• "as long as am live the only thing is to go on"
    "as long as am live the only thing is to go on"
    0 Comments ·0 Shares ·10 Views
  • 21/21.*NGUVU YA KUCHAGUA*

    Maisha ni kuchagua.
    Kila matokeo au jambo linalo onekana katika miasha limejengwa na msingi wa kuchagua.

    Ukikosea kuchagua ,umekosea kuishi . Watu wengi sana wanazani maisha ni bahati na hivyo uishia kuona kuwa wao hawana bahati kumbe bahati njema ni matokeo ya chaguo jema na bahati mbaya ni matokeo ya chaguo baya.

    Kumbukumbu la Torati 11:26
    [26]Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana;

    Ndicho Mungu alicho kifanya katika maisha ameweka mbele yetu baraka na laana , kustawi au kutokustawi kutaamuliwa na nguvu ya chaguo .

    Kumbe nguvu ya kuchagua ndiyo itakayo kuamulia kiwango cha baraka zako au laana yako.

    Hii ni moja ya kanuni ya kuzitaka baraka baada ya kuchagua kutenda haya.

    Kumbukumbu la Torati 11:27
    [27]baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizayo leo;


    Ukichagua kutii maagizo, kuwa na bidii ya bwana ndipo utakuwa umechagua baraka.

    Kumbukumbu la Torati 28:1-2
    [1]Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;

    [2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako.

    3.lazima uchague kumjua sana Mungu.

    Ayubu 22:21
    [21]Mjue sana Mungu, ili uwe na amani;
    Ndivyo mema yatakavyokujia.

    Chagua kumjua Mungu ili mema yakufuate lakini pia usipo chagua hivyo pia lazima utapata matokeo.

    Kumbukumbu la Torati 11:28
    [28]na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine msiyoijua.

    Laaana ni matokeo ya kujiongoza vibaya na ndipo matokeo lazima uyapate tu .

    Kumbukumbu la Torati 28:15-17
    [15]Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya BWANA, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.

    [16]Utalaaniwa mjini, utalaaniwa na mashambani.
    .
    [17]Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.

    Utakuja kuona kuna watu tunaishi copy za maisha yetu sababu tu ya kutokuchagua vyema au kuichagua dunia..

    Yoshua alitangaza nguvu ya kuchagua lakini yeye alishachagua kuwa yeye na nyumba yake watamtumikia Mungu.

    Namaliza kwa kusema hakuna baraka zinazo weza kukujia ikiwa wewe uko nje ya agano la Mungu ambalo ni WOKOVU.

    Naitwa sylvester mwakabende kutoka (build new eden)
    #build new eden
    #restore men position
    21/21.*NGUVU YA KUCHAGUA* Maisha ni kuchagua. Kila matokeo au jambo linalo onekana katika miasha limejengwa na msingi wa kuchagua. Ukikosea kuchagua ,umekosea kuishi . Watu wengi sana wanazani maisha ni bahati na hivyo uishia kuona kuwa wao hawana bahati kumbe bahati njema ni matokeo ya chaguo jema na bahati mbaya ni matokeo ya chaguo baya. Kumbukumbu la Torati 11:26 [26]Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana; Ndicho Mungu alicho kifanya katika maisha ameweka mbele yetu baraka na laana , kustawi au kutokustawi kutaamuliwa na nguvu ya chaguo . Kumbe nguvu ya kuchagua ndiyo itakayo kuamulia kiwango cha baraka zako au laana yako. Hii ni moja ya kanuni ya kuzitaka baraka baada ya kuchagua kutenda haya. Kumbukumbu la Torati 11:27 [27]baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizayo leo; Ukichagua kutii maagizo, kuwa na bidii ya bwana ndipo utakuwa umechagua baraka. Kumbukumbu la Torati 28:1-2 [1]Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani; [2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako. 3.lazima uchague kumjua sana Mungu. Ayubu 22:21 [21]Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Chagua kumjua Mungu ili mema yakufuate lakini pia usipo chagua hivyo pia lazima utapata matokeo. Kumbukumbu la Torati 11:28 [28]na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine msiyoijua. Laaana ni matokeo ya kujiongoza vibaya na ndipo matokeo lazima uyapate tu . Kumbukumbu la Torati 28:15-17 [15]Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya BWANA, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata. [16]Utalaaniwa mjini, utalaaniwa na mashambani. . [17]Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia. Utakuja kuona kuna watu tunaishi copy za maisha yetu sababu tu ya kutokuchagua vyema au kuichagua dunia.. Yoshua alitangaza nguvu ya kuchagua lakini yeye alishachagua kuwa yeye na nyumba yake watamtumikia Mungu. Namaliza kwa kusema hakuna baraka zinazo weza kukujia ikiwa wewe uko nje ya agano la Mungu ambalo ni WOKOVU. Naitwa sylvester mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden #restore men position
    0 Comments ·0 Shares ·32 Views