Baada ya Kagoma kushindwana na Yanga badala yake akakubali ofa ya nono ya Simba, mazungumzo kati ya Yanga SC na Fountain Gate FC wakakubaliana ile pesa ambayo walipokea kumuachia Kagoma ihamishiwe katika uhamisho wa Aziz Andabwile. Ukurasa wa Kagoma ukafungwa rasmi.