0 Комментарии
·0 Поделились
·46 Просмотры
-
-
-
-
-
-
-
"Hatakama Yanga wangevuka hatua ya makundi na kwenda robo fainali ya CAF Champions Ligi, huku mshabuliaji wao kinara akiwa PRINCE DUBE bado uwezekano wa kufanya vyema ungekuwa mdogo msimu huu, kwakuwa ni dhahiri sasa kwamba DUBE sio mfungaji asilia, ni aina ya mshambuliaji anaehitaji nafasi 6 za WAZI kufunga mabao 2 dhidi ya KEN GOLD walio mkiani kwenye ligi kuu" - Jemedari Said, Mchambuzi.
"Hatakama Yanga wangevuka hatua ya makundi na kwenda robo fainali ya CAF Champions Ligi, huku mshabuliaji wao kinara akiwa PRINCE DUBE bado uwezekano wa kufanya vyema ungekuwa mdogo msimu huu, kwakuwa ni dhahiri sasa kwamba DUBE sio mfungaji asilia, ni aina ya mshambuliaji anaehitaji nafasi 6 za WAZI kufunga mabao 2 dhidi ya KEN GOLD walio mkiani kwenye ligi kuu" - Jemedari Said, Mchambuzi.0 Комментарии ·0 Поделились ·119 Просмотры -
Inaripotiwa kuwa zaidi ya Wafungwa mia moja (100) wa kike walibakwa na kisha kuchomwa moto wakiwa hai wakati wa hali ya machafuko ilipotokea baada ya Wafungwa kutoroka Gerezani Jijini Goma, Nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo .
Kulingana na ripoti mpya kutoka kwa Umoja wa Mataifa, mamia ya Wafungwa walitoroka katika Gereza la Munzenze Jumatatu iliyopita, baada ya Wapiganaji wa kundi la Waasi la M23 kuuteka Mji huo wa Goma.
Ripoti hiyo inaeleza kwamba kati ya Wanawake 165 na 167 walivamiwa na kunyanyaswa na Wafungwa wa kiume walipovunja Gereza. Wengi wa Wanawake hao waliuawa baada ya Wafungwa hao kuchoma moto jela. Jiji hilo la Goma lina ukubwa na Watu zaidi milioni moja (1), lilitekwa na kundi la Waasi la M23, linalodaiwa kuungwa mkono na Rwanda , lilipovamia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Inaripotiwa kuwa zaidi ya Wafungwa mia moja (100) wa kike walibakwa na kisha kuchomwa moto wakiwa hai wakati wa hali ya machafuko ilipotokea baada ya Wafungwa kutoroka Gerezani Jijini Goma, Nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo 🇨🇩. Kulingana na ripoti mpya kutoka kwa Umoja wa Mataifa, mamia ya Wafungwa walitoroka katika Gereza la Munzenze Jumatatu iliyopita, baada ya Wapiganaji wa kundi la Waasi la M23 kuuteka Mji huo wa Goma. Ripoti hiyo inaeleza kwamba kati ya Wanawake 165 na 167 walivamiwa na kunyanyaswa na Wafungwa wa kiume walipovunja Gereza. Wengi wa Wanawake hao waliuawa baada ya Wafungwa hao kuchoma moto jela. Jiji hilo la Goma lina ukubwa na Watu zaidi milioni moja (1), lilitekwa na kundi la Waasi la M23, linalodaiwa kuungwa mkono na Rwanda 🇷🇼, lilipovamia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.0 Комментарии ·0 Поделились ·124 Просмотры -
Kwa sasa, hakuna klabu yoyote iliyojaribu kumchukua Paul Pogba! . Mchezaji huyo bado anamatumaini kurudi katika Timu ya Taifa ya Ufaransa na yuko tayari kusubiri hadi majira ya kiangazi akingojea ofa kutoka kwa klabu za Ulaya.
Ikumbukwe kwamba adhabu yake ya kusimamishwa kwa sababu ya matumizi ya madawa ya kulevya itamalizika tarehe 11 Machi.
Kwa sasa, hakuna klabu yoyote iliyojaribu kumchukua Paul Pogba! 🇫🇷. Mchezaji huyo bado anamatumaini kurudi katika Timu ya Taifa ya Ufaransa na yuko tayari kusubiri hadi majira ya kiangazi akingojea ofa kutoka kwa klabu za Ulaya. Ikumbukwe kwamba adhabu yake ya kusimamishwa kwa sababu ya matumizi ya madawa ya kulevya itamalizika tarehe 11 Machi.0 Комментарии ·0 Поделились ·101 Просмотры