0 Reacties
·0 aandelen
·148 Views
-
-
Jarida la Forbes toleo la mwaka huu wa 2025 limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa Watu Matajiri Duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Shilingi Trilioni 5.7 za Kitanzania. Mo Dewji, anakuwa tajiri namba 12 barani Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa kiwango hicho.
2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha utajiri wa Mo
Dewji umeongezeka na kufikia, dola bilioni 2.2 kutoka dola bilioni 1.8 mwaka jana.
3. Orodha ya Forbes ya Matajiri wa Afrika kwa mwaka 2024 ilibainisha kuwa utajiri wa Mo Dewji umeongezeka kutoka dola bilioni 1.5 hadi bilioni 1.8.
4. Licha ya utajiri huo, MO Dewji kupitia kampuni ya Mohamed Entrprises Limited (MeTL) imezalisha ajira 40,000 kwa Watanzania, kupitia biashara 126 zinazofanywa na kampuni hiyo.
5. Lengo la Mo Dewji ni kuongeza ajira hadi kufikia laki moja kwa Watanzania na wana-Afrika Mashariki.
6. Mo Dewji kupitia MoDewjl Foundation, imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Maji, kuchimba visima, kukarabati na kutibu maji mkakati uliosaidia Watu zaidi ya 15,000 kupata maji salama ya kunywa.
7. Utajiri wa Mo Dewji haikushia kwenye maji na afya pekee, umekwenda zaidi na kuwekeza katika tasnia ya michezo ambako ni sehemu ya Mmiliki akiwekeza
asilimia 49 kwenye klabu ya Simba SC.
Jarida la Forbes toleo la mwaka huu wa 2025 limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa Watu Matajiri Duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Shilingi Trilioni 5.7 za Kitanzania. Mo Dewji, anakuwa tajiri namba 12 barani Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa kiwango hicho. 2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha utajiri wa Mo Dewji umeongezeka na kufikia, dola bilioni 2.2 kutoka dola bilioni 1.8 mwaka jana. 3. Orodha ya Forbes ya Matajiri wa Afrika kwa mwaka 2024 ilibainisha kuwa utajiri wa Mo Dewji umeongezeka kutoka dola bilioni 1.5 hadi bilioni 1.8. 4. Licha ya utajiri huo, MO Dewji kupitia kampuni ya Mohamed Entrprises Limited (MeTL) imezalisha ajira 40,000 kwa Watanzania, kupitia biashara 126 zinazofanywa na kampuni hiyo. 5. Lengo la Mo Dewji ni kuongeza ajira hadi kufikia laki moja kwa Watanzania na wana-Afrika Mashariki. 6. Mo Dewji kupitia MoDewjl Foundation, imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Maji, kuchimba visima, kukarabati na kutibu maji mkakati uliosaidia Watu zaidi ya 15,000 kupata maji salama ya kunywa. 7. Utajiri wa Mo Dewji haikushia kwenye maji na afya pekee, umekwenda zaidi na kuwekeza katika tasnia ya michezo ambako ni sehemu ya Mmiliki akiwekeza asilimia 49 kwenye klabu ya Simba SC.0 Reacties ·0 aandelen ·1K Views -
-
Amesema Steve Nyerere.
"Mstafuuu ,,, Ivi Mama Akipenda kwenda kuangalia Dabi,....Pale uwanja wa Taifa pamoja na Watanzania na mashabiki wa Simba na Yanga Si Itapendeza sana,......Naimani Timu zote zitafurahia kuazimisha Miaka 4 Ya Rais wetu Mpendwa kwa Kucheza Dabi,...Maana ndani ya Miaka 4 Ya Mh @samia_suluhu_hassan Soka Limekuwa kivutio kikubwa sana Na Muanko wa Soka umekuwa mkubwa Baada ya Mh Rais kuhakikisha sekta hii Inapiga hatua,......
Kuazimisha Miaka 4 Ya kipenzi cha Watanzania Dr Samia Suluhu Hassan Dabi halafu mgeni Rasmi Mama Itapendeza Tutajaaaa balaaa,...Apo vipi.,.," - Steve Nyerere, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Amesema Steve Nyerere. "Mstafuuu ,,, Ivi Mama Akipenda kwenda kuangalia Dabi,....Pale uwanja wa Taifa pamoja na Watanzania na mashabiki wa Simba na Yanga Si Itapendeza sana,......Naimani Timu zote zitafurahia kuazimisha Miaka 4 Ya Rais wetu Mpendwa kwa Kucheza Dabi,...Maana ndani ya Miaka 4 Ya Mh @samia_suluhu_hassan Soka Limekuwa kivutio kikubwa sana Na Muanko wa Soka umekuwa mkubwa Baada ya Mh Rais kuhakikisha sekta hii Inapiga hatua,...... Kuazimisha Miaka 4 Ya kipenzi cha Watanzania Dr Samia Suluhu Hassan Dabi halafu mgeni Rasmi Mama Itapendeza Tutajaaaa balaaa,...Apo vipi.,.," - Steve Nyerere, Mwigizaji wa filamu Tanzania.0 Reacties ·0 aandelen ·964 Views -
-
-
https://ormatz.com/pages/login/index?invite=u81s2uxl
Tengeneza pesa bila kiingilio chochote. Jaribu kujisajili utanishukuru badaehttps://ormatz.com/pages/login/index?invite=u81s2uxl Tengeneza pesa bila kiingilio chochote. Jaribu kujisajili utanishukuru badae0 Reacties ·0 aandelen ·616 Views -
https://ormatz.com/pages/login/index?invite=u81s2uxl
-
"Marekani mpaka sasa hawajasaini mkataba wa kuilinda Congo mchakato umekuwa mrefu. Jiulize vile vikwazo vya Magharibi walivyoiwekea Rwanda vimeishia wapi
Kagame anajua anachokifanya ndio maana licha ya ripoti za UN , US na EU kuonyesha Rwanda wanaifadhili M23 plus Vikwazo hakuna kilichobadilika Congo
Wanachokifanya wanaoibia Congo na Africa ni ile ile mbinu ya wakati wa ukoloni inaitwa "Divided and Rule " yaani wagawanywe uwatawale nakumbuka hii mbinu pia enzi hizo ndio iliyozaa utani wa jadi wa Yanga na Simba
Oooh Africa " - Zungu, Mchambuzi wa Siasa na Mtangazaji.
"Marekani mpaka sasa hawajasaini mkataba wa kuilinda Congo mchakato umekuwa mrefu. Jiulize vile vikwazo vya Magharibi walivyoiwekea Rwanda vimeishia wapi 😀😀😀😀 Kagame anajua anachokifanya ndio maana licha ya ripoti za UN , US na EU kuonyesha Rwanda wanaifadhili M23 plus Vikwazo hakuna kilichobadilika Congo 😭😭😭😭 Wanachokifanya wanaoibia Congo na Africa ni ile ile mbinu ya wakati wa ukoloni inaitwa "Divided and Rule " yaani wagawanywe uwatawale nakumbuka hii mbinu pia enzi hizo ndio iliyozaa utani wa jadi wa Yanga na Simba Oooh Africa🌍 😭" - Zungu, Mchambuzi wa Siasa na Mtangazaji.