipo, japo inasemekana alienda Rwanda na hakurudi tena. Baada ya Makenga kutoweka katika mazingira ya "kutatanisha" M23 ikawa na viongozi ambao hawakuwa mashuhuri sana hadi 2022 ilipompata Corneille Nangaa. Huyu alikua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi nchini Congo (CENI) na ndiye aliyemtangaza Tshikeshedi kuwa mshindi wa kiti cha Urais wa Congo kwenye uchaguzi wa December 30 mwaka 2018. Katika mambo yanayoshangaza na kufanya vita ya Congo kuonekana ngumu, ni jinsi Nangaa alivyotoka kuwa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, hadi kuanzisha coalition ya vikundi vya waasi, Congo River Alliance (CRA) kikiwemo M23. Jenerali Nangaa ndiye aliyeongoza M23 kuutwaa mji wa Goma January 2025, na kuyafurusha majeshi ya serikali. Nangaa ametangaza nia ya kumuondoa madarakani Rais Tshisekedi, ambaye mwaka 2018 ni Nangaa huyohuyo aliyemtangaza Tshikeshedi kuwa Rais. August 2024 Mahakama ya kijeshi mjini Kinshasa ilimhukumu Nangaa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kosa la uhaini. Hukumu hiyo ilitolewa bila yeye kuwepo mahakamani (death sentence in absentia). Nangaa amesema ikiwa M23 itashika dola, wale waliomhukumu ndio watanyongwa kwa niaba yake.! (Malisa GJ) -
Rais wa Marekani , Donald Trump ameendelea na msimamo wake na kuweka mkazo kuhusu kuifanya Nchi ya Canada kuwa jimbo la (51) la Nchi ya Marekani. Kupitia ukurasa wake wa mtandao X, Rais huyo amesema kuwa Nchi yake ya Marekani inatumia mabilioni ya fedha na punguzo za ushuru kuihudumia Canada hivyo hakuna haja Nchi hiyo kuendelea kuifaidi Marekani wakati ingeweza kuwa sehemu ya Marekani na kupata unafuu bila kuinyonya Nchi ya Marekani.
Donald Trump amesema iwapo Nchi ya Canada itakataa mpango huo basi tozo na ushuru wa bidhaa kwa Taifa hilo utapanda mara dufu na kulingana mataifa mengine. Trump amesema iwapo Canada ikijiunga na Marekani hakutakuwa na tozo wala mazuio ya maelfu ya Raia wa Canada wanaoingia Marekani kufanya kazi.
Ikumbukwe kwamba Nchi za Canada na Mexico ni kati ya mataifa yenye Raia wengi wanaofanya kazi za kujiingizia kipato Nchini Marekani ambao hawana vibali halali vya kazi na uhamiaji (Wahamiaji haramu). Tayari Donald Trump ameshaongea na Viongozi wakuu wa mataifa hayo na kuwapa muda wa siku thelathini (30) kuchukua hatua kwa mapendekezo yake ama utozaji wa tozo na ushuru wa asilimia (25) kwa bidhaa zao uanze mara moja.
Viongozi wa Nchi hizo wamekiri kupokea maelekezo ya Trump na kuahidi kuchukua hatua ikiwemo kuzuia mipaka yao kuwa njia za Wahamiaji haramu. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Tradeau amesema Canada kuwa sehemu ya Marekani haitawezekana licha ya kwamba huenda wakakutana rungu la kiuchumi kisha Wananchi wakaamua wenyewe kupitia uchunguzi (kura).
Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump ameendelea na msimamo wake na kuweka mkazo kuhusu kuifanya Nchi ya Canada 馃嚚馃嚘 kuwa jimbo la (51) la Nchi ya Marekani. Kupitia ukurasa wake wa mtandao X, Rais huyo amesema kuwa Nchi yake ya Marekani inatumia mabilioni ya fedha na punguzo za ushuru kuihudumia Canada hivyo hakuna haja Nchi hiyo kuendelea kuifaidi Marekani wakati ingeweza kuwa sehemu ya Marekani na kupata unafuu bila kuinyonya Nchi ya Marekani. Donald Trump amesema iwapo Nchi ya Canada itakataa mpango huo basi tozo na ushuru wa bidhaa kwa Taifa hilo utapanda mara dufu na kulingana mataifa mengine. Trump amesema iwapo Canada ikijiunga na Marekani hakutakuwa na tozo wala mazuio ya maelfu ya Raia wa Canada wanaoingia Marekani kufanya kazi. Ikumbukwe kwamba Nchi za Canada na Mexico 馃嚥馃嚱 ni kati ya mataifa yenye Raia wengi wanaofanya kazi za kujiingizia kipato Nchini Marekani ambao hawana vibali halali vya kazi na uhamiaji (Wahamiaji haramu). Tayari Donald Trump ameshaongea na Viongozi wakuu wa mataifa hayo na kuwapa muda wa siku thelathini (30) kuchukua hatua kwa mapendekezo yake ama utozaji wa tozo na ushuru wa asilimia (25) kwa bidhaa zao uanze mara moja. Viongozi wa Nchi hizo wamekiri kupokea maelekezo ya Trump na kuahidi kuchukua hatua ikiwemo kuzuia mipaka yao kuwa njia za Wahamiaji haramu. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Tradeau amesema Canada kuwa sehemu ya Marekani haitawezekana licha ya kwamba huenda wakakutana rungu la kiuchumi kisha Wananchi wakaamua wenyewe kupitia uchunguzi (kura). -
Kula chakula kila siku ndio uthibitisho pekee kuwa tumbo haliwezi kuvumilia shida, Pambana upate vyako, Hao vichaa unao waona Wengi wao ni sababu ya Kugombani Mali za Urithi.Kula chakula kila siku ndio uthibitisho pekee kuwa tumbo haliwezi kuvumilia shida, Pambana upate vyako, Hao vichaa unao waona Wengi wao ni sababu ya Kugombani Mali za Urithi.
-
Sio kila shamba ni lakujenga, Mashamba mengine ni yakulima na Kuondoka.Sio kila shamba ni lakujenga, Mashamba mengine ni yakulima na Kuondoka.