0 Commenti
·0 condivisioni
·330 Views
-
0 Commenti ·0 condivisioni ·502 Views
-
0 Commenti ·0 condivisioni ·88 Views
-
- Nottingham Forest wanapima uwezekano wa kumsajili Jadon Sancho, ambaye hana nafasi Manchester United.
- Rais wa Benfica anapanga kusafiri kwenda Brazil mwisho wa wiki hii kukamilisha dili la Richard Rios. Klabu ya Palmeiras imeweka bei ya €30m.
- RASMI:Leeds United wamesajili kiungo Sean Longstaff kutoka
#SportsElite- Nottingham Forest wanapima uwezekano wa kumsajili Jadon Sancho, ambaye hana nafasi Manchester United. - Rais wa Benfica anapanga kusafiri kwenda Brazil mwisho wa wiki hii kukamilisha dili la Richard Rios. Klabu ya Palmeiras imeweka bei ya €30m. - RASMI✅:Leeds United wamesajili kiungo Sean Longstaff kutoka #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·321 Views -
Siku kama ya leo FC Barcelona ilimtambulisha adui wa nyavu Robert Lewandowski haya ni mabalaa alio yafanya kwenye nyavu za wapinzani tokea ajiunge na Miamba hiyo 2022....
- Mechi alizocheza:157
- Magoli: 102
- Asisti: 20
- Makombe aliyoshinda:
- La Liga: 2 (2022/23, 2024/25)
- Copa del Rey: 1 (2024/25)
- Supercopa de España: 2 (2022/23, 2024/25)
Kwa jumla, Lewandowski amefunga magoli 102 na kutoa asisti 20 katika mechi 157 akiwa na FC Barcelona,
#SportsEliteSiku kama ya leo FC Barcelona ilimtambulisha adui wa nyavu Robert Lewandowski haya ni mabalaa alio yafanya kwenye nyavu za wapinzani tokea ajiunge na Miamba hiyo 2022.... - Mechi alizocheza:157 - Magoli: 102 - Asisti: 20 - Makombe aliyoshinda: - 🏆 La Liga: 2 (2022/23, 2024/25) - 🏆 Copa del Rey: 1 (2024/25) - 🏆 Supercopa de España: 2 (2022/23, 2024/25) Kwa jumla, Lewandowski amefunga magoli 102 na kutoa asisti 20 katika mechi 157 akiwa na FC Barcelona, #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·192 Views -
"Your most powerful asset is your mind train it well""Your most powerful asset is your mind train it well"
-
WE ARE DIFFERENT
I use my money to make more money, You use your money to look like you have more money. We are not the sameWE ARE DIFFERENT I use my money to make more money, You use your money to look like you have more money. We are not the same -
"The world is full of opportunities, but most people are trained to see only jobs""The world is full of opportunities, but most people are trained to see only jobs"
-
"Surround yourself with people who challenge you, teach you,and push you to be your best""Surround yourself with people who challenge you, teach you,and push you to be your best"
-
RASMI:Club ya Liverpool imefanikiwa kumsajili Hugo Ekitike kutokea time ya Eintracht Frankfurt kwa kiwango cha €94M, Hivyo mchezaji huyo Hugo Ekitike ataitumikia Club ya Liverpool Mpaka 2030
#SportsEliteRASMI:Club ya Liverpool imefanikiwa kumsajili Hugo Ekitike kutokea time ya Eintracht Frankfurt kwa kiwango cha €94M, Hivyo mchezaji huyo Hugo Ekitike ataitumikia Club ya Liverpool Mpaka 2030 #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·154 Views