Rezultatele cautarii
Vedeti tot
Socialpop Socialpop Socialpop
Home
Grupuri
Pagini
Marketplace
Arata mai mult
Grupuri Pagini Marketplace Events Blogs Funding Offers Jobs Courses Forums Movies
Conecteaza-te
Conecteaza-te Inscrie-te
Theme Switcher
Night Mode
Director
Utilizatori
Postari
Pagini
Grupuri
Events
  • Sports Elite @baraka24 a adăugat o fotografie
    2025-06-17 16:50:25 ·
    Katika mchezo wa Chelsea dhidi ya Los Angeles, kipindi cha pili cha mchezo kilicheleweshwa kwa dakika chache kwani Olivier Giroud hakuwa na jezi ya kuvaa

    Mshambuliaji wa Kifaransa alikuwa ameiacha jezi yake kwenye chumba cha kubadilishia nguo golikipa David Ochoa akaenda kuichukua

    #sportselite
    Katika mchezo wa Chelsea dhidi ya Los Angeles, kipindi cha pili cha mchezo kilicheleweshwa kwa dakika chache kwani Olivier Giroud hakuwa na jezi ya kuvaa 😅👕 Mshambuliaji wa Kifaransa alikuwa ameiacha jezi yake kwenye chumba cha kubadilishia nguo golikipa David Ochoa akaenda kuichukua 😅 #sportselite
    Like
    Wow
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·193 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Baraka Sagenge @Bee24 a adăugat o fotografie
    2025-06-17 16:52:48 ·
    Like
    Yay
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·168 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Sports Elite @baraka24 a adăugat o fotografie
    2025-06-17 17:06:20 ·
    𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄: Hansi Flick amekubali usajiri wa NICO WILLIAMS kwenda Barça...
    🚨🚨 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄: Hansi Flick amekubali usajiri wa NICO WILLIAMS kwenda Barça... 💙❤️
    Like
    Angry
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·211 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Sports Elite @baraka24 a adăugat o fotografie
    2025-06-17 17:07:51 ·
    BREAKING

    Bayern Munich Wako mbioni kuinasa Saini ya Nyota wa Crystal Palace Eberechi Eze

    Fahamu Eberechi Eze anakifungu cha kuuzwa cha £68m.

    #sportselite
    🚨 BREAKING Bayern Munich Wako mbioni kuinasa Saini ya Nyota wa Crystal Palace Eberechi Eze 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Fahamu Eberechi Eze anakifungu cha kuuzwa cha £68m.💰 #sportselite
    Like
    Angry
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·385 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Sports Elite @baraka24 a adăugat o fotografie
    2025-06-17 17:09:42 ·
    Like
    Yay
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·72 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Sports Elite @baraka24 a adăugat o fotografie
    2025-06-17 17:13:38 ·
    OFFICIAL

    Uongozi wa klabu ya Manchester City umepunguza kwa asilimia 43% gharama za tiketi na punguzo Hilo litaanza kufanya kazi kuanzia michezo ya msimu ujao 2025/26.

    Hatua hii imekuja baada ya migomo kutoka kwa mashabiki wa klabu hiyo,wakidai Bei za tiketi zipunguzwe zilikuwa juu sana hasa kwa wale wanaonunua tiketi za msimu mzima.

    Tiketi zote zimepunguzwa Bei kuanzia za mechi Kwa mechi mpaka za msimu mzima...

    #sportselite
    OFFICIAL 🔵 Uongozi wa klabu ya Manchester City umepunguza kwa asilimia 43% gharama za tiketi na punguzo Hilo litaanza kufanya kazi kuanzia michezo ya msimu ujao 2025/26. Hatua hii imekuja baada ya migomo kutoka kwa mashabiki wa klabu hiyo,wakidai Bei za tiketi zipunguzwe zilikuwa juu sana hasa kwa wale wanaonunua tiketi za msimu mzima. Tiketi zote zimepunguzwa Bei kuanzia za mechi Kwa mechi mpaka za msimu mzima... #sportselite
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·452 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Sports Elite @baraka24 a adăugat o fotografie
    2025-06-17 17:14:42 ·
    OFFICIAL

    Laliga wamethibitisha kuwa FC Barcelona wamekamilisha vibali vyote vya Golikipa wao mpya Joan Garcia na ataruhusiwa kuitumikia klabu hiyo msimu ujao 2025/26 bila ya kikwazo chochote.

    #sportselite
    OFFICIAL 🔴 Laliga wamethibitisha kuwa FC Barcelona wamekamilisha vibali vyote vya Golikipa wao mpya Joan Garcia na ataruhusiwa kuitumikia klabu hiyo msimu ujao 2025/26 bila ya kikwazo chochote. #sportselite
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·324 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • David Atto @Mefa a adăugat o fotografie
    2025-06-17 19:30:01 ·
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·318 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • David Atto @Mefa
    2025-06-17 19:31:17 ·
    Inasemekana Mahojiano ya TAKUKURU na YANGA/TFF yanaendelea.

    Kwa nyakati tofauti viongozi wa TFF na Yanga wameitwa kuhojiwa kabla ya hatua nyingine.

    Sakata la pesa kati ya Yanga na TFF bado bichi.
    Inasemekana Mahojiano ya TAKUKURU na YANGA/TFF yanaendelea. Kwa nyakati tofauti viongozi wa TFF na Yanga wameitwa kuhojiwa kabla ya hatua nyingine. Sakata la pesa kati ya Yanga na TFF bado bichi. ✍️
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·746 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • David Atto @Mefa a adăugat o fotografie
    2025-06-17 19:35:34 ·
    Like
    Yay
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·324 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Afiseaza (25061-25070 de 29183)
  • «
  • Anterior
  • 2505
  • 2506
  • 2507
  • 2508
  • 2509
  • Următor
  • »
Upgrade to Pro
Alege planul care ți se potrivește
Upgrade
© 2025 Socialpop
Romaian
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
About Termeni Confidențialitate Contacteaza-ne Director Developers