نتائج البحث
عرض كل النتائج
Socialpop Socialpop Socialpop
الرئيسية
المجموعات
الصفحات
سوق المنتجات
شاهد المزيد
المجموعات الصفحات سوق المنتجات المناسبات المدونات التمويل مفاوضاتي وظائف Courses المنتديات الافلام
انضم إلينا
تسجيل الدخول تسجيل
Theme Switcher
الوضع المظلم
الدليل
المستخدمون
المنشورات
الصفحات
المجموعات
المناسبات
  • millard ayo @millardayo أضاف صورة
    2024-05-21 13:21:45 ·
    Like
    Love
    Haha
    Yay
    11
    · 6 التعليقات ·0 المشاركات ·576 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • millard ayo @millardayo أضاف صورة
    2024-05-21 13:22:49 ·
    Miaka 19 iliyopita nilikua miongoni mwa Watanzania wanaotumiwa pesa kutoka Mikoani kwa Basi la Scandinavia kuja DSM alafu nazipokelea kwenye Ofisi yao pale Kamata Kariakoo Ma-legend watanielewa vizuri hapo, yani kutuma pesa haikuwa rahisi kama ilivyorahisishwa sasa na TIGO PESA.

    Enzi hizo kabla Tanzania haijabahatika kuwa na TIGO PESA nilishawahi kutumwa pesa na Mjomba nikazibeba kutoka Dar kupeleka Arusha kwa Basi la Ngorika (kama laki 3 na nusu hivi) na hiyo safari ilikua maalum tu ya kupeleka pesa lakini kuanzia September 2010 TIGO PESA ilipozaliwa hajatumwa Mtu tena, ni Watu na viganja vyao tu.

    Mwaka 2014 TIGO waliitambulisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza APP ya TIGO PESA ambayo kwa miaka yote hiyo ilitokea kupendwa na wengi kutokana na viwango vyake vya ubora lakini kama vile haitoshi, leo Kampuni ya TIGO imeifanyia mabadiliko makubwa hadi kufikia kiwango cha SUPER APP kwa kuiongezea teknolojia ya juu na vitu vingi vya kijanja na vya kumrahisishia maisha Mtanzania.

    Afisa Mkuu wa TIGO PESA Angelica Pesha amezitaja Sifa chache kati ya nyingi za SUPER APP ukiwemo mionekano mitatu tofauti, teknolojia ya hali ya juu ikiwemo akili bandia ( A.I), unaweza kutuma pesa kwa Watu watano tofauti kwa mkupuo ( mfano mshahara) na kila Mtu ukamtumia kiasi chake bila kulazimika kufanya muamala mmojammoja, ni APP ambayo inazo APP nyingine ndani mfano DSTV na App ya malipo/madeni ya Serikali hivyo inarahisisha Mtumiaji kuangalia madeni kwa urahisi.

    App hii ambayo inapatikana kwa wanaotumia APP STORE na PLAY STORE, inamruhusu Mtumiaji kuweka account zake 5 za TIGO PESA kwa wakati mmoja, kupitia kipengele cha GIFT MONEY inamruhusu Mtumiaji pia kutuma pesa kama zawadi na kumuandikia anayemtumia maneno anayotaka yamfikie sambamba na muamala huo na mengine, tazama video hapa instagram.com/reel/C7N9vXHCj…
    Miaka 19 iliyopita nilikua miongoni mwa Watanzania wanaotumiwa pesa kutoka Mikoani kwa Basi la Scandinavia kuja DSM alafu nazipokelea kwenye Ofisi yao pale Kamata Kariakoo 😃 Ma-legend watanielewa vizuri hapo, yani kutuma pesa haikuwa rahisi kama ilivyorahisishwa sasa na TIGO PESA. Enzi hizo kabla Tanzania haijabahatika kuwa na TIGO PESA nilishawahi kutumwa pesa na Mjomba nikazibeba kutoka Dar kupeleka Arusha kwa Basi la Ngorika (kama laki 3 na nusu hivi) na hiyo safari ilikua maalum tu ya kupeleka pesa😃 lakini kuanzia September 2010 TIGO PESA ilipozaliwa hajatumwa Mtu tena, ni Watu na viganja vyao tu. Mwaka 2014 TIGO waliitambulisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza APP ya TIGO PESA ambayo kwa miaka yote hiyo ilitokea kupendwa na wengi kutokana na viwango vyake vya ubora lakini kama vile haitoshi, leo Kampuni ya TIGO imeifanyia mabadiliko makubwa hadi kufikia kiwango cha SUPER APP kwa kuiongezea teknolojia ya juu na vitu vingi vya kijanja na vya kumrahisishia maisha Mtanzania. Afisa Mkuu wa TIGO PESA Angelica Pesha amezitaja Sifa chache kati ya nyingi za SUPER APP ukiwemo mionekano mitatu tofauti, teknolojia ya hali ya juu ikiwemo akili bandia ( A.I), unaweza kutuma pesa kwa Watu watano tofauti kwa mkupuo ( mfano mshahara) na kila Mtu ukamtumia kiasi chake bila kulazimika kufanya muamala mmojammoja, ni APP ambayo inazo APP nyingine ndani mfano DSTV na App ya malipo/madeni ya Serikali hivyo inarahisisha Mtumiaji kuangalia madeni kwa urahisi. App hii ambayo inapatikana kwa wanaotumia APP STORE na PLAY STORE, inamruhusu Mtumiaji kuweka account zake 5 za TIGO PESA kwa wakati mmoja, kupitia kipengele cha GIFT MONEY inamruhusu Mtumiaji pia kutuma pesa kama zawadi na kumuandikia anayemtumia maneno anayotaka yamfikie sambamba na muamala huo na mengine, tazama video hapa instagram.com/reel/C7N9vXHCj…
    Like
    Love
    Haha
    10
    · 7 التعليقات ·0 المشاركات ·1كيلو بايت مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-21 13:42:05 ·
    @#Haki haiombwi ila kuipata ndo kipengele
    @#Haki haiombwi ila kuipata ndo kipengele
    Love
    Like
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·40 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-21 13:45:48 ·
    MJINGA HUBISHANA MWELEVU HUKAA KIMYA

    MJINGA HUBISHANA MWELEVU HUKAA KIMYA 🧠🧠
    Like
    Love
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·41 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-21 13:49:23 ·
    KWENYE MAOMBI YAKO OMBA SANA MUNGU AKUPE BAHATI. KUNA MUDA BAHATI NI BORA KULIKO JUHUDI.✍✍
    KWENYE MAOMBI YAKO OMBA SANA MUNGU AKUPE BAHATI. KUNA MUDA BAHATI NI BORA KULIKO JUHUDI.✍✍
    Like
    Love
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·44 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bee Sagenge @Saggy أضاف صورة
    2024-05-21 13:51:25 ·
    Umeelewanini hapo
    Umeelewanini hapo
    Like
    4
    · 3 التعليقات ·0 المشاركات ·547 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-21 13:51:34 ·
    USIOGOPE KUTOKWA NA JASHO KWENYE KUPAMBANIA NDOTO ZAKO, IPO SIKU UTAOGA NA KUPENDEZA
    USIOGOPE KUTOKWA NA JASHO KWENYE KUPAMBANIA NDOTO ZAKO, IPO SIKU UTAOGA NA KUPENDEZA💪💪
    Like
    Love
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·43 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Sports view @B24 أضاف صورة
    2024-05-21 13:54:07 ·
    Like
    4
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·72 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-21 13:54:19 ·
    KUNA MUDA INAKUBIDI UISHI NA MAUMIVU MAKALI MOYONI, ILI USI WAVUNJE MOYO WALE WANAOKUTEGEMEA.
    KUNA MUDA INAKUBIDI UISHI NA MAUMIVU MAKALI MOYONI, ILI USI WAVUNJE MOYO WALE WANAOKUTEGEMEA.📌📌
    Like
    Love
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·43 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-21 13:56:12 ·
    Ukipata Muda Nisalimie tu Me Sina Ugomvi Na wewe




    @mchizi bot
    Ukipata Muda Nisalimie tu Me Sina Ugomvi Na wewe @mchizi bot
    Like
    Love
    4
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·44 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • عرض (2411-2420 من 28116)
  • «
  • السابق
  • 240
  • 241
  • 242
  • 243
  • 244
  • التالي
  • »
ترقية الحساب
اختر الخطة التي تناسبك
ترقية
© 2025 Socialpop
Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل المطوريين